List ya vibaraka wa mafisadi hapa jf?

mafinga kwetu

Member
Nov 21, 2010
35
3
Nimechunguza na kugundua kuna baadhi ya members hapa JF wanatumiwa na mafisadi kuwasafisha. Kwani wao always ni kutetea upuuzi tu....mfano ni 1-zomba 2-mwiba......mwenye kujua wengine wataje plz..........
 
Dar Es salaam
Chief Masanja
Kishongo
Mahesabu
Kadogoo
Selemani
Mdondoaji
Topical

Kuna wengine wao ni washabiki wa kisiasa na mambo ya dini list ni kubwa........
 
Mafinga kwetu

Nimechunguza na kugundua kuna baadhi ya members hapa JF wanatumiwa na mafisadi kuwasafisha. Kwani wao always ni kutetea upuuzi tu....mfano ni 1-zomba 2-mwiba......mwenye kujua wengine wataje plz..........
 
leo kazi ipo ngoja hao mliowataja waje kuwaona mnavyowadiscuss hapa...haswa huyo mwiba huyo hee heee,,, mbona kazi ipo.... lazma topic ipigwe burn,,,,hana muchezo..
 
Back
Top Bottom