List ya "Single Girls" ndani Ya Jf..

List ya "Single Girls" ndani Ya Jf..

Mamdogo naona umewahi siti ya mbele. Vipi umemwekea na dada yangu siti maana yule hapitwi.

Cc espy.
Sasa Charlie vipi kumbe una mamdogo humu yupo singo alaf hunishtui PM Unataka ban eti ? Haya embu sema unatumia kinywaji gani
 
Sasa Charlie vipi kumbe una mamdogo humu yupo singo alaf hunishtui PM Unataka ban eti ? Haya embu sema unatumia kinywaji gani
Natumia mataputapu au kama makatabreak kama yapo mkuu.

Naona mpo wengi kweli mnaommendea mwanangu
 
Back
Top Bottom