Hivi hizi sehemu ukienda unavua nguo zote au unabaki na pichu,na kama unavua nguo zote hiyo massage wanakufanyia mpaka kwenye maeneo ya siri?ukishanipa jibu nikiridhika nitajie ambayo ni ya bei ya kati ili nikatoe uchovu na mie siku moja.
Nyie wa uswahilini mtakandwa na wake zenu,maana wenye jeuri ya kutoa laki au 50 kwaajili ya massage ni wachache sana,alaf mtaanza kuleta fujo na kufumaniana