List ya Maraisi 8 wanaoongoza kwa utajiri Africa

Mchiwa Ng'ambaku

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2015
Posts
959
Reaction score
803
Kuna tafiti mbalimbali zilizowahi kufanywa, lakini leo nimekuja na hii list ya Marais nane wanaoongoza kwa kuwa na utajiri mkubwa zaidi ya wenzao Afrika.
Iko ishu ya Marais kung’ang’ania madaraka
kwenye nchi za Afrika, kingine ni hii ishu ya
kujilimbikizia mali, japo wapo wanaokuwa nazo kabla ya kushika madaraka lakini
wengine wanajichumia hapohapo wakiwa madarakani.

1.Jose Eduardo Dos Santos
ndiye Rais anayeongoza kwa utajiri Afrika. Ni Rais wa Angola, aliingia madarakani mwaka 1979,
utajiri wake ni dola bilioni 20.

2.Mohammed VI
Ni Mfalme wa Morocco ambaye amekaa madarakani kwa miaka 15, ana utajiri wa dola bilioni 2.

3.Teodoro Obiang Nguema Mbasogo:
Huyu ni Rais wa Equatorial Guinea, aliingia madarakani 1979.. ana utajiri wa dola milioni 600. Nchi yake ni moja ya nchi ambazo ni maskini sana lakini huo ndio utajiri wake mwenyewe.

4.Uhuru Kenyatta
ni Rais wa Kenya. Kaingia
madarakani mwaka 2011, utajiri wake ni dola
milioni 500. Mbali ya kuwa Rais ana miradi mingi pamoja na hisa kwenye Mabenki makubwa na mahoteli ya kifahari.

5.Paul Biya
ni Rais wa Cameroon tangu mwaka 1982, ana utajiri wa dola milioni 200,
unaambiwa ndiye rais anayetumia kiasi kikubwa
cha pesa katika ziara zake kuliko marais wote duniani. Ziara yake kwa siku moja ni kama Euro
30,000 hivi.

6.King Mswat III
Ni mfalwe wa Swazland akiwa na utajiri wa dola milioni 100, anashika nafasi ya 15 katika familia za kifalme tajiri duniani,
Unaambiwa wake zake 13 hutumia zaidi ya dola milioni sita kufanya manunuzi yao pekee, pia
Serikali yake hutenga bajeti ya dola milioni 61
kila mwaka kwa ajili ya matumizi ya nyumbani

7.Idriss Derby
Ni Raisi wa Chad tangu mwaka1990 na ana utajiri wa zaidi ya dola milioni 50

8.Robert Mugabe wa Zimbabwe,
ana zaidi ya miaka 26 akitawala nchi hiyo. Utajiri wake ni dola milioni 10

Source: Millardayo.

list ya maraisi 8 wanaoongoza kwa utajiri Africa
 
Mkuu Equatorial Guinea wananchi wake ndio wenye kipato kikubwa Africa ni kama vile Switzeland au Luxemburg kwa Ulaya.
 
Hivi Tsh. trillion 1.2 ni sawa na US $ ngapi!?
Kuna sehemu niliwahi kusoma kuwa kuna anayemiliki mali zinazokadiriwa kufikia thamani hiyo lakini sijamuona kwenye hii list, je tunaweza kuiamini!?
 
Kuna viongozi barani Afrika wanatia kiny'aa kwa uroho wao wa madaraka, kwa mfano:
1. Mtu anakaa madarakani muda mrefu, angalia hapo kuna mtu anatawala tangu 1979. East Africa pia ipo hiyo mifano, yaani kuna watu wameng'ang'ania madaraka hawataki kutoka, na wakiona wanakaribia kuchoka basi wanaandaa watoto zao.
2. Unakuta rais yupo madarakani kisha anafanya business nyingine huko nje, kwa mfano East Africa tunae hapo kwenye list mtu anamiliki mahoteli, mabenk. Hivi Afrika mbona imekuwa hivi jamani.
Kwanini hawa viongozi wanatufanya sisi wananchi wapumbavu sana. Kingine unakuta mtu anatumia fedha nyingi sana ili aweze kuukamata uongozi wa nchi.
 
Hivi Tsh. trillion 1.2 ni sawa na US $ ngapi!?
Kuna sehemu niliwahi kusoma kuwa kuna anayemiliki mali zinazokadiriwa kufikia thamani hiyo lakini sijamuona kwenye hii list, je tunaweza kuiamini!?

Ni sawa na US $ 615 mil
 
Asante kwa kunijuza hili. Basi alipaswa awepo namba tatu yaani kati ya Mohamed VI na Teodoro Obiang Nguema Mbasogo, ndio maana inabidi kutafiti uhalisia wa hii list.

Kweli kabisa mkuu hiyo ndo ilitakiwa iwe nafasi yake!
 
mbona hajamtaja JK au anaogopa kung'olewa meno kwa bisibisi kama dr ulimboka?
Siyo kung'olewa meno na kucha tu, lakini pia atakuwa anaogopa sheria mpya ya mitandao.

Ingawa JK hajaisaini sheria hiyo mpya, lakini endapo angeliona jina lake limeorodheshwa, angeisaini chapu chapu sheria hiyo na huyo ambaye angeposti hiyo kitu angekuwa mhanga wa kwanza kutumikia kifungo kwa sheria hiyo mpya!
 
Hapo baba ake rizione lazima amaindi kwann ajarushwa kwenye hiyo listi na yeye auze sura
 
Kuna tafiti mbalimbali zilizowahi kufanywa, lakini leo nimekuja na hii list ya Marais nane wanaoongoza kwa kuwa na utajiri mkubwa zaidi ya wenzao Afrika.
Iko ishu ya Marais kung’ang’ania madaraka
kwenye nchi za Afrika, kingine ni hii ishu ya
kujilimbikizia mali, japo wapo wanaokuwa nazo kabla ya kushika madaraka lakini
wengine wanajichumia hapohapo wakiwa madarakani.

1.Jose Eduardo Dos Santos
ndiye Rais anayeongoza kwa utajiri Afrika. Ni Rais wa Angola, aliingia madarakani mwaka 1979,
utajiri wake ni dola bilioni 20.

2.Mohammed VI
Ni Mfalme wa Morocco ambaye amekaa madarakani kwa miaka 15, ana utajiri wa dola bilioni 2.

3.Teodoro Obiang Nguema Mbasogo:
Huyu ni Rais wa Equatorial Guinea, aliingia madarakani 1979.. ana utajiri wa dola milioni 600. Nchi yake ni moja ya nchi ambazo ni maskini sana lakini huo ndio utajiri wake mwenyewe.

4.Uhuru Kenyatta
ni Rais wa Kenya. Kaingia
madarakani mwaka 2011, utajiri wake ni dola
milioni 500. Mbali ya kuwa Rais ana miradi mingi pamoja na hisa kwenye Mabenki makubwa na mahoteli ya kifahari.

5.Paul Biya
ni Rais wa Cameroon tangu mwaka 1982, ana utajiri wa dola milioni 200,
unaambiwa ndiye rais anayetumia kiasi kikubwa
cha pesa katika ziara zake kuliko marais wote duniani. Ziara yake kwa siku moja ni kama Euro
30,000 hivi.

6.King Mswat III
Ni mfalwe wa Swazland akiwa na utajiri wa dola milioni 100, anashika nafasi ya 15 katika familia za kifalme tajiri duniani,
Unaambiwa wake zake 13 hutumia zaidi ya dola milioni sita kufanya manunuzi yao pekee, pia
Serikali yake hutenga bajeti ya dola milioni 61
kila mwaka kwa ajili ya matumizi ya nyumbani

7.Idriss Derby
Ni Raisi wa Chad tangu mwaka1990 na ana utajiri wa zaidi ya dola milioni 50

8.Robert Mugabe wa Zimbabwe,
ana zaidi ya miaka 26 akitawala nchi hiyo. Utajiri wake ni dola milioni 10

Source: Millardayo.

list ya maraisi 8 wanaoongoza kwa utajiri Africa

MkUu uMemSaHauu EDwaRd LoWaSaaaa haPo kWenYye lIst hiYo.

JAmaaa AnapesAaa baLaaa yaANI MPaka nafikiRia kuaCha kazi hapA mjini NikaJiunge na kamPeni zake.
OgoPa allowance 150,000 kwa sikU unapAta
 
naona neno "unaambiwa" limejirudia sana ningetamani kumjua huyo aliyemuambia millard ayo..
 
Mkuu Equatorial Guinea wananchi wake ndio wenye kipato kikubwa Africa ni kama vile Switzeland au Luxemburg kwa Ulaya.

Weka evidence, Equatorial guinea kweli! Kama Switzerland????????????? Nimeelimika, elimu haina mwisho!
 
Mkuu vitu vingine sio kwanza kubishana nimekwambia Equatorial Guinea ni kama Switzeland ni kiimanisha kwa Africa ndio wananchi wake wenye kipato kikubwa kuliko nchi nyngine ni kama vile Switzeland au Luxemburg ulaya hz nchi ndizo zenye wananchi wenye kipato kikubwa ulaya nzima,sasa kama unataka evidence umiza kichwa kidogo mbona source zipo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom