nashangaa mnaobisha ukweli. viongozi wote wa vyuo wanachofanya ni kwenda kuiba tu. hapo wala halihitaji evidence, unless wewe hujawahi kusoma chuo na hasa chuo kikuu chochote hapa nchini. mimi swali langu la msingi, ni kwamba kwa vile bwana yesu alikufa kwa ajili ya dhambi zetu kwa hiyo sasa hivi tupo tayari kufanya dhambo yoyote ile? nasema hili kwa sababu ndo kinachofanyika. This is shame. Nyie watu wa jamii fulani come up na acheni ujangili karibia kila nyanja na kona ya nchi hii.