Jamani mke wangu haniamini kabsaaa. Nikienda ofisini nikachelewa kurudi anaamini nilikuwa kwa mademu. Nikichelewa ananifanyia suprise anakuja office bila taarifa ananikuta tena peke yangu, lakini bado haniamini. Hali hiyo imedumu kwa miaka mingi sana mpaka naona nimefika mwisho siwezi ivumilia. Issue inaanzania mbali kidogo, wakati bado sijamuoa aliwahi kunikuta na daftari la mshikaji wangu ambaye miandiko yetu inafanana. Hilo daftari jamaa alikuwa kaorodhesha mademu wote aliotembea nao. Sasa kulikuwa na column tatu NAMBA, JINA, na HALI. kwa mfano: NAMBA 1, JINA: Jenifa Kalalu, HALI: tight. Sasa idadi ilikuwa inafika 94 mpaka wakati huo. Wife anaamini list ilikuwa yangu, na kwenye list hiyo kulikuwa na majina ya watu wa karibu yake. Kila tukigombana ananitusi kuwa mie malaya sana na anauliza kuwa list yangu wamefika wangapi. Sasa mi naumia sana!! Ishu ya miaka kama 10 iliyopita halafu sio daftari langu lakini anafanya ndio reference kila tunapokwaruzana. Sasa sijui hata nimfanyeje??
huyo ana matatizo, anapaswa akuombee, hiyo list ni fupi sana kwa watoto wa Bongo wanavyopenda wallet unaweza ukapiga zaidi ya 300 kwa mwaka moja, kwa sababu kwa Bongo kwa sasa tathmini ya haraka haraka kuna uwezekano siku moja mtu anaonana na watu wawili akiamua, kwa hiyo naona huyu mkeo anapaswa kukuombea tu kwani yaliyopita si ndwele mgange yajayo na yajae.Jamani mke wangu haniamini kabsaaa. Nikienda ofisini nikachelewa kurudi anaamini nilikuwa kwa mademu. Nikichelewa ananifanyia suprise anakuja office bila taarifa ananikuta tena peke yangu, lakini bado haniamini. Hali hiyo imedumu kwa miaka mingi sana mpaka naona nimefika mwisho siwezi ivumilia. Issue inaanzania mbali kidogo, wakati bado sijamuoa aliwahi kunikuta na daftari la mshikaji wangu ambaye miandiko yetu inafanana. Hilo daftari jamaa alikuwa kaorodhesha mademu wote aliotembea nao. Sasa kulikuwa na column tatu NAMBA, JINA, na HALI. kwa mfano: NAMBA 1, JINA: Jenifa Kalalu, HALI: tight. Sasa idadi ilikuwa inafika 94 mpaka wakati huo. Wife anaamini list ilikuwa yangu, na kwenye list hiyo kulikuwa na majina ya watu wa karibu yake. Kila tukigombana ananitusi kuwa mie malaya sana na anauliza kuwa list yangu wamefika wangapi. Sasa mi naumia sana!! Ishu ya miaka kama 10 iliyopita halafu sio daftari langu lakini anafanya ndio reference kila tunapokwaruzana. Sasa sijui hata nimfanyeje??
Show me your friends and I'll tell you who you are!!!
Show me your friends and I'll tell you who you are!!!
Daftari! Umenikunbusha mbali sana. Mwandiko wako bado unafanana na wa rafiki yako? Sasa na wewe hadi unakutwa na 'daftari' (kama hautojali, lilikuwa la mistari midogo na mikubwa? Ama la viboksi?), ulikuwa unaangalia nani ana yenye hali gani ili na wewe ukatongoze ama ulikuwa unacopy notes?
Ivi kumbe idadi inaweza kufikia mpaka tisini naa,,du!!
Kwani hilo daftari halikua na jina la rafiki yako,,ongea na huyo mwenye daftari kwenye simu ukiwa na mkeo uweke loud spiker halaf unazungumza nae kama utani kumkumbushishia orodha yake ili mke wako aamini haikua yako
huyo ana matatizo, anapaswa akuombee, hiyo list ni fupi sana kwa watoto wa Bongo wanavyopenda wallet unaweza ukapiga zaidi ya 300 kwa mwaka moja, kwa sababu kwa Bongo kwa sasa tathmini ya haraka haraka kuna uwezekano siku moja mtu anaonana na watu wawili akiamua, kwa hiyo naona huyu mkeo anapaswa kukuombea tu kwani yaliyopita si ndwele mgange yajayo na yajae.
We BJ mchokozi. Mbona ni 94 tu?
Upo sawia mkuu. Huenda na yeye ana list yake kwa rafiki yake.
Mmh!! yaani 94 wote hao? anajaza dar express mbili kama sikosei!! hebu ninong'oneze idadi ya wako, simwambii mtu..ha ha
Kwa kuwa umesema humwambii mtu basi haina shaka. Wa kwangu ni kama behewa mbili za Mwakyembe, sio wengi kama hao wa jamaa
Sithubutu! Muziki wake utakua hausikiliziki, achilia mbali kuchezeka!Onyo: Usiandike list ya hao ''wadau'' maana mamsapu akiona atachanganyikiwa!!