Naja naja
JF-Expert Member
- Sep 13, 2016
- 747
- 1,462
Hizi hapa listi ya biashara zenye mtaji mdogo:
1) Kuuza matunda.
2) Kuuza juice mashuleni haswa kwa shule za msingi na sekondari.
Hapa ukifanikiwa kupata jokofu imara basi umeshamaliza kila kitu.
Biashara ya kuuza juisi mashuleni inalipa sana, huwezi kukosa elfu 7-15 kwa siku.
3) Chapisha vitini vya tenses, methali, vitendawili, nahau na misemo mbalimbali, pia unaweza ukachapisha vitini vyenye formulas za hesabu, peleka shule za msingi.
4) Uza vitu vidogo vidogo mfano Cripsi za ndizi, mihogo, viazi nk, weka karanga za mayai, chapati za maji/mayai, uza vikachori, kababu nk.
5) Shoe shine
6) Uza vifaa vya electronics vidogo vidogo, hapa unatembeza mtaani.
7) Tafuta angalau laki 3 - 5 nenda VETA ukasomee taaluma yoyote ya ufundi.
Sent using Jamii Forums mobile app