sinafungu
JF-Expert Member
- Feb 13, 2010
- 1,524
- 863
Maskini nchi yangu. tuliambiwa ili tuendelee tunahitaji v2 vinnee,
1. watu
2. ardhi
3. siasa safi
4. uongozi bora
kuanzia uhur tumekuwa tukipata misaaada kuanzia usd 39.19 (TSH 66bill) na imekua ikiongezeka ktk miaka ya hivi karibuni kufikia usd 2.89 bill(tsh 3 trillion) leo hii sisi ni Nchi ya kwanza ktk Afrika kwa kusaidiwa, na ni Nchi ya tatu Dunia, nyuma ya Nchi za Iraq na Afghanistan, Nchi ambazo tunajua zimefikia hapo kwa njama za kimakusudi za Mataifa hayo ya Ulaya kuwatumbukiza ktk vita.
Je, Watanzania wenzangu hivi tunashereherekea miaka 50 ya uhuru kwa hali gani........?
Ni nini hakipo ktk hivyo vitu vinne.....?

NCHI | MSAADA KATIKA BILIONI ZA DOLA |
1. IRAQ | 9.115 |
2. AFGHANISTAN | 3.951 |
3. TANZANIA | 2.811 |
4. VIETNAM | 2.497 |
5. ETHIOPIA | 2.422 |
6. PAKISTAN | 2.212 |
7. SUDAN | 2.104 |
8. NIGERIA | 2.042 |
9. CANEROON | 1.933 |
10. PALESTINE | 1.868 |
11. MOZAMBIQUE | 1.777 |
12. UGANDA | 1.728 |
13. BANGLADESH | 1.502 |
14. CHINA | 1.439 |
15. INDIA | 1.298 |
16. KENYA | 1.275 |
17. JAMHURI YA KONGO | 1.217 |
18. GHANA | 1.151 |
19. MOROKO | 1.090 |
20. MISRI | 1.083 |