List of Kenya's top 10 most corrupt Ministers! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

List of Kenya's top 10 most corrupt Ministers!

Discussion in 'Kenyan News and Politics' started by Ab-Titchaz, Aug 28, 2012.

 1. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #1
  Aug 28, 2012
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  SHAME: Top 10 most CORRUPT Cabinet MINISTERS in Kenya

  [​IMG]

  Transport Minister Amos Muhinga Kimunya


  1. Amos Muhinga Kimunya - Transport Minister Amos Kimunya is the most corrupt Minister in the current cabinet. Kimunya, who is also the Kipipiri MP, has topped the list due to some mega scandals which have put him on the spotlight. Among the scandals Kimunya is involved in is Sh 2.8 billion Grand Regency Hotel sacndal, Sh4.6 billion money printing scandal and the Sh 56 billion airport tender scandal.

  [​IMG]

  2. Prof Anyang Nyong'o - The Medical Services Minister Prof Anyang has been on the headlines over the National Hospital Insurance Fund. Nyong'o who is ODM Secretary General has been on the spotlight over mass plundering of billions of shillings belonging to NHIF. It is also alleged that Prof Anyang wired Sh 900 million to his personal accounts in Jersey and Cayman islands. Nyong'o is an MP for Kisumu Rural

  [​IMG]

  3. Otieno Kajwang - The Immigration Minister is also on the corruption list. His tender deals on passport and identity cards are questionable. It is alleged that the minister is the god father of the corruption dogma in immigration ministry. Billions of shillings pass on his hands through issuance of illegal passports and citizenship. Kajwang is MP for Mbita.


  [​IMG]

  4. James Orengo - Most of his friends refer to him as Jim, the Land Minister has not been involved in any named scandal but he is a corruption submarine who operates underground behesting corruption. Syokimau and Eastleigh demolitions had his stamp approval. Orengo is MP for Ugenya.


  [​IMG]

  5. Shoita Shitanda - The Housing Minister is also on the corruption boat; recently he was on the spotlight over the illegal allocation of government houses to PS Francis Kimemia and Starehe MP Margaret Wanjiru. Shitanda even went ahead and gave a government houses to his wife and relatives.


  [​IMG]

  6. Moses Wetangula - The Sirisia MP and Trade Minister is also on the top ten list. The Tokyo scandal where the Kenyan taxpayer lost over 1.2 billion is on his shoulders. Wetangula by then was Foreign Affairs minister. His firm was also involved in the Turkana oil saga where he made over a billion.

  [​IMG]

  7. Kiraitu Murungi - The Harvard trained lawyer and Energy Minister has also made it in the list of shame. Kiraitu has been involved in series of scandals from Aglo Leasing to owning cartels in the energy industry most recently is the Turkana oil discovery where he has raked in billions from illegal tendering processes.

  [​IMG]

  8. Dr Paul Otuoma - The shame which we experienced in the just concluded London Olympics was orchestrated by the Sports and Cultural Affairs Minister. Despite his pretence that he is promoting sports activities, the minister has involved himself in a series of scandals which eventually will wipe Kenya as a sporting nation.

  [​IMG]

  9. Joseph Nyaga - the Cooperative Minister is also on the list of shame. Money laundering in KPCU has tainted his tenure as a minister. In the last two years, 205 billion has been laundered by cartels with the stamp of the Cooperative Minister.

  [​IMG]

  10. Prof Sam Ongeri - A key confidante of President Mwai Kibaki, Ongeri who is currently the Foreign affairs minister has weathered a lot of storms, but he has also made it in the list of shame. Ongeri was involved in the massive plunder of billions of shillings meant for free education kitty which jeopardised the free primary education programme.


  This list excludes the 4 senior principals of the coalition government: The President, Prime Minister and the 2 Deputy prime Ministers....... It only reflects Ministers.

  http://www.kenyan-post.com/2012/08/shame-top-10-most-corrupt-cabinet.html
   
 2. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #2
  Aug 28, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Mhhh hizi habari hizi
  Hapa bongo wakija sidhani kama kuna atakayepona
   
 3. Kivumah

  Kivumah JF-Expert Member

  #3
  Aug 28, 2012
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 2,413
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  ..Mbinu za kuchafuana katika kuelekea Uchaguzi Mkuu 2013.
  Siasa is a Dirty Game......just play your Cards well..
   
 4. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #4
  Aug 28, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  SOURCE please
   
 5. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #5
  Aug 28, 2012
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
 6. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #6
  Aug 28, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
 7. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #7
  Aug 28, 2012
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  Mzima mie. Mihangaiko ya shule na kuchanga dola tu!
   
 8. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #8
  Aug 28, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  Pole sana ndo ukubwa
  Wasomea nini?unaweza jibia pm lol
   
 9. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #9
  Aug 28, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Mkuu unataka kumlipia ada au ndio unataka kudunduliza mahari kwa kupitia mgongo wa ada?

  Just asking
   
 10. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #10
  Aug 28, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  Is she single and available? lol
   
 11. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #11
  Aug 28, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Hamja pimiana ukapata jibu?  Kwa jibu hili tu la kuchanga $ inamaanisha yupo available kwa House mate au ngoja tumsibiri aje hapa atuambie
   
 12. m

  matongo manawa JF-Expert Member

  #12
  Aug 28, 2012
  Joined: Apr 6, 2011
  Messages: 336
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Tanzania anaongoza Ngereja,Maige ingawa wameondolewa uwaziri
   
 13. ITEGAMATWI

  ITEGAMATWI JF-Expert Member

  #13
  Aug 28, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 4,223
  Likes Received: 1,065
  Trophy Points: 280
  Duh!Ndiyo walitaka tuifanye ardhi ya Tanzania ruksa kwa wanaafrika mashariki wote?Ufisadi nchini kwetu tu unatukomesha vya kutosha sasa uongezee na wajaruo hao si ndiyo tutakufa kabisa?
   
 14. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #14
  Aug 28, 2012
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Kwa Tanzania sie tunayo ya nchi nzima sio mawaziri tu, nayo ni ile iliyotolewa mwembe yanga na DR. wa ukweli W.Slaa!! Hao wakina Ngeleja , Malima na Maige ni nyongeza tu!
   
 15. B

  Bukyanagandi JF-Expert Member

  #15
  Aug 29, 2012
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 7,534
  Likes Received: 3,869
  Trophy Points: 280
  Wenda ikawa alikuwa hajaiona mkuu, unajuwa Watanzania walio wengi hawana interest yoyote kujuwa yanayo endelea huko Kenya, in other words hawana time nao - wengi wetu tulio kuwa drawn katika kuambizana ukweli na jamaa hawa kumetokana na tabia zao zakuwa overly paranoid kuhusu TANZANIA kwa kusingizia na kuandika mambo ya KUTUNGA tu; we jaribu kusoma broadsheet na tabloid zao, mtu unaweza kufikili bila kuiandika Tanzania magazeti yao hawezi kuhuzika!

  Mtu wa nje akisoma comments na innuendo zao unaweza kufikili labda tuliwahi kupigana vita na Kenya!! Huwezi kukuta Waganda, Wanyarwanda, Warundi, nk wako obsessed na TANZANIA siyo kwamba hawapo humu, wapo tele - swali ni kwa NINI baadhi ya Wakenya wako hivyo? Mtu gani mwenye akili timamu atapenda kuwa karibu na binadamu wenye hulka kama HIZI za kushangaza - no wonder Watanzania walio wengi hawataki kusikia mambo ya sijuhi federation/intergration and what have U.

  Sasa hivi wamebuni mbinu nyingine tena wamehanza kuhingiza CCTV katika mbinu zao za kuipaka matope TANZANIA, hilo Wachina hawajaligunduwa, wanatumiwa bila kujijuwa - nafikili kuna haja ya kuwashtuwa Wachina - wahambiwe wazi wazi kwamba no research no comment - msemo wa kiongozi wao Mao-Tse-Tung. Habari zote zinazo husu Tanzania kutoka katika sources za Kenya lazima zihakikiwe na Mtendaji mkuu wa CCTV kabla hazijatangazwa, la sivyo Wachina tutawapa wakati mgumu wasi-underate resolve ya Watanzania.

  Wamesahau mchango mkubwa uliyo tolewa na Tanzania katika kuhakikisha China inakubaliwa tena kuwa Member wa UN, si hilo tu msimamo wetu wa kuitetea China ulitu-cost sana mpaka Mh. Salim Hamed Salim kawekewa vigingi na Merikani asiwe katibu mkuu wa UN wakati Members karibu wote walikuwa wanamkubali - lakini Merikani ikapiga kura ya TRUFU, Kwa hiyo Wachina wanapaswa kuwa wangalifu wanavyoji-conduct ndani ya Africa Mashariki katika nyanja za utangazaji.

  Samahani mkuu nimeandika mambo mengi kidogo madhumini yangu ni kutoa angalizo tu, mwisho mkuu mbona hii list of shame majority wana majina ya Kijaruo - hii inatoa taswira gani, je Raila akishika ukanda si itakuwa balaa! Au hizi ni smear campaign za kutaka kuwachafulia jamaa. Nawatakia kheri katika harakati zao za kupiga kura na kuchagua Kiongozoi wao mwaka ujao.
   
 16. C

  Cartoons Senior Member

  #16
  Sep 6, 2012
  Joined: Jul 16, 2012
  Messages: 123
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  uchaguzi mkuu unakuja 2013,nafikiri utakuwa wakati muafaka wa kuwapiga chini.
   
Loading...