List mpya ya waliochaguliwa UDSM 2018-2019

Just Distinctions

JF-Expert Member
May 5, 2016
2,671
5,250
Baada ya sintofahamu ya hapa na pale iliyopelekea baadhi ya waombaji kufutwa kwenye udahili mpaka waziri ndalichako kuingilia kati hatimae wale wote 632 wamerudishwa bila masharti yoyote.

list mpya imetolewa ikiwa na majina ya wanafunzi waliodahiliwa kwenye mwaka wa masomo 2018-2019 hivyo sasa ni ruksa kwenda kuchukua admission letter pale mlimani .

Pia orientation week ni 03 november na kuendelea na sio 27 October kama ilivyokuwa hapo awali. Hongereni wote mliochaguliwa nawatakia Masomo mema.
List ya majina hii hapa
 

Attachments

  • Advert+JKN+admission+letters+24th+October+2.pdf
    1.8 MB · Views: 80
Back
Top Bottom