Lissu yuko frustrated tumuache apone kwanza

britanicca

Platinum Member
Joined
May 20, 2015
Posts
18,165
Reaction score
47,867
Naamini Lissu ni mtu muhimu kwa kutetea wananchi wanyonge tumeona Mara kadhaa anaenda mahakamani hata bila malipo kuwatetea walioonewa au kubambikiwa kesi.

Lakini kwa sasa naona anajuta kuzidiwa mbinu na Kyagulanyi Ssentamu kuweza kuitisha conference ya kimataifa na kuishtaki Serikali ya Museveni.

Nikajiuliza hivi Lissu kwanini naye hasiite wanahabari wa kimataifa akayaanika hayo mabaya aliyofanyiwa na Serikali, lakin jibu la haraka nikajua the guy is just suspecting ,hana chochote cha ku prove kwamba Serikali ndio wamempiga risasi.

Lakini mbaya zaidi Lissu kupitia waraka wake wa Jana anaendelea kudanganya hasa watanzania wajinga kwamba kutokana na kupiga kelele juu ya ndege iliyokamatwa Canada kwa sababu ya deni ambalo kasababisha Magufuli kuvunja mkataba wa ujenzi wa barabara akiwa waziri wa ujenzi, hapo ndipo nikaona mheshimiwa bado anahitaji kuendelea na matibabu, Kipindi hicho aliyevunja mkataba hakuwa Magufuli, maana hakuwa waziri wa ujenzi, alikuwa waziri wa uvuvi, Sasa Lissu anazidi kiwadanganya mapoyoyo wa hapo Tanzania na kushangilia.

Pili si kweli kwamba ana uhakika kwamba Serikali inahusika, hivo aache kutoa hukumu mapema kabla ya uchunguzi kumalizika, hili halipiti hivi hivi.

R.I.P mlinzi wa Mbowe ambaye ulikutwa umekufa kwa mazingira ya kutatanisha
 
Kwani nilazima uanzishe maada? My friend think big achana na kuanzisha thread ilikujikimu na njaa yako au kupalilia cheo chako. Mnaboa sana.
 
Mbona na wewe ni mgonjwa, hujijui tu!
 
HIYO KAULI YA "yule ni mgojwa...tumuache apone" TAFUTENI INGINE. au wwewe hujawahi kuumwa..na je siku ulipoumwa familia yako ililalal jaa??

THREAD CLOSED.
Watu wasiojulikana ambao Hawatakiwi wajulikane Lazima Wakeshe kubuni namna ya Kupotosha umma Kwamwe Hawata weza kwasababu mara zote Hutumia Akili za kuvukia barabara uwezo wao ni mdogo sana ''Upstairs they are Very week''
 
Wewe ni takataka ya mungu tu kwa LISSU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…