Lissu, wasomi duniani kote hawafanyi hivyo

Unajua Ukisha Tengeneza Mazngira Ya Watu Kufanya Kaz Kwa Uwoga Unategemea Ukiwaasign Kaz Watafanyaje, Lazma Wakupe Majibu Unayo yataka Wewe. Ndivyo Wanavofanya Akina Mugabe, Kagame, Nk Wa Namna Hyo. Mf. Unaenda Mahala Unasema Hapa Lazma Kuna Wizi, Af Unatuma Watu Waende Kuchunguza, Unategemea Jb Gan?
haya ni mawazo legelege yanayosimama kwenye loose assumption kuwa kiongozi mkuu wa serikali hapaswi kusimamia kazi bali kuacha mambo kujiendea kama hai ilivyo kuwa wakati wa utawala wa Kikwete.
 
Sijasema usifu kitu kama unaona kina kasoro, nimesema ubakosoa kwa lugha ya staha. Hebu fikiri mfano wewe umefanya kazi yako kwa kutumia muda akili na resources nyingine, halafu unamaliza na kuwasilisha halafu anaibuka mtu mmoja anayeaminika kuwa msomi anakuambia what you did is total rubbish! Hahahaha, hatuendi hivyo aiseee, Lisu yuko vizuri ila kwa lugha hizi sio aisee, ajirekebishe

....Kuna kiongozi mmoja yeye aliwaita watanzania wenzake karibia milioni 6 MALOFA....
 
Tundu Lissu tayari amekuwa msemaji wa Acacia.
Ni aibu kwa msomi kama huyu kutoa kauli za kejeli kwa Rais Magufuli katika masuala yanayohusu maslahi ya taifa.
Hata kama serikali inakosea kuna njia ya kusahihisha sio kwa lugha za kejeli.
 
Swadakta!
 
Hoja yako nimeielewa sana ila nilichokiona hata Lissu huenda hapendi kitumia misatiati hush bali serkl na ccm kwa ujumla hawapendi kukosolewa/hawataki kujifunza kutoka kwa wapinzani kwa hiali bali kwa pressure ya wananchi ambayo lazima ichochewe na maneno kama ya lissu
 
Mkapa aliwaita wapinzani woote Malofa Huyu wasasa ana lugha za kejeli na za kuudhi pia kunaubaya gani Lissu kuiita riport ya CCM kuwa ni Rubbish kama kweli ipo hivyo? usipende ku-"SUGARCOAT" mambo kama ni nyekundu sema ni "NYEKUNDU"
Muulizeni Lisu kuhusu List of shame waliyoitoa na Dr. Slaa..akiwapa majibu hao watu wako wapi leo..ndio mje hapa muamini kila anachosema.
 
Mkapa aliwaita wapinzani woote Malofa Huyu wasasa ana lugha za kejeli na za kuudhi pia kunaubaya gani Lissu kuiita riport ya CCM kuwa ni Rubbish kama kweli ipo hivyo? usipende ku-"SUGARCOAT" mambo kama ni nyekundu sema ni "NYEKUNDU"
Mkapa aliongea vile kisiasa, sio kisomi.
Mjenga hoja ana hoja, lissu alipaswa jibu kisomi.
Kwenye kamati ile hawakujaa Wanasiasa wala wenye records za kufanya siasa bali wataalam wa madini, sheria na uchumi.
Wengine wamekuwa walimu wetu na walikuwa wakishika nafasi za kitaaluma nchini
 
Tundu Lissu tayari amekuwa msemaji wa Acacia.
Ni aibu kwa msomi kama huyu kutoa kauli za kejeli kwa Rais Magufuli katika masuala yanayohusu maslahi ya taifa.
Hata kama serikali inakosea kuna njia ya kusahihisha sio kwa lugha za kejeli.

huenda nawe ukweli unaita kejeli mtafute mwl. Wa kiswahili ...kejeli anazifanya magufuli mf. Chadema hananipigia simu niwateue...
 
Ivi mbona mnasumbuka na Lissu..anatafuta pa kutokea..mwaka 2020 anazikwa rasimi. Mwacheni atoe matusi yake yote. Na akienda vibaya takukuru inamnyoosha soon.
 
Sijasema usifu kitu kama unaona kina kasoro, nimesema ubakosoa kwa lugha ya staha. Hebu fikiri mfano wewe umefanya kazi yako kwa kutumia muda akili na resources nyingine, halafu unamaliza na kuwasilisha halafu anaibuka mtu mmoja anayeaminika kuwa msomi anakuambia what you did is total rubbish! Hahahaha, hatuendi hivyo aiseee, Lisu yuko vizuri ila kwa lugha hizi sio aisee, ajirekebishe
U-RUBISH wa ripoti hauondolewi kwa muda uliotumika wala rasilimali.... u-rubish unapimwa kwa content ya ripoti, na si nani kaiandaa, wapi ameandalia na muda alioutumia
 
Ivi mbona mnasumbuka na Lissu..anatafuta pa kutokea..mwaka 2020 anazikwa rasimi. Mwacheni atoe matusi yake yote. Na akienda vibaya takukuru inamnyoosha soon.
Hata aliyemuwekea mapingamidhi kadhaa Ester Bulaya aye alishawahi kusema CDM ingekufa kabla ya uchaguzi....
 
Sijasema usifu kitu kama unaona kina kasoro, nimesema ubakosoa kwa lugha ya staha. Hebu fikiri mfano wewe umefanya kazi yako kwa kutumia muda akili na resources nyingine, halafu unamaliza na kuwasilisha halafu anaibuka mtu mmoja anayeaminika kuwa msomi anakuambia what you did is total rubbish! Hahahaha, hatuendi hivyo aiseee, Lisu yuko vizuri ila kwa lugha hizi sio aisee, ajirekebishe

Aisee mkuu bethlehem, sijui kama nimekuelewa au la. kwahiyo unakubali TL kasema ukweli ila kausema ukweli vibaya au una maanisha kasema uwongo?
 
Ujue mara nyingi wapinzani wanakuwa na hoja nzuri tu kwenye mambo mbalimbali shida ni kutoa mawazo yao kwa jazba na lugha chafu. Mwishowe wanaharibu ladha yote ya hoja zao.

"Ripoti ya Mchanga it is Rubbish! Rubbish!" Lissu (2017).Ni mfano mmoja miongoni mwa mingi.

Hauwezi ukawakosoa wasomi wenzako kwa kutumia lugha za namna hii. Haikubaliki dunia nzima. Wasomi hukosoana kwa hoja lakini kwa lugha zenye staha. Mfano huwezi kumuambia mtafiti, mchunguzi, au mtoa ripoti kuwa "ripoti yako ni upuuzi mtupu" badala yake unatakiwa umuambie ripoti yako ina upungufu mkubwa n.k

Kwa hiyo ni vizuri kuwa makini na utumiaji wa lugha unapowakosoa wasomi wenzako, vinginevyo hata kama una hoja ya msingi utapuuzwa.
Mkuu "rubbish" ndio neno sahihi pale!!!

Kama kweli una uchungu na mali za mama tanganyika jiulize kwa nini mikataba ya madini ni siri mpaka leo!!!!

Mnaficha nini?

Ile report ya makinikia ni rubbish, rubbish, rubbish!!!!!
 
Aisee mkuu bethlehem, sijui kama nimekuelewa au la. kwahiyo unakubali TL kasema ukweli ila kausema ukweli vibaya au una maanisha kasema uwongo?
Sijui kasema kweli au laa maana mimi ripoti sijaiona wala sio mtaalam wa madini. Shida yangu tu ni lugha anazotumia sio lugha za kisomi
 
Hata aliyemuwekea mapingamidhi kadhaa Ester Bulaya aye alishawahi kusema CDM ingekufa kabla ya uchaguzi....
Tofautisha CDM na Lissu wewe, Lissu tapita na CDM itabaki.

Tatizo Lissu anajiona Mungu mtu sana siku hizi, Anawatukana na kuwazarau wengine kanakwamba yeye anajua yote hapa Duniani.
Kalewa sifa za kwenye mitandao sasa anapinga hadi mambo ya msingi.
Tunamchora tu, hiki kipindi cha JPM atavuliwa taulo mapema sana. Hatuwezi kumvumilia mtu anaetetea watu wanao tuibia hata kama anajaribu kujitetea.
Jinga kabisa huyu jamaa.
 
  1. Lissu hajasoma ripoti husika, na hata angekuwa ameisoma;
  2. Lissu siyo mtaalam wa sayansi ya miamba wala madini; na kama bado hujaelewa,
  3. Hao unaosema kuwa ni 'wataalam' walioshangaa maudhui ya riporti ya Prof. Muruma, hujasema ni akina nani na walifanya uchunguzi gani kuthibitisha utaalam wao.
Kama hivyo basi, hitimisho lako unalosisitiza kwenye bandiko lako linabebwa na msingi (locus stand) gani? Unapaswa kuelewa kuwa Tanzania haijawahi (hakuna ushahidi wa takwimu) kufanya comparative study ya kiasi cha dhahabu tulichonacho dhidi ya mataifa mengine kama Canada, Australia, Afrika Kusini, Ghana, Chile, DR Congo wala Mali. Unachoelezwa kuwa Tanzania ni nchi ya nne kwa kuwa na wingi wa dhahabu Afrika ni tathmini zinazofanywa na wachimbaji wawekezaji wenyewe na kisha kusambaza takwimu hizo kulingana na mikakti yao ya kibiashara/uwekezaji. Miaka kabla ya 2009 walikuwa wakisema Tanzania ni nchi ya tatu Afrika (nyuma na Afrika Kusini na Ghana) kwa kuwa na dhahabu nyingi. Baadaye (2010 na kuendelea) wakasema Tanzania ni nchi ya nne nyuma ya Afrika Kusini, Ghana na Mali kwa kuwa na wingi wa dhahabu. Kwa hiyo, ni mtu mjinga tu asiyejua political economy za TNEs na beneficiaries wao ndie anaweza kusema eti, 'haiwezekani Tanzania ikwawa na madini kiasi kinachotajwa kwenye ripoti ya Prof. Mruma (mtaalam wa jiolojia/miamba ya madini) ka kuwa wataalam wa Acacia wamesema kuwa haiwezekani!
Sii kosa nikibashiri kuwa wewe "ndiwe"

Acacia wamesema hivii, laiti kama report ya mruma ingekuwa kweli basi wao acacia ndio wangekuwa wazalishaji/wachimbaji wenye kuuza/kuchimba/kuzalisha dhahabu kwa wingi zaidi duniani.

Taarifa/tamko la Acacia halijasema wala kupendekeza kuwa tanzania ingekuwa na dhahabu nyingi zaidi kuliko nchi zote duniani.

Pole mruma!!! Mmeiingiza nchi kwenye mgogoro mzito na mnaomba tuwaunge mkono kwenye ujinga wenu wa kisomi.
 
Hivi ktk wasom nae lisu yumo? Achen ujinga lisu hafai kabisa hawezi kutetea wezi hadi anataman kulia kisa tu kapewa mijihela
 
Back
Top Bottom