Lissu vs Acacia mining

Kokolo

JF-Expert Member
Mar 20, 2008
1,768
2,767

Mwandishi aliyeshinda Tuzo ya CNN ahoji nini kimemtokea Lissu?Aliwatukana Acacia/Barrick kwa miaka 20, leo anawatetea? Ataka uchunguzi wa kina.

@ Lissu, aliwatukana kwa miaka 20, baada ya magufuri kuingia madarakani na kukata mirija ya makinikia, Lissu akaanza kuwatetea, hapo ndo shida ilipoanzia kupelekea kutaka kumalizwa kabisa kidogo. Kwa nini hakuwatetea kipindi cha kikwete cha Shamba la Bibi, kitu gani alipewa na hao wazungu, pia kwenye share za Acacia 36.1% ambazo kampuni mama Barrick ilitaka kununua, Acacia walikataa katakata kuziuza kwa Barrick, wenye hizo share ni akina nani, pia kipindi cha mwanzo kabisa cha timbwili la makinikia, kuna viongozi wa juu kabisa awamu ya nne walipanda ndege hadi Toronto Canada kuweka mambo sawa yasije bumbuluka. Je Lissu alitumwa na nani awatetee Acacia pamoja na kuwaponda zaidi ya miaka 20. Ukifumbua hiki kitendawili utajuwa ni kwa nini Lissu alitaka kumalizwa kabisa. Je ni kwa upande aliokuwa anatetea au upande wa pili. Ndo maana hata akipiga kelele kiasi gani wazungu wanaojua kwa undani jambo hili watakuwa wanampa mkono Lissu kwa mbele wakimpa mgongo wanasema idiot guy.
Pia nyoka waliyoko ubarozi wetu Canada, je ndo walimtoa barozi kidatu kutaka kuingizwa kwenye pay slip ya hao jamaa wanaomiliki hizo asilimia 36.1% za Acacia.
 
hajawatetea, anasema as long as mmeingia mikataba nao, mkiwafukuza bila kufuata sheria watawashitaki. Actually alipendekeza kuwa kwanza tujitoe MIGA, then tuanze rabusha rabusha, short of that tutanyolewa bila maji! Wapi amewatetea?
 
Hawezi kukuelewa kwakuwa hana fikra huru, anajaribu kulazimisha kisichokuwepo either kwa makusudi ili afanikishe ajenda yake au upeo wake mdogo umefungwa ndani ya box hivyo anashindwa kufikiri/kuchanganua nje ya hilo box.
Bado tuna safari ndefu sana kama uelewa wa wengi ndiyo wa kiwango kama cha mleta mada.

asante sana. Nimejaribu kutafuta clip ya Lisu anayopendekeza tujitoa MIGA, then tuanze mchakato wa kuwashitaki, nikiipata nitamwekea
 
Lissu anatakiwa ajitokeze kueleza upuuzi wake aliosambaza kwa kutumia lugha ya kutisha watu. Bahati mbaya, kuna wasiojitambua kama wana vichwa,wamekuwa wakimuunga mkono kwa kila jambo!
 
hajawatetea, anasema as long as mmeingia mikataba nao, mkiwafukuza bila kufuata sheria watawashitaki. Actually alipendekeza kuwa kwanza tujitoe MIGA, then tuanze rabusha rabusha, short of that tutanyolewa bila maji! Wapi amewatetea?
sema lolote, Lissu atabaki kuwa mtu bwege tu! Huwezi kushauri njia ambayo sisi ni wanachama kwa niya njema.
 
Lissu anatakiwa ajitokeze kueleza upuuzi wake aliosambaza kwa kutumia lugha ya kutisha watu. Bahati mbaya, kuna wasiojitambua kama wana vichwa,wamekuwa wakimuunga mkono kwa kila jambo!
Nadhani wewe ndio una matatizo, aliwashauri vizuri kuwa kwa mikataba ile kuwafurumusha lazima waende mahakamani na watashinda, kama ulimsikiliza prof Kabudi alieleza wazi kilichotokea ni uchafu na kama ni kulaumiwa basi iwe kwa mikataba mipya walioingia, na wewe tumia muda wako kusikiliza na kuelewa kuliko kutanguliza mdomo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom