Lissu, the grace period is over. Unataka maridhiano ya nini?

Non sense, yaani Tanzania ipasuke kisa Chadema na Act wazalendo wamekosa wabunge? Hivi kama watanzania wamedhurumiwa wangekaa kimya. Pumbavu zako, wewe usitusemee watanzania tuna akili zetu.
Kama umesoma vizuri na kuelewa nilichosema sidhani kama ungesema hivyo.Ila kwa vile wewe ni "die hard" hakuna jinsi,huwezi elewa.Endelea hivyo hivyo kwani upumbavu ni sehemu ya sifa za die hards. It will take a century for guys like you to come to your senses.SHIT!
 
Suala si Lissu kwa sasa; suala ni kujiandaa na utetezi kwenye kesi yetu ya Uholanzi...uhalifu dhidi ya binadamu.
 
Shoga yenu anavyo nagwa na watu wake

1605461207553.png
 
Kabla ya kuomba maridhiano,kwanza wamuombe Magufuli walau aweanafatilia malalamiko na kelele zawakina Lissu.
maana hana habari kabisa na maombi ya Lissu.

Yamkini Magufuli ajui hatakama Lissu kaanza kuomba poo.
 
Chama kimoja kimeongoza miaka 59 lakini hoja zake kwenye kuomba kura ni elimu, afya na maji? What a shame !
Sasa kama ndege na reli zimesaidia mbona ajira zimezidi kuwa ngumu na wakati miradi ndo kama hiyo? Au pato dogo?
We ulitaka aongelee nini...mbege au...maendeleo yanatafsiri pana...hauwezi ukaja kuwaambia wananchi maendeleo ni uhuru wa vyombo vya habari...wakati hizo ni elements ndogo sana kwenye dhana ya maendeleo...nyie chadema mkae mjitathimini na sera zenu
 
Wakati wa kampeni alipokuwa Ikungi district, nyumbani kwao na aliyekuwa mgombea wa Chadema rais Magufuli alitamka maneno ya msingi sana ambayo yalionyesha nia yake ya kutaka maridhiano na wapinzani...
Kwani unateseka changu?

Ushindi mshapata ila bado MNA guilty conscious. Ningekuwa wewe ninge log off jf.utadhani bado kampeni zinaendelea.

Tulia ule mema ya nchi kama ulivyotarajia ccm ikishinda.
 
Back
Top Bottom