Lissu, the grace period is over. Unataka maridhiano ya nini?

Mkuu kumshauli lissu ni kupoteza muda, huyu mtu analaana ya asili,nadhani hata siku ya kifo chake kaburi lake litamtema
Nitamuombea Kiongozi wetu wa nchi kwa Mungu wa kweli na wa haki pale atakapoinda tume ya watu mashuhuri wa ndani na nje ili kuwabaini Wasimamizi wa uchaguzi na watu wote walikutwa na kura feki waliovuruga uchaguzi.

Tume hiyo itakua ndio dira ya maridhiano. Japo sijaelewa ilikuaje na ulikua ni ujinga wa namna gani kwa Mdee kukamata kura feki na kumwachia mhusika na kuchoma moto karatasi zisizo na hatia badala ya kibaka aliyebeba kura. Lilikua ni jambo la kusikitisha sana.

Pawe na maridhiano na wale wakurugenzi watakaobainika kuwa wamevuruga uchaguzi kwa figisu kwa mchakato wote wa uchaguzi na kwenye matokeo basi wachukuliwe hatua Kali sana mana wamefanya mchezo mbaya sana ambao ungeweza kulitia taifa letu kwenye vurugu kubwa. Ni bahati tu vyama vya ipinzani havina watu wenye kuchochea mauaji na vurugu kama ilivyo kwa Musiba,Kheri na Bashiru.

Serikali inapaswa kuwachukulia hatua Wakurugenzi na wasimamizi wa uchaguzi waliovuruga na sio kuwaachia wananchi waamue kwa njia zao mbaya wanazozifuata kuleta madhara kwa wakurugenzi hao waliokua wanajali matumbo yao wenyewe.
 
Magufuli mnamuona kama mungu. Yani akili yako inafikiri lissu hawezi ishi bila mshahara wa magufuli. Leo hii lisu akisema tuwe tunampa mshahara kila mwezi kwa michango anaweza pata pesa mara 20 ya mshahara wa magufuli kila mwezi.
Unangoja nini kuanzisha hiyo harambee ya kumlipa Lissu?
 
Wakati wa kampeni alipokuwa Ikungi district, nyumbani kwao na aliyekuwa mgombea wa Chadema rais Magufuli alitamka maneno ya msingi sana ambayo yalionyesha nia yake ya kutaka maridhiano na wapinzani...
Ni wapi amesema anataka maridhiano.

Au unachanganya ugomvi wako na mkeo na mambo ya siasa
 
Hahaha kumwamhia unayeshindana nae asihangaike utampa kazi ndio maridhiano? Hivi kumbe ninkweli watanzania wengi wanatumia vichwa kufugia nywele?
 
Kama umesoma vizuri na kuelewa nilichosema sidhani kama ungesema hivyo.Ila kwa vile wewe ni "die hard" hakuna jinsi,huwezi elewa.Endelea hivyo hivyo kwani upumbavu ni sehemu ya sifa za die hards. It will take a century for guys like you to come to your senses.SHIT!
Uyo anafikiri Tanzania kupasuka ni kama kikombe cha udongo vile.

Leo hii mtu ( mtanzania) anakufa au kupata matatizi, kundi flani lonasherekea. Apo unaweza sema Tz haijapasuka?
 
Ungejua yanayoendelea Lindi mtwara na sehemu zingine ambazo watu wanachomewa nyumba zao wala msingeuliza maridhiano ya nini.
 
Mimi nadhani aliyeiba kura na kutengeneza kura feki na mwisho wa siku akawapiga watu risasi na kuwaua huyo ndo mwenye laana ya asili.
BATILI NI BATILI HAIJALISHI WATU WANGAPI WAMEFANYA.
Na karma itawamaliza.
Mkuu kumshauli lissu ni kupoteza muda, huyu mtu analaana ya asili,nadhani hata siku ya kifo chake kaburi lake litamtema
 
CCM hawakusoma Alana za nyakati..Mabeberu hawataki dictators wa kiafrika...wakamuuwa Ghadaffi ..ikaja Arab Spring..sasa inakuja Mashariki Al Bashir ndani..Wamebakia Meko,M7 na Mr Tall...
 
Ngoja tuone mwisho utakuwaje.
Unaikumbuka Cuf Ngangari ya 2000? Kuna tofauti na yanayotokea leo? Haya yote ni sababu ya watu kutokubali matokeo. Nyumba kuchomwa ni uhalifu wa watu wasiojua ustahimilivu wa siasa,wanadhani kugombea ninkushinda, kama umeahindwa isivyo halali kwa nini usiende mahakamani?
 
Sikulazimishi UAMINI.

Maana kanuni moja wapo ya kuwa CCM ni kujitoa ufahamu.najua sio kosa lako
Kwa akili za kawaida tu,hizo picha zinathibitisha nini? Hayo makaratasi ya kupigia kura unaweza kuyahakiki kwa kutumia picha kama hii? Hivi kweli kwa kuweka picha kama hizi utamshawishi nani huu upuuzi?
 
Naipenda serikali iliyopo madarakani,ila kwa hii comment yako wewe kiumbe hupaswi kuweka hata avata ya president kwenye a.c.. yako.
utanenaje makufuru juu ya hatima ya kaburi kwa binadamu mwenzio?

Panzi mkubwa wewe! hujaelimika kwa ubichwa panzi wako.Usiwanenee wenzio mabaya kisa itikadi sawa? Utoko kweli wewe
Mkuu kumshauli lissu ni kupoteza muda, huyu mtu analaana ya asili,nadhani hata siku ya kifo chake kaburi lake litamtema
 
Magifuli mnamuona kama mungu. Yani akili yako inafikiri lissu hawezi ishi bila mshahara wa magufuli. Leo hii lisu akisema tuwe tunampa mshahara kila mwezi kwa michango anaweza pata pesa mara 20 ya mshahara wa magufuli kila mwezi.
Mngekua na uwezo huo wa kuumpa Lissu Mshahara kila mwisho wa mwezi,asinge enda tia huruma kwa Wazungu huko! Lissu kinachomsumbua ni njaa tu, hakuna kingine!
 
Back
Top Bottom