Siasa zinazohitajika nyakati hizi!!!Chadema inawanachama na viongozi wa juu zaidi ya Tundu lissu, ni nini kinamfanya huyu Lissu ashindwe kutulia na kusoma nyakatu hizi zinahitaji siasa za namna gani?
Kwa namna ya siasa ambazo Lissu amezoea kuzifanya kwa nyakati hizi lazima zitakugharimu na kukupoteza kabisa kabisa katika ramani ya siasa
Siasa zako zimeegemea sana matamko ambayo hulopoka tu pasi kufuata taratibu na unajikutuka uko mikononi mwa polisi huku ukijua wazi unachokifanya ni kinyume na sheria za nchi hii, itakucost saana kwa nyakati hizi
Lissu kwa sasa Tanzania haihitaji siasa za uchochezi na uchonganishi bali tunahitaji siasa safi zenye tija kwa taifa
Sidhani kwa sasa unaweza hata chomoka katika vyimbo vya dola, hii lazima ufundishwe kwamba rais na serikali yake inahitaji kueshimiwa, kaa mahabusu uko akili zikuingie utajua tu nyakati hizi ni siasa gani zinaitajika
Kalale ndugu yangu
Mandela 27 yrs itakuwa selo
Hahahahaaaa.Yuko shift ya usiku buku 7. Eti asome alama za nyakati! What happened to our constitution and rule of law!?
Inasemekana ata Mandela na Jacob Zuma walilala sana selo wakati wakipinga apartheid.
Iko siku hutoyasema hayo na hizo siku ziko mlangoni pako, hayo mnayozani ni furaha kwenu kwa sasa kesho ni huzuni kubwa kwenu,majibu yapo hapahapa dunianiHahahahaaaa.
Sina la kuongezea.
Ushamaliza kila kitu mkuu..
Shift
Tundu Lissu:
Dear members.
Greetings from your President wherever you may be.
Unajidai huna chama, lakini unaonesha chuki dhahiri kabisa.Tumeshaambiwa anatumwa...
Anapenda bahasha za khaki sana huyu
Ila kwa uwoga eeeeeeeh... anajua kuongea mdomo mbele kutafuta kiki yakimkuta eeeeeeh kudonoa tu viherufi ka vile mawakili hawana kazi wakimbilie kumuokoa
Anatenda ya siasa kwa kuongea... msaada anawalilia mawakili... hata Chadema hawaamini tena
Jana eeeh akawaeleza mawakili... wachama akawaweka chemba hawana msaada kwake eeeh
Kila mTanzania anajuwa Lisu anasimamia maslahi ya nchi lakini magufuli kwa u kabisa na kuvunja sheria matumizi mabaya ya fedha za umma na u kabisa hataki kuambiwa alimnyamazisha Ben wengine wanaibuka lissu a naangalia na umoja wa mataifa kama mumepata kumtesaAtakaaje kimya wakati analipwa na mabwana zake kuhakikisha ana destabilize nchi, kwa iyo ndio maana unaona anajitoa faham. Wacha aendelee kuwalia hela huku akisota rumande, anadhani matamko yake yatabadilisha kitu, atabadilishwa yeye.