cotyledon
JF-Expert Member
- Aug 25, 2018
- 2,241
- 1,586
Itakuwa ni Lucas fekiAkina Lucas wengi uwa wana akili na uelewa, lakini wewe upo tofauti ni Lucas mjinga
Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
Itakuwa ni Lucas fekiAkina Lucas wengi uwa wana akili na uelewa, lakini wewe upo tofauti ni Lucas mjinga
Lucas acha kuwa mjinga HV wee Ni mzazi ,mume wa mtu KweliHakuna wa kumsikiliza Wala kumuunga mkono huyu Mropokaji ,mkurupukaji na aliyekosa adabu na heshima kwa Rais . Lissu Ni mtu anayeonekana kukosa malezi Bora ya wazazi wake, Ni mtu anayeonekana kutokuwa sawa kichwani maana ujenzi wa hoja ni mdogo usio na ushawishi Wala kueleweka kwa watu,ndio maana anatazamwa Kama sanamu tu. Maana kila mtu anamshangaa kuwa Ni mtu mzima lakini hovyo kabisa,hajielewi wala hajitambui,yeye Ni kuropoka tu chochote kinachomjia mdomoni mwake.
Nyie wavaa makobaz kindaki ndaki hamwez Mwelewa Lissu .... Lissu ndo mtu pekee anayefikisha ujumbe direct Kwa Raisi pamoja na kundi lake la machawa...inabd ampige spana Kali mpak aelewe...Usiwe sadistic Kwa kukubali watoa matusi ....kukulazimisha wawe Viongozi wako.....Lissu ni radical activist...sio Kiongozi wala hajawahi kuwa kiongozi
Kwani anatumia kamnyweso?....Kwa hiya babu yetu Sultani Mangungo tunamuonea tu maana alikuwa hajasoma.
Wewe ikitokea Vurugu kwani lazima uwepo, si ulale kwako Masaki..Tapeli na saliti tu Hilo,Hakuna chochote anachopigania zaidi ya Tumbo lake na maslahi yake,Hana uzalendo wowote kwa Taifa letu Ndio maana familia yake haina uraia wa Tanzania,ndio sababu anahamasisha machafuko na vurugu nchini kwa kuwa anafahamu kuwa familia yake haipo nchini na Haiwezi kuteseka kwa chochote. Hii ndio sababu watanzania wanaendelea kumpuuza Sana lissu na kumuona Kama kichaa tu.
Tz tukubali tukatae hatuna rais ni mpigaji kama wapigaji wengine tu.View attachment 2681364
Akiwa katika Mkutano wa hadhara uliofanyika Kibamba, leo Julai 7, 2023, Mgombea urais wa CHADEMA (2020) Tundu Lissu amedai katika historia ya Tanzania kama nchi, hakuna Rais amewahi kusaini mkataba wa ajabu alioutafsiri kuwa tukio la kijinga kuwahi kutokea kama Rais Samia.
Pia, hili litaenda sambamba na kudai katiba mpya, na inawezekana mambo haya yote yakafanikiwa.
We ndio Kichaa Sasa...ebu rudia kusoma ulichoandikaTapeli na saliti tu Hilo,Hakuna chochote anachopigania zaidi ya Tumbo lake na maslahi yake,Hana uzalendo wowote kwa Taifa letu Ndio maana familia yake haina uraia wa Tanzania,ndio sababu anahamasisha machafuko na vurugu nchini kwa kuwa anafahamu kuwa familia yake haipo nchini na Haiwezi kuteseka kwa chochote. Hii ndio sababu watanzania wanaendelea kumpuuza Sana lissu na kumuona Kama kichaa tu.
sema chaguo lako lenu na nani?Rais Samia Ndio chaguo letu watanzania mpaka 2030,tunamwamini na tunaendelea kumuunga mkono Tunaamini Rasilimali zetu zipo katika mikono salama na zitaendelea kulindwa kwa maslahi mapana ya Taifa letu na vizazi vijavyo
Raisi Samia ndo hana Adabu anawezaje uza nchi alafu uje kusema Lissu hana Adabu...huyu mama hafai wala kuongoza Familia yake mana wao na watoto wake na vizazi vyao vijavyo kwmawauza....Ata 2025 hatakiwi kufika haachie nchi bora tuongozwe na JuMa Nature.Hakuna wa kumsikiliza Wala kumuunga mkono huyu Mropokaji ,mkurupukaji na aliyekosa adabu na heshima kwa Rais . Lissu Ni mtu anayeonekana kukosa malezi Bora ya wazazi wake, Ni mtu anayeonekana kutokuwa sawa kichwani maana ujenzi wa hoja ni mdogo usio na ushawishi Wala kueleweka kwa watu,ndio maana anatazamwa Kama sanamu tu. Maana kila mtu anamshangaa kuwa Ni mtu mzima lakini hovyo kabisa,hajielewi wala hajitambui,yeye Ni kuropoka tu chochote kinachomjia mdomoni mwake.
Hawataki kwenda kukaa kando ya kaburi la bwana wao.
Mkuu una shida kichwaniHakuna wa kumsikiliza Wala kumuunga mkono huyu Mropokaji ,mkurupukaji na aliyekosa adabu na heshima kwa Rais . Lissu Ni mtu anayeonekana kukosa malezi Bora ya wazazi wake, Ni mtu anayeonekana kutokuwa sawa kichwani maana ujenzi wa hoja ni mdogo usio na ushawishi Wala kueleweka kwa watu,ndio maana anatazamwa Kama sanamu tu. Maana kila mtu anamshangaa kuwa Ni mtu mzima lakini hovyo kabisa,hajielewi wala hajitambui,yeye Ni kuropoka tu chochote kinachomjia mdomoni mwake.
Hizi ni zama za mapinduzi ya tehamaView attachment 2681364
Akiwa katika Mkutano wa hadhara uliofanyika Kibamba, leo Julai 7, 2023, Mgombea urais wa CHADEMA (2020) Tundu Lissu amedai katika historia ya Tanzania kama nchi, hakuna Rais amewahi kusaini mkataba wa ajabu alioutafsiri kuwa tukio la kijinga kuwahi kutokea kama Rais Samia.
waka 2025 kwenye uchaguzi mkuu kupitia sanduku la kura, uwe mwaka wake wa mwisho kukanyaga Ikulu ya nchi hii.
Pia, hili litaenda sambamba na kudai katiba mpya, na inawezekana mambo haya yote yakafanikiwa.
Mkuu yuko sahihi, ni bora kuwa na Samia 2000 kuliko lile jitu mojaUnaumwa upele
Hivi jiwe na Baba Tale nani ana nafuu?Usimlinganishe Magufuli na takataka
Wazee wa katiba iandikwe kwa kiisilamu
Saint Magufuli bado anafanya kazi yake aliyoiomba akienda kuzimuHivi jiwe na Baba Tale nani ana nafuu?
Usukuma gang unakupa tabu sanaLa
La msingi ni kuungana kwenye kesi kupinga. Makubaliano hayawezi kua nje ya sheria halafu eti ndio yabarikiwe kwa kuundwa sheria kuruhusu udhalimu. Kimsingi makubaliano aliyosaini mbarawa kwa niaba ya mama ni non and void.
Wenye kuelewa tulijua huyu mama ni mtu mlaku wa mali na anaanguka kirahisi kwa tamaa. Watanganyika hatutakubali. Akikaza shingo itakua balaa ndio maana kesi iendeshwe na kila hila zithibitiwe. Vibaraka wa Dubai ni wengi hawaoni tabu nchi yetu kua watumwa wa waarabu karne ya 21.