Lissu: Ole wao nipone

Lissu: Ole wao nipone

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2015
Posts
14,242
Reaction score
34,917
lissu.jpg

" Swali la Kizushi: WATU WASIOJULIKANA NI WALE WALIOKUJA KUTOKEA ILE NCHI JIRANI KUFANYA ILE SHUGULI?
 
mbona h
Wanajulikana wote! Makonda akihojiwa anawajua wote!! Aminywe Makonda na chungu kitapasuka Moshi wa Ben Saanane utaoneka! Wa roma mkatoliki uko angani tayari, miili ya waliwekwa kwenye viroba na kuzikwa pale mto ruvu itatoa moshi unaolia Makonda!! Bashite!! Makonda!! Bashite!!! wasipomhoji machozi na albadir/maombi ya watanzania itamhoji kwa kilio na kusaga meno!!
Mbona hiyo albadir haijawapata tu hao akina Makonda?
 
Wanajulikana wote! Makonda akihojiwa anawajua wote!! Aminywe Makonda na chungu kitapasuka Moshi wa Ben Saanane utaoneka! Wa roma mkatoliki uko angani tayari, miili ya waliwekwa kwenye viroba na kuzikwa pale mto ruvu itatoa moshi unaolia Makonda!! Bashite!! Makonda!! Bashite!!! wasipomhoji machozi na albadir/maombi ya watanzania itamhoji kwa kilio na kusaga meno!!
Albadiri imeshindikana? Hakuna haja tena yuko safi.
 
Haya magazeti yametuchosha sasa wamwache Mheshimiwa Tundu Lissu apone. Isiwe kila siku headline ya kutafutia masoko magazeti
Uhuru, Habari leo na Tazama yapo. Wahangani huku?
 
Bashite Bashite....mambo magumu yoote unayaweza moja tu mwaka sasa........onyesha Cheti chako cha form 4
 
Haya magazeti yametuchosha sasa wamwache Mheshimiwa Tundu Lissu apone. Isiwe kila siku headline ya kutafutia masoko magazeti
Umeongea point sana mkuu yaani waandishi wa habari baadhi hua wanaandika heading kwa msisitizo sana
 
Back
Top Bottom