Lissu ni bora ukakaa kimya

Usiteseke na Lisu nadhani watoto wako hawako shule nzuri, wapeleke Ulaya/US wasome, achana na mambo ya Lisu. Muachie Lisu mambo yake. Ni ushauri tu kama wewe ulivyotoa ushauri!
 
TL anatengeneza Attention kwa kiwango kwamba atakapokuja ataangaliwa tu bila kufanywa lolote sababu akiguswa tu itakuwa anatoneshwa, na sidhani kama kumtonesha mgonjwa ni sahihi.
 
Ni kweli akae kimya juu ya ushiriki wake uchaguzi ujao kwanza wakati wake bado na pili watu fulani huku nyumbani wanakuwa very uneasy. Kuhusu kurudi huku afanye hivyo akiruhusjwa na Dr wake siyo kwa takwa la Polepole au Makonda. Safari za ulaya ziendelee maana wafadhilj wako ndio walinzi wako ukirudi. Sasa wamefika mil. 90!
 
Usiteseke na Lisu nadhani watoto wako hawako shule nzuri, wapeleke Ulaya/US wasome, achana na mambo ya Lisu. Muachie Lisu mambo yake. Ni ushauri tu kama wewe ulivyotoa ushauri!
Tatizo vijana wengi, ngoja nip
Usiteseke na Lisu nadhani watoto wako hawako shule nzuri, wapeleke Ulaya/US wasome, achana na mambo ya Lisu. Muachie Lisu mambo yake. Ni ushauri tu kama wewe ulivyotoa ushauri!
Shut up you idiot, u have hit a wrong button, bint yangu yupo Bournemouth University mtoto wangu wa kiume Greenwich University Niambie familiar yako
 
Tatizo vijana wengi, ngoja nip

Shut up you idiot, u have hit a wrong button, bint yangu yupo Bournemouth University mtoto wangu wa kiume Greenwich University Niambie familiar yako
Idiot mama yako shenzi mkubwa!
 
Acha kujikweza weye!!! Ni nani nchi hii wewe hadi ujikweze kutaka kumnyamazisha Lissu?

Mwenyezi Mungu alipomuumba Lissu alimpa uwezo wa kuongea na akili kubwa hata wauaji walipotaka kumnyamazisha Mwenyezi Mungu alilinda huo uwezo wake wa kuongea na akili kubwa?

Sasa wewe ni kidudu gani hata ujikweze kutaka kumnyamazisha? 😳

Kwani mnaumia nini yeye kuzurura!?
Wakat tunajichanga kumtibu mlikaa kimya....hamkulala mkisubiri taarifa ya msiba
...mlichapa ad risala na tshet za msiba
Leo kapona anaieleza dunia jinsi Mwenyez Mungu alivomuokoa mnaanza kumpangia cha kusema!!
Mlikua wap kuwashaur Team DAB wasimpige risas.....spika atoe hela za matibabu ambayo n haki yake kisheria!???

Et leo mnampangia cha kusema!!
Nasemaje tuliokutib tunasema
Go Lissu go lissu.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tutahakikisha tume huru inapatikana
 
Usiteseke na Lisu nadhani watoto wako hawako shule nzuri, wapeleke Ulaya/US wasome, achana na mambo ya Lisu. Muachie Lisu mambo yake. Ni ushauri tu kama wewe ulivyotoa ushauri!

Mkuu si uwaombe mods warekebishe title ya uzi wako?

Ingekuwa hivi ingaliweza kuwa bora zaidi:

"Lissu ni bora ukakaa kimya maana unatuchoma mno kumoyo. Tuonee huruma hatulali"
 
Unaweweseka wewe,acha Lissu akunyooshe ushauri wako ipellekee familia yako inamatatizo mengi sana.
 
Amini nakuambia Lisu akinyamaza MAWE YATAPIGA KELELE.Heri MTU yule asiye na mashaka nae.
 
Akirudi hiyo chance ya kufanyiwa hizo sajari inaweza isiwepo let him be maana anazijua vyema figusi zilizopo nchin kwake, kipind kile alitakiwa kusafir kwenda tu Rwanda akiwa Rais wa TLS alidakiwa Airport itakuwa kwenda kutibiwa tena nje?
 
tatizo mnachukulia kila kitu siasa katiba inafuatwa kila ktu kiko sawa shida yenu mmezoea vya kunyonga vyakuchinja vinawashinda fanyeni kazi acheni kulalamika hovyo
Ni katiba ipi hiyo inayoruhusu Lissu kupigwa risasi?
 
anajinyoosha mwenyewe hamna hata mtu ambaye yuko aware nae anajisumbua tu hana jipya
Kama haumiii tulia basi. Unalalamika nini Lissu akihojiwa na vyombo vya habari vya kimataifa?

Kama serikali ya Tanzania na CCM hawaumii kwanini Spika wa bunge, Msemaji wa serikali, Bashite, Msemaji wa CCM wanahaha kumjibu tena kihuni huni?

Makada wa CCM karibu wote wako busy mtandaoni kuporomosha propaganda dhidi ya Lissu, kwanini wasiwe busy kuelezea ndege za Magufuli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…