Lissu ndilo tegemeo tulilo nalo kwenye kuikomboa nchi hii sasa

Naunga mkono HOJA.

Lissu angalau anaeleweka, na akiongea anamaanisha.

Tuhakikishe bila Tume huru ya Uchaguzi na KATIBA mpya, haufanyiki uchaguzi wowote!!

Kila mtu ana mapungufu yake ila wengine ni umbumbumbu zaidi. Wanadhani siasa ni Simba au Yanga.

Tuutafute umoja:

"TAL, Zitto, Jussa, Mwabukusi, Mdude, Nshalla, Slaa, Shivji, Ulimwengu, Kitila, Mpina, Madeleka, Kigaila, Maria Sarungi, askofu Mwamakula, askofu Bagonza, Father Kitime, Sheikh Ponda na wa namna hiyo."

Timu ya ushindi hIyo hapo.

Kama jina lako halikutajwa jitafute kwenye "wa namna hIyo."

Wanatakiwa waliodhamiria na kuamini kwenye uhuru, haki, usawa na demokrasia Kwa maneno na Kwa vitendo.
 
Kutokuliandika Jina la Mzee wetu "Warioba",

List haikamiliki!!
 
Kutokuliandika Jina la Mzee wetu "Warioba",

List haikamiliki!!

Mkuu wako wengi. Ukiona hajatajwa atakuwa kwenye wa namna hIyo. Huwezi kuwataja wote.

Mzee Warioba yuko humu:

"2. TAL ni Nyerere, Mandela, Che Guevara, Castro, Gandhi, nk, wa zama zetu.

Unaiona "nk" pale? Ni wazi kuwa hawaingii kina komando, kol*mba au walamba asali wengine humo.
 
Hauna kifua cha kuhimili tofauti za mitazamo, nahofia utaanza matumizi ya zile lugha zako unazozijua, unless nikuunge mkono ndio unapenda.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Mara buku CCM waendelee kutuchuna kodi zetu kuliko kuwapa nchi Mashoga!
Yaani watu wa aina yako kuendelea kuishi ulimwengu huu ni neema ya Mungu tuu, lakini kwetu wanadamu hungestahili kuendelea kuwa nasi maana hata sokwe anakuzidi akili.
 
Nchi za kiafrika huwa zinaongozwa kwa 'rimoti kontrol' toka kwa mabwanyenye...

Wabonyeza rimoti huwa hawapendi watu wenye kuhoji hoji kama hao kina TAL, JPM, Mugabe, Gadaffi n.k

Huwa wanapenda ngoma tupu au dafu bila maji...
Umenena !!
 
Yaani watu wa aina yako kuendelea kuishi ulimwengu huu ni neema ya Mungu tuu, lakini kwetu wanadamu hungestahili kuendelea kuwa nasi maana hata sokwe anakuzidi akili.

Usingae mtu kama huyo ni CHADEMA au kuna Chadema wakiwamo viongozi wenye kumwuunga mkono.

Kuwa watu hao, denoo JG hawajishangaa ila eti wanakushangaa, yaani hawawezi kuelewa.

Wa kazi gani watu hao?
 
Kichwa yako haiko sawa
 
Unalazimisha tu mambo, kauli ya Lissu haiwezi kuchukuliwa kama kauli ya chama kwa sababu yoyote ile, chama hutoa tamko pale ambapo watakutana wajumbe kisha kuja na msimamo mmoja, jambo ambalo halijafanyika popote.

- Mbona hujui vitu vidogo hivi?!

Kama unaamini kauli ya Lissu ni kauli ya chama kwa sababu yoyote ikiwemo cheo chake, vipi kesho akijitokeza KM akatoa kauli ya tofauti na ile aliyotoa Lissu kuhusu jambo alilozungumzia Lissu?

Huoni hapo kinachotokea ni uhuru wa mtu kutoa maoni yake, bila kujali nafasi yake kwenye taasisi aliyopo?

Vipi ikitokea kauli za viongozi wawili zikatofautiana, zote zitakuwa kauli za chama? hapo patakuwa na chama au vurugu? au kwako ni kauli za chama kwasababu amesema Lissu?!

Au unasema kauli ya Lissu ni kauli ya chama kwasababu ametoa maoni ya kukupendeza, vipi kama angeongea Mbowe tofauti na kile alichosema Lissu, nae ungesema kauli yake ni kauli ya chama? hivi hujioni unavyosumbuliwa tu na ushabiki wako kwa Lissu?!

Jitahidi ujue kutofautisha haya mambo na usiweke mahaba kupitiliza kwa mtu, hiyo kwa kiasi kikubwa itakupunguzia ufahamu wako, na uwezo wa kuchambua mambo.

See you!.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Usingae mtu kama huyo ni CHADEMA au kuna Chadema wakiwamo viongozi wenye kumwuunga mkono.

Kuwa watu hao, denoo JG hawajishangaa ila eti wanakushangaa, yaani hawawezi kuelewa.

Wa kazi gani watu hao?
Ona ulivyokosa self control, una uwezo mdogo wa kupembua mambo.

Huyo Chakaza amem quote mdau mwingine pale juu, ndio akatoa maoni yake kumhusu, ajabu wewe unaitumia hiyo comment ya Chakaza kunihukumu mimi, wewe jamaa una upungufu mkubwa sana wa uelewa na ni mwepesi sana wa ku-panic kwenye haya mambo.

Zaidi unasumbuliwa na vimelea vya kidikteta, tangu jana nimekuona, kile unachotaka wewe ndio lazima kiwe, ukipingwa, unamfukuza mwenzio chamani!.

Kama unaona mambo ni mepesi hivyo, mwambie Lissu muanzishe chama chenu, then uwachukue ndugu zako na marafiki zako uwapendao, uwape hilo somo lako la imani na msimamo, ili muishi pamoja milele!.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Ndio uwaite mashoga? Umehukumuje kuwa ni mashoga kama unazo akili timamu na sio zilizozidiwa hata na sokwe?
Sikiliza, kama hiyo CCM yako ingekuwa haija waweka makada wao kuwa viongozi wa vyombo vya dola kusimamia wizi wa kura, basi siku nyingi ingekuwa imejifia kama KANU kule
.
Ila kwa taarifa yako vijana wengi maofisa kwenye vyombo vyetu vya dola wameanza kubadilika mindset zao baada ya kuyaona ya huko Burkina Faso, Niger, Guinea nk na ccm wakiendelea wizi wa kura wataamua hatma ya nchi kwa njia zisizo hekima.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…