Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,639
- 164,777
wanataka kuuza magazeti. sidhani kama Lisu ana mawazo hayo kwa sasa wakati anajiuguza.Hii ni habari katika gazeti la Raia Mwema la siku ya leo Jumatatu ya tarehe 29/01/2018.
Chanzo:kutoka magazetini
Raia Mwema linatoka jumatatu?!!!!Hii ni habari katika gazeti la Raia Mwema la siku ya leo Jumatatu ya tarehe 29/01/2018.
Chanzo:kutoka magazetini
hawezi, haji, haiwi, hatakuwa, asahau....
1.hawezi pata ridhaa ya chama chake
2.msaliti no. moja wa taifa, akili ya Lissu ni sawa na Joyce kiria, mke wa kilewo....kutoa siri za ndoa nje
3.haaminiwi na vyombo vya usalama, so akigombea ataishia kupigiwa deki
4.mshari, ana visasi, mbishi na ataleta machafuko nchini tatizo lake na JPM binafsi kaliweka ni tatizo la nchi na kuumiza kila mtu
5.he never appreciates hata ufanye nini!..
Hiyo namba 2 nimeipenda!hawezi, haji, haiwi, hatakuwa, asahau....
1.hawezi pata ridhaa ya chama chake
2.msaliti no. moja wa taifa, akili ya Lissu ni sawa na Joyce kiria, mke wa kilewo....kutoa siri za ndoa nje
3.haaminiwi na vyombo vya usalama, so akigombea ataishia kupigiwa deki
4.mshari, ana visasi, mbishi na ataleta machafuko nchini tatizo lake na JPM binafsi kaliweka ni tatizo la nchi na kuumiza kila mtu
5.he never appreciates hata ufanye nini!..
Habari mbaya kwa Faru John wa Fid QHii ni habari katika gazeti la Raia Mwema la siku ya leo Jumatatu ya tarehe 29/01/2018.
Chanzo:kutoka magazetini
Anazo pesa za kumlipa Lowassa ili achukue nafasi yake?
Utakua ulishiriki kwenye lile tukio sio kwa povu hilohawezi, haji, haiwi, hatakuwa, asahau....
1.hawezi pata ridhaa ya chama chake
2.msaliti no. moja wa taifa, akili ya Lissu ni sawa na Joyce kiria, mke wa kilewo....kutoa siri za ndoa nje
3.haaminiwi na vyombo vya usalama, so akigombea ataishia kupigiwa deki
4.mshari, ana visasi, mbishi na ataleta machafuko nchini tatizo lake na JPM binafsi kaliweka ni tatizo la nchi na kuumiza kila mtu
5.he never appreciates hata ufanye nini!..
Apone kwanza!Hii ni habari katika gazeti la Raia Mwema la siku ya leo Jumatatu ya tarehe 29/01/2018.
Chanzo:kutoka magazetini
Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? ...Ameonyesha Uwezo Zaidi ya Magufuli!Hii ni habari katika gazeti la Raia Mwema la siku ya leo Jumatatu ya tarehe 29/01/2018.
Chanzo:kutoka magazetini
na wewe utuhakikishie huvuti bangi!Atuhakikishie kama ataacha kuvuta sigara kali.
Eti eeh!badala ya kutafakari hivyo vyuma vilivyo mwilini vinatokaje![emoji124][emoji124][emoji124]nasikia tamaa ikiwa mbele mauti huwa nyuma kidogo...Lisu yupi sasa huyu mgonjwa?
Simcheki ila kama ni huyo basi WATANZANIA hatujitambui kabisa.
Lisu yupi sasa huyu mgonjwa ?
Simcheki ila kama ni huyo basi WATANZANIA hatujitambui kabisa.