Lissu nae kama Zitto

b834569d0f3e76caab6b535d0f27db8a.jpg
 
"....Aliyofanya rais ni ya hovyo....Gharama tutakazolipa ni kubwa kuliko mchanga wa Acacia. We will become an economic busket case kama Zimbabwe.... Tumeharibu Mahusiano ya kiuchumi na tutashitakiwa..... "

Tundu Lissu May 30, 2017
 
Upuuzi mtupu huu, sikutegemea mwanasiasa mwandamizi kuongea ujinga huu
 
Hata Mugabe wananchi wake walikuwa wakimpa sifa kama hizi tunazompa Bwana mkubwa hivi sasa.

Sasa tujiulize Zimbabwe kiuchumi hivi sasa ikoje?

Huko ndiko tunakoambiwa wananchi wake wanabeba makapu ya manoti wanapokwenda shopping ya kawaida tu Super market!

The same life style of Idi Amin's Uganda of those years of 70's
 
Hawa wanaonesha kuwa kuna tatizo katika kumkamata mwizi, wanatakiwa wapewe nafasi watueleze wanavyoona njia rahisi ya kumshughulikia mwizi.
 
Je kwa wale mnaoshabikia pande hizi zilizotofautiana je
1. Mazungumzo yameisha na kuna upande ulioshinda?!
2. Kwa nini kila upande unaona mawazo ya upande wa pili kama kikwazo?! Kwa tusikae kuona mawazo ya kutusaidia mbele ya mazungumzo na hawa watu?!
3. Sote tu WaTz wazi hili la madini Maghufuli amelipokea na kulikubali baada ya wapinzani kulilalamikia kwa miaka mingi. Hivyo hakuna sababu ya kuzodoana, sote lengo ni moja
 
Tatizo La watanzania wengi ni ushabiki tu kwani siasa sio kama kushabikia simba na yanga hebu tujiulize harakati zote zinazofanyika zina impact gani katika maisha ya mtanzania wa hali ya chin kabisa na kama hazionekan kuna dalili zozote ni kwa mfumo Upi au tia maji tia maji????
 
Hata Mugabe wananchi wake walikuwa wakimpa sifa kama hizi tunazompa Bwana mkubwa hivi sasa.

Sasa tujiulize Zimbabwe kiuchumi hivi sasa ikoje?

Huko ndiko tunakoambiwa wananchi wake wanabeba makapu ya manoti wanapokwenda shopping ya kawaida tu Super market!

The same life style of Idi Amin's Uganda of those years of 70's
Nyie ni wapuuzi. Unakaukwa mate kutisha Watanzania wenzako kwa kutetea maslahi ya wazungu. Unajua kweli kilichotokea Zimbabwe hadi ufananishe na issue ya Acacia??
Historia inatufundisha kuwa hata enzi za utumwa Waafrika wa ovyo ovyo kama wewe walikuwepo pia.
 
Hata Mugabe wananchi wake walikuwa wakimpa sifa kama hizi tunazompa Bwana mkubwa hivi sasa.

Sasa tujiulize Zimbabwe kiuchumi hivi sasa ikoje?

Huko ndiko tunakoambiwa wananchi wake wanabeba makapu ya manoti wanapokwenda shopping ya kawaida tu Super market!

The same life style of Idi Amin's Uganda of those years of 70's
Inakuja muda siyo mrefu.
 
Back
Top Bottom