Lissu nae kama Zitto

Wameishiwa kisiasa, Magu kawashika hawana la kuropoka tena!
Ujaelewa alichoongea lissu ndo maana unapayuka
b834569d0f3e76caab6b535d0f27db8a.jpg
 
Nyie ni wapuuzi. Unakaukwa mate kutisha Watanzania wenzako kwa kutetea maslahi ya wazungu. Unajua kweli kilichotokea Zimbabwe hadi ufananishe na issue ya Acacia??
Historia inatufundisha kuwa hata enzi za utumwa Waafrika wa ovyo ovyo kama wewe walikuwepo pia.
Point yako ni ipi sasa.
 
Waliambiwa ni wezi hawakusikia..
Wakasaini mikataba ya wizi kwa kificho..
Walipoambiwa walete mikataba yote hadharani walidharau..
Wezi walipewa support ya kisheria na ndipo walipoimarisha wizi wao...
Kelele ziliopigwa na wasomi/wenye akili kubwa.. Wakadai wao ndo wenye nyumba...!
Leo kaja mkurupukaji mr misifa kadandia hoja kwa mbele... Anadai wale jamaa ni wezi kweli kweli! Na wenzake wajinga kwa uelewa tena kwa kujitoa ufahamu wanaungana naye..
Wao wanaita uzalendo.. Uzalendo uchwara..?? Undumilakuwili.. Ujinga... [HASHTAG]#Twaweza[/HASHTAG] wamewaweza!!

Ebu nyie ccm tutoleeni ujinga wenu..
Mwizi wetu mnamuogopa na leo mnataka kushirikiana naye kupanga utaratibu wa kutuibia..??

Daima wajinga wanawadharau sana wenye akili na upeo mkubwa...
Anyway historia itaandika kuwa bora akina Chief Mangungo kuliko wanachama wa ccm..!
 
Hata Mugabe wananchi wake walikuwa wakimpa sifa kama hizi tunazompa Bwana mkubwa hivi sasa.

Sasa tujiulize Zimbabwe kiuchumi hivi sasa ikoje?

Huko ndiko tunakoambiwa wananchi wake wanabeba makapu ya manoti wanapokwenda shopping ya kawaida tu Super market!

The same life style of Idi Amin's Uganda of those years of 70's
Wazimbabwe wamestahimli hiyo gali je wabongo tutatoboa? MCC wameminya kidogo tu, bajeti ya kilimo 3%
 
Je kwa wale mnaoshabikia pande hizi zilizotofautiana je
1. Mazungumzo yameisha na kuna upande ulioshinda?!
2. Kwa nini kila upande unaona mawazo ya upande wa pili kama kikwazo?! Kwa tusikae kuona mawazo ya kutusaidia mbele ya mazungumzo na hawa watu?!
3. Sote tu WaTz wazi hili la madini Maghufuli amelipokea na kulikubali baada ya wapinzani kulilalamikia kwa miaka mingi. Hivyo hakuna sababu ya kuzodoana, sote lengo ni moja
Mawazo mazuri mkuu odhis!
 
Only in Tanzania, mwizi atakaribishwa chumbani halafu walio nje wanaambiwa wamemsaidia mwizi kuingia chumbani.

Halafu huyo mwizi baada ya kusikia anaitwa mwizi anakuja fast kwa mbwembwe, kisha baba mwenye nyumba anaulizwa "umesema mimi mwizi?" Anajibu aaah wapi, wewe ni Mwanaume wa shoka.
Sanaa hii ya aina yake, hata Hollywood haijaanza kutumika
 
lissu ni great thinker. watanzania wengi ni washabiki tu hawajielewi.
Pamoja na kuwa ni GT lakini ana udhaifu mkubwa sana huyu Lissu na anaponyoka kwa udhaifu huo kwasababu watu wengi tumeshaamini kuwa kila anachokisema kina maana. Jiulize imekuwaje awalaum polisi kwa kuwavurumisha wahuni waliingia katika mgodi ati tu wamiliki wa mgodi ni wezi na yeye kama mwanasheria huoni kama anataka kutuona wote ni majuha kama wale waliodeki barabara ya vumbi?
 
Back
Top Bottom