Lissu na Lema hawataki Mbowe atoke gerezani?

USALITI WA VIONGOZI WA CHADEMA KWA MBOWE "HAWATAKI MBOWE ATOKE GAREZANI!"

Viongozi wa CHADEMA wanataka ruhusa ya kumpelekea MBOWE vyakula na vinywaji huko GEREZANI lakini hawataki ATOKE GEREZANI.

Mbowe ni Baba wa Familia kama wewe Lissu na Lema hammtaki ndugu jamaa na marafiki tunamtaka. Wala msitubishie maana ninyi huyo ni Mwenyekiti wenu lakini kuna Watu ni Kaka, Mjomba, Mme na BABA YAO wanataka wamuone.

Ndugu wanachama wa Chadema na Watanzania kwa ujumla, nawasalimu kwa jina la Jamuhuri ya Muungano ya Tanzania!

Nikiri kuwa tangu jana nimesikitishwa sana na vitendo vya viongozi wa Chadema hasa Lissu na Lema ambao wanaongoza zoezi la kuhakikisha Freeman Mbowe (Mwenyekiti) hatoki Gerezani kwa sababu hizi hapa.

Tatizo kasema Zitto. Mara nyingi kama si mara zote CHADEMA hawajawahi kukubali kuhusu mchango wa Zitto kwao. Zitto amekua si mtu wa kulipiza visasi ndiyomaana ameonekana kuwatetea kila wanapopita magumu. Utetezi wa Zitto kwa Chadema au viongozi wake umekua ukipata nguvu na mashiko katika jamii hili linawakera sana viongozi wa Chadema maana huwa wanapoteza points tatu muhimu japo huwa ni msaada kwao. Hii yajana imekua kubwa zaidi, kwani wanashinda mtandaoni kulalama na kumzodoa Zitto. Zitto Zuberi Luyangwa Kabwe (ZZK) ni Mwenyekiti wa TCD wapende wasipende na moja ya kazi yake nikuhakikisha usawa wa Vyama Nchini unakuwepo na ustawi wa siasa safi unaendelea. Kwahiyo yeye kama Mwenyekiti wa TCD kukaa kimya juu ya Suala la Mbowe tena Mbele ya Mh Rais wakati sikuzote amekua akilipigia kelele isingewezekana. Unapoona viongozi wa CHADEMA tena wakubwa wa ngazi za juu wanamzodoa Zitto na kujifanya kwa makusudi kuwa hawafikirii kuhusu TCD ni siri kubwa inayo leta maswali juu ya upendo wao dhidi ya Mbowe. Zitto alichokifanya nikuendeleza pale CHADEMA walipoishia, mfano mara kadhaa tumewasikia wakisema na kuandika kuwa Mh Rais aingilie kati suala la Mbowe lakini Zitto anasisitiza matakwa yao wanakesha kumsigina huu siyo uungwana bali ni ukigeugeu wa kiwango cha juu kuwahi kutokea.
Hivyo tutarajie TCD wakisema kuwa wanamuomba Mh Rais amhakikishie usalama Lissu ili arudi nyumbani kama anavyotaka watageuka tena na kufokaa! Uzwazwa na Unyumbu uliokithiri. Wanachadema angalieni mkakati mchafu wa kumuangamiza Mbowe unavyoasisiwa na viongozi wenu. Niliwahi kusema na leo nitarudia kuna viongozi wa CHADEMA Mbowe akiwajua atawanyonga hadharani wamemuuza maranyingi mno. Hawa ndiyo wafitinishaji wakubwa. (John Mrema jitafakari)

Hofu ya Kuisha kwa Ukimbizi wa Kisiasa. Hili nalo linamtesa sana Mwenyekiti Mh Mbowe bila yeye kujua. Lissu na Lema tayari wameridhika kukaa nje ya nchi huku wakiongoza chama kwa watsap,facebook na twitter. Wanachofanya sasa nikuona Mbowe anaendelea kusota iliionekane Tanzania haina amani. Wanaamini Mh Rais akimsaidia Mbowe kwa Mujibu wa Sheria Dunia itaendelea kuamini kuwa amani ipo na Lissu na Lema watafutiwa ukimbizi wanahofu ya kukosa kulelelewa na hao mabwana zao. Hivyo wanamtumia Mbowe kumuumiza ili wao waendelee kula mikate na siagi huko ughaibuni, hii ni roho mbaya sana ambayo wanachadema wanapaswa kuijua. Mbowe kawekwa kama ajenda ya siri ya wao kunawili ndiyo maana hawataki kusikia anatoka maana watakosa wanachotaka. Jamani inawezekanaje leo CHADEMA wawe mstari wa mbele kumshambulia anayetaka Mbowe awe huru? Ni kweli leo Lema na Lissu wanamsahau Mbowe kwasababu ya Mkate wa kumimina huko ULAYA?
Kakosa nini Zitto? Kusema Rais amuachie Mbowe kwa Mujibu wa Sheria? Zitto tenda wema nenda zako kaka maana kuna wengine ni ma-agent wa shetani.

Juzi juzi tu ASKOFU WA CHADEMA kasema anataka Rais amuachie MBOWE tena hakusema kwa mujibu wa sheria nyumbu wote walimshangilia lakini kasema Zitto NONGWA! Au ndiyo yale yale ya Kunya anye kuku lakini akinya bata kaharisha?

Lissu hajawahi kaa mahabusu hata dakika 2 tu labda angejua kuwa Mbowe anahitaji kuwa uraiani.

Wanalengo la kumsingizia Mh Rais ukatili wakati wanajua kabisa anahuruma na anapenda amani na utulivu. Mh rais naomba sana wasikilize TCD achana na magimeza wasiompenda mwenzao. Familia ya Mbowe inamtaka na TCD wanamtaka mwenzao kwa dhati na dhamira ya pekee.

Vita ya Uenyekiti. Kuna vita na tamaa ya madaraka ndani ya CHADEMA hali hii inawafanya wafitini wa Mbowe wachukizwe na habari za Mbowe kutoka Gerezani. Wanatamani sana Mbowe aendelee kusota ili apoteze sifa ya Uenyekiti. Hii ni roho Mbaya kuwahi kubebwa kwenye fikra na mioyo ya Wanadamu hapa Duniani.

Kumshambulia Zitto ni kuishambulia TCD na ni kusisitiza Mbowe aendelee kukaa ndani hali ambayo haitoi picha nzuri pia inadhihirisha kwamba CHADEMA wakipewa nchi watakua MADIKTETA wabaya kuliko wengine wote. Itaendelea...

Philipo Mwakibinga
Chunya Mbeya.
0758910403
Hivi ndugu wewe hata darasa la saba ulimaliza,hii spinning uliofsnya ya kitoto sana,
Tuanzie hapa,ni kina nani waliomkamata Mbowe na kumfungulia mashitaka?
Je Mbowe aombe msamaha kwa kosa gani?ameishahukumiwa?
Sie tunasema hatuitaji huruma ya Raisi Wala msamaha wake kwa mbowe kwa sababu Mbowe "should not have been arrested in the first place"hana kosa,kafungwa kwa kuonewa,harafu wewe unasema aombe msamaha??!!!
Eti Lisu hajawahi kukaa lumande hata siku mbili?!!tuambie wewe ushawahi kupigwa risasi hata tatu mwilini!!?
Ni kina nani waliompiga risasi 32 lisu Dodoma mchana kweupe??!!
Ni kina nani waliotaka kumkamata Lema akiwa Arusha,akatolokea Kenya??!!
Hivi Mbowe amefungwa kwa kosa la kumdharau Raisi au ugaidi??
Aombe msamaha kwa kosa lipi?hii ipo kisheria?thibitisheni tuhuma zake kwanza,
Sasa hv hakuna uteuzi!!!njaaa hizi
 
Naona hamkuelewa, kwanza Rais hana uwezo wa kusamehe watuhumiwa, hana uwezo wa kufuta kesi,,
Sijasikia hasa zito alipronounce vipi,, je aliomba zito aachiwe, au asamehewe?
Lakini vyovyote vile jibu la Rais, linajitosheleza, SHERIA ZIHESHIMIWE,,
huwezi kuwa unavunja sheria, huziheshimu sheria, ukitegemea eti wewe ni mpinzani mkuu, hautaguswa,,
Usipoheshimu sheria, serekali haitakuheshimu
Nyie wafuasi wa CCM ni kama mlilogwa vile yaani vichwa vyenu ni kama maboga ndani vimejaa tetere ambazo ukizitoa na kutwanga unapikia mtori wa kurutubisha Nguvu za kiume,
Hivi nyie si Ndio mnaongoza Kwa kuvunja sheria na wanachama wenu kuwa majizi na mafisadi papa yanayoihujumu nchi bila kuchukuliwa hatua?
Kwahiyo wapinzani wenu Ndio wanaoihujumu nchi Kwa kudai katiba MPYA itakayowawajibisha majizi nyie?
Pumbavu Sana ipo siku mtalipia maovu yenu,siku yenu ya kiama itakuja tu hata Kwa kuchelewa ila itafika na mtalia na kusaga meno!
 
Wewe rukaruka tu lakini ni shoga mwandamizi uliyekubuhu sawa na bosi wako anayekulipa buku 7 kwani aliwahi kuolewa Mombasa.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Kalia kitu hiki utulizwe kama walivyotulizwa Lema na Lisu.

3036063_images_2.jpeg
 
Mleta mada ulichoandika ni kutokana na ufahamu wako mdogo na ufinyu wa kufikiri na kuchambua mambo.
Kesi hii ni michongo a.k.a. 'riwaya' walikaa watu wakatunga na watungaji wakajiweka kama mashahidi!
NI mchezo mbovu na wa hovyo kabisa kuwahi kutokea, tatizo nao majaji wetu wamekuwa sehemu ya mchongo huu
 
USALITI WA VIONGOZI WA CHADEMA KWA MBOWE "HAWATAKI MBOWE ATOKE GAREZANI!"

Viongozi wa CHADEMA wanataka ruhusa ya kumpelekea MBOWE vyakula na vinywaji huko GEREZANI lakini hawataki ATOKE GEREZANI.

Mbowe ni Baba wa Familia kama wewe Lissu na Lema hammtaki ndugu jamaa na marafiki tunamtaka. Wala msitubishie maana ninyi huyo ni Mwenyekiti wenu lakini kuna Watu ni Kaka, Mjomba, Mme na BABA YAO wanataka wamuone.

Ndugu wanachama wa Chadema na Watanzania kwa ujumla, nawasalimu kwa jina la Jamuhuri ya Muungano ya Tanzania!

Nikiri kuwa tangu jana nimesikitishwa sana na vitendo vya viongozi wa Chadema hasa Lissu na Lema ambao wanaongoza zoezi la kuhakikisha Freeman Mbowe (Mwenyekiti) hatoki Gerezani kwa sababu hizi hapa.

Tatizo kasema Zitto. Mara nyingi kama si mara zote CHADEMA hawajawahi kukubali kuhusu mchango wa Zitto kwao. Zitto amekua si mtu wa kulipiza visasi ndiyomaana ameonekana kuwatetea kila wanapopita magumu. Utetezi wa Zitto kwa Chadema au viongozi wake umekua ukipata nguvu na mashiko katika jamii hili linawakera sana viongozi wa Chadema maana huwa wanapoteza points tatu muhimu japo huwa ni msaada kwao. Hii yajana imekua kubwa zaidi, kwani wanashinda mtandaoni kulalama na kumzodoa Zitto. Zitto Zuberi Luyangwa Kabwe (ZZK) ni Mwenyekiti wa TCD wapende wasipende na moja ya kazi yake nikuhakikisha usawa wa Vyama Nchini unakuwepo na ustawi wa siasa safi unaendelea. Kwahiyo yeye kama Mwenyekiti wa TCD kukaa kimya juu ya Suala la Mbowe tena Mbele ya Mh Rais wakati sikuzote amekua akilipigia kelele isingewezekana. Unapoona viongozi wa CHADEMA tena wakubwa wa ngazi za juu wanamzodoa Zitto na kujifanya kwa makusudi kuwa hawafikirii kuhusu TCD ni siri kubwa inayo leta maswali juu ya upendo wao dhidi ya Mbowe. Zitto alichokifanya nikuendeleza pale CHADEMA walipoishia, mfano mara kadhaa tumewasikia wakisema na kuandika kuwa Mh Rais aingilie kati suala la Mbowe lakini Zitto anasisitiza matakwa yao wanakesha kumsigina huu siyo uungwana bali ni ukigeugeu wa kiwango cha juu kuwahi kutokea.
Hivyo tutarajie TCD wakisema kuwa wanamuomba Mh Rais amhakikishie usalama Lissu ili arudi nyumbani kama anavyotaka watageuka tena na kufokaa! Uzwazwa na Unyumbu uliokithiri. Wanachadema angalieni mkakati mchafu wa kumuangamiza Mbowe unavyoasisiwa na viongozi wenu. Niliwahi kusema na leo nitarudia kuna viongozi wa CHADEMA Mbowe akiwajua atawanyonga hadharani wamemuuza maranyingi mno. Hawa ndiyo wafitinishaji wakubwa. (John Mrema jitafakari)

Hofu ya Kuisha kwa Ukimbizi wa Kisiasa. Hili nalo linamtesa sana Mwenyekiti Mh Mbowe bila yeye kujua. Lissu na Lema tayari wameridhika kukaa nje ya nchi huku wakiongoza chama kwa watsap,facebook na twitter. Wanachofanya sasa nikuona Mbowe anaendelea kusota iliionekane Tanzania haina amani. Wanaamini Mh Rais akimsaidia Mbowe kwa Mujibu wa Sheria Dunia itaendelea kuamini kuwa amani ipo na Lissu na Lema watafutiwa ukimbizi wanahofu ya kukosa kulelelewa na hao mabwana zao. Hivyo wanamtumia Mbowe kumuumiza ili wao waendelee kula mikate na siagi huko ughaibuni, hii ni roho mbaya sana ambayo wanachadema wanapaswa kuijua. Mbowe kawekwa kama ajenda ya siri ya wao kunawili ndiyo maana hawataki kusikia anatoka maana watakosa wanachotaka. Jamani inawezekanaje leo CHADEMA wawe mstari wa mbele kumshambulia anayetaka Mbowe awe huru? Ni kweli leo Lema na Lissu wanamsahau Mbowe kwasababu ya Mkate wa kumimina huko ULAYA?
Kakosa nini Zitto? Kusema Rais amuachie Mbowe kwa Mujibu wa Sheria? Zitto tenda wema nenda zako kaka maana kuna wengine ni ma-agent wa shetani.

Juzi juzi tu ASKOFU WA CHADEMA kasema anataka Rais amuachie MBOWE tena hakusema kwa mujibu wa sheria nyumbu wote walimshangilia lakini kasema Zitto NONGWA! Au ndiyo yale yale ya Kunya anye kuku lakini akinya bata kaharisha?

Lissu hajawahi kaa mahabusu hata dakika 2 tu labda angejua kuwa Mbowe anahitaji kuwa uraiani.

Wanalengo la kumsingizia Mh Rais ukatili wakati wanajua kabisa anahuruma na anapenda amani na utulivu. Mh rais naomba sana wasikilize TCD achana na magimeza wasiompenda mwenzao. Familia ya Mbowe inamtaka na TCD wanamtaka mwenzao kwa dhati na dhamira ya pekee.

Vita ya Uenyekiti. Kuna vita na tamaa ya madaraka ndani ya CHADEMA hali hii inawafanya wafitini wa Mbowe wachukizwe na habari za Mbowe kutoka Gerezani. Wanatamani sana Mbowe aendelee kusota ili apoteze sifa ya Uenyekiti. Hii ni roho Mbaya kuwahi kubebwa kwenye fikra na mioyo ya Wanadamu hapa Duniani.

Kumshambulia Zitto ni kuishambulia TCD na ni kusisitiza Mbowe aendelee kukaa ndani hali ambayo haitoi picha nzuri pia inadhihirisha kwamba CHADEMA wakipewa nchi watakua MADIKTETA wabaya kuliko wengine wote. Itaendelea...

Philipo Mwakibinga
Chunya Mbeya.
0758910403
Wewe sijui kama una akili nzuri...serikali imbmbikie kesi Mbowe ...lawama wapewe kina Lissu?!!!!!!!!!!!!!
 
Kwa hiyo leo ndyie CCM mnataka Mbowe atoke gerezani?
Mbona nyie vijana wa nchi hii ni mata..ko sana?
Kweli dunia inaenda kasi sana...juzi tu Hawa mazuzu wa CCM walikuwa wanashangilia kuwa gaidi afungwe maisha! ! Leo wanalilia Mbowe aachiwe!😄
 
Weye uliuza chupi zako ngapi?Kwa hiyo ukaanza kutembea kichele aka chukuchuku?
Wanafq stejini , trafc tu huwa mnahaha kwa kupaki gari vibaya je ukipewa kesi ya ugaid sindio utatoa siriyako yamwisho kikubwa hapa atoke ilinione akipata huo msamaha je atagoma kesi iendelee kama mwenyewe yupo tayari kupokea msamaha wewe unachukia nini
 
Utatoa siri ipi kama hauna hiyo siri?Kinachopaswa ni Mbowe atendewe haki.Tuliambiwa ni gaidi na ushahidi upo tele.Utolewe huo ushahidi.Siyo kuja na maneno eti asamehewe.Asamehewe kwani amefanya uhalifu gani?
Tunaposema haki itendeke na si kusema asamehewe haina maana tunataka Mbowe asote jela.Hata kama roho inauma Mbowe kuendelea kuwa mahabusu,inatakiwa ionekane hana hatia ndiyo atoke.Siyo kesho na keshokutwa mnakuja na kusema "alikuwa gaidi" ila alisamehewa.Nooo!
 
Kwa sasa yes, lisu na lema

Amefungiwa nyumbani kwa Lisu au Lema? Alisema siku hizi serikali inawasikiliza kina Lisu nani akae ndani au aachiwe? Ama mnadhani hizi propaganda mfu zenu ndio mtatupoteza kujua nani anamtesa Mbowe? Ni hivi, Mbowe ataachiwa na hilo sio ombi bali ni lazima, mkimshiKilia mnamuonea, na mkiumuacha mnamuogopa.
 
S
USALITI WA VIONGOZI WA CHADEMA KWA MBOWE "HAWATAKI MBOWE ATOKE GAREZANI!"

Viongozi wa CHADEMA wanataka ruhusa ya kumpelekea MBOWE vyakula na vinywaji huko GEREZANI lakini hawataki ATOKE GEREZANI.

Mbowe ni Baba wa Familia kama wewe Lissu na Lema hammtaki ndugu jamaa na marafiki tunamtaka. Wala msitubishie maana ninyi huyo ni Mwenyekiti wenu lakini kuna Watu ni Kaka, Mjomba, Mme na BABA YAO wanataka wamuone.

Ndugu wanachama wa Chadema na Watanzania kwa ujumla, nawasalimu kwa jina la Jamuhuri ya Muungano ya Tanzania!

Nikiri kuwa tangu jana nimesikitishwa sana na vitendo vya viongozi wa Chadema hasa Lissu na Lema ambao wanaongoza zoezi la kuhakikisha Freeman Mbowe (Mwenyekiti) hatoki Gerezani kwa sababu hizi hapa.

Tatizo kasema Zitto. Mara nyingi kama si mara zote CHADEMA hawajawahi kukubali kuhusu mchango wa Zitto kwao. Zitto amekua si mtu wa kulipiza visasi ndiyomaana ameonekana kuwatetea kila wanapopita magumu. Utetezi wa Zitto kwa Chadema au viongozi wake umekua ukipata nguvu na mashiko katika jamii hili linawakera sana viongozi wa Chadema maana huwa wanapoteza points tatu muhimu japo huwa ni msaada kwao. Hii yajana imekua kubwa zaidi, kwani wanashinda mtandaoni kulalama na kumzodoa Zitto. Zitto Zuberi Luyangwa Kabwe (ZZK) ni Mwenyekiti wa TCD wapende wasipende na moja ya kazi yake nikuhakikisha usawa wa Vyama Nchini unakuwepo na ustawi wa siasa safi unaendelea. Kwahiyo yeye kama Mwenyekiti wa TCD kukaa kimya juu ya Suala la Mbowe tena Mbele ya Mh Rais wakati sikuzote amekua akilipigia kelele isingewezekana. Unapoona viongozi wa CHADEMA tena wakubwa wa ngazi za juu wanamzodoa Zitto na kujifanya kwa makusudi kuwa hawafikirii kuhusu TCD ni siri kubwa inayo leta maswali juu ya upendo wao dhidi ya Mbowe. Zitto alichokifanya nikuendeleza pale CHADEMA walipoishia, mfano mara kadhaa tumewasikia wakisema na kuandika kuwa Mh Rais aingilie kati suala la Mbowe lakini Zitto anasisitiza matakwa yao wanakesha kumsigina huu siyo uungwana bali ni ukigeugeu wa kiwango cha juu kuwahi kutokea.
Hivyo tutarajie TCD wakisema kuwa wanamuomba Mh Rais amhakikishie usalama Lissu ili arudi nyumbani kama anavyotaka watageuka tena na kufokaa! Uzwazwa na Unyumbu uliokithiri. Wanachadema angalieni mkakati mchafu wa kumuangamiza Mbowe unavyoasisiwa na viongozi wenu. Niliwahi kusema na leo nitarudia kuna viongozi wa CHADEMA Mbowe akiwajua atawanyonga hadharani wamemuuza maranyingi mno. Hawa ndiyo wafitinishaji wakubwa. (John Mrema jitafakari)

Hofu ya Kuisha kwa Ukimbizi wa Kisiasa. Hili nalo linamtesa sana Mwenyekiti Mh Mbowe bila yeye kujua. Lissu na Lema tayari wameridhika kukaa nje ya nchi huku wakiongoza chama kwa watsap,facebook na twitter. Wanachofanya sasa nikuona Mbowe anaendelea kusota iliionekane Tanzania haina amani. Wanaamini Mh Rais akimsaidia Mbowe kwa Mujibu wa Sheria Dunia itaendelea kuamini kuwa amani ipo na Lissu na Lema watafutiwa ukimbizi wanahofu ya kukosa kulelelewa na hao mabwana zao. Hivyo wanamtumia Mbowe kumuumiza ili wao waendelee kula mikate na siagi huko ughaibuni, hii ni roho mbaya sana ambayo wanachadema wanapaswa kuijua. Mbowe kawekwa kama ajenda ya siri ya wao kunawili ndiyo maana hawataki kusikia anatoka maana watakosa wanachotaka. Jamani inawezekanaje leo CHADEMA wawe mstari wa mbele kumshambulia anayetaka Mbowe awe huru? Ni kweli leo Lema na Lissu wanamsahau Mbowe kwasababu ya Mkate wa kumimina huko ULAYA?
Kakosa nini Zitto? Kusema Rais amuachie Mbowe kwa Mujibu wa Sheria? Zitto tenda wema nenda zako kaka maana kuna wengine ni ma-agent wa shetani.

Juzi juzi tu ASKOFU WA CHADEMA kasema anataka Rais amuachie MBOWE tena hakusema kwa mujibu wa sheria nyumbu wote walimshangilia lakini kasema Zitto NONGWA! Au ndiyo yale yale ya Kunya anye kuku lakini akinya bata kaharisha?

Lissu hajawahi kaa mahabusu hata dakika 2 tu labda angejua kuwa Mbowe anahitaji kuwa uraiani.

Wanalengo la kumsingizia Mh Rais ukatili wakati wanajua kabisa anahuruma na anapenda amani na utulivu. Mh rais naomba sana wasikilize TCD achana na magimeza wasiompenda mwenzao. Familia ya Mbowe inamtaka na TCD wanamtaka mwenzao kwa dhati na dhamira ya pekee.

Vita ya Uenyekiti. Kuna vita na tamaa ya madaraka ndani ya CHADEMA hali hii inawafanya wafitini wa Mbowe wachukizwe na habari za Mbowe kutoka Gerezani. Wanatamani sana Mbowe aendelee kusota ili apoteze sifa ya Uenyekiti. Hii ni roho Mbaya kuwahi kubebwa kwenye fikra na mioyo ya Wanadamu hapa Duniani.

Kumshambulia Zitto ni kuishambulia TCD na ni kusisitiza Mbowe aendelee kukaa ndani hali ambayo haitoi picha nzuri pia inadhihirisha kwamba CHADEMA wakipewa nchi watakua MADIKTETA wabaya kuliko wengine wote. Itaendelea...

Philipo Mwakibinga
Chunya Mbeya.
0758910403
Spin doctor,kwenye spinning umechemsha jombaa,usitutoe kwenye reli.
Propaganda za ccm kuhusu viongozi wa Chadema hazikuanza leo.unaposema Lisu na Lema hawataki Mbowe atoke,kwani ni kina nani waliomkamata?
Miaka hiyo walizusha Mbowe ndio kamuua chacha wangwe!!ikapita na Mbowe akapokewa kama shujaa Msoma.
Wakazusha Mbowe ndio alikodisha watu wakampiga Lisu risasi,mpaka leo,wameshindwa kuthibitisha.
Ccm ni majitu yasio na akili,wanasiasa na familia tawala wanatumia vyombo vya dola na taasisi zote kujilinda,hawana jipya
 
Umeandika ugoro. Sitajibu hoja zako ksbb nitakuwa nimepoteza muda. Bahati mbaya sana kwako kipindi hiki sio kile cha zamani cha kudanganya watu,ujajifanya unamtetea kumbe nia yako ni kupotosha umma kupitia kauli za Lissu na Lema. Wako sahihi sana kwa kauli zao.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom