Lissu: Makinikia yameshaondoka, Hatujalipwa kitu, Acacia bado wanasafirisha dhahabu, Bombardier siyo mpya, Dreamliner haina kibali cha kuruka nje

Lissu acha uongo.. Mainjinia ndio wanarusha ndege? Ndege inarushwa na Pilots na wemgi wameshaenda Simulator course ya Dreamliner na wanaruka wazawa.. Kwnn unakuwa muongo hivi?

Kuhusu mainjia (AME) wameenda type rating course na wamefaulu na wana rating endorsed in their AME licences..!! Kwnini Lissu muongo hivi? Na ni wazawa..!! Alafu sheria ya IATA kuhusu kuruka International flight ni kuwa na ndege zaidi ya moja ya kufanya safari za International flights.. Na sio eti tumekosa IOSA-IATA certificate.. So once tukipata ndege ya pili ya masafa marefu next year, IATA itatoa certificate ya kufanya International flights, so huo ni utaratibu wa kawaida kabisa.. Ila sio hizo sbb Lissu alizosema.. Lissu muongo sana sana.. Hivi vitu ni very technical sio kama political barking Lissu anayofanya..!!:mad::oops:
Kadrimulainer kamoja tu alafu munataka international business mulishatangaza mutaenda Mumbai hivi hako kadrimulaine kakibuma huko ughaibuni, mutaweza kulipa hizogharama za, usumbufu kwa wateja na kuhakikisha abiria wanashant ndege za airline zingine na mnawapeleka destination zao? NYie atcl mutakuja kuifiris nchi, na hako kandege kamoja
 
Uko sahihi kabisa inawezekana Lissu hajasema kweli kwa asilimia mia. Hilo halina ubishi. ila kwakuwa umeamua kufafanua ungefafanua yote tujue ukweli wake ni upi na uongo wake ni upi. Kuna ndege mbovu kaziongelea. Ni kweli kuna mbovu mpaka sasa? kuna makinikia, bado yapo. Tumelipwa hela tunazodai hao barrick na Acacia? ukifafanua hayo tutaona uongo wake unaanzia wapi.

Mkuu usimkabe hvyo mwenzio bwana. Yeye kaamua kujikita kwenye upande mmoja tu wakat habari imekuja na pande kibaooo. Akijib yote naomba uniite maana naenda kuangalia Manchester United vs Leicester city.
 
Uzuri wa JPM huwa anafanya kitu kinyume na matarajio. Hawa hawa wanaozungumzia makinikia na dreamliner ndio waliosema ndege haitaweza kuja.

Unafiki na usaliti ni vitu vya hatari sana, vinaweza kukusababishia dhahama nzito sana.

Sawa Phillipo umeekeweka kwa ufafanuzi wako na kweli ndege imekuja watu wameumbuka. Sasa kunywa maji njoo umalizie majibu. kuna ndege mbovu mpaka sasa kati ya zilizokuja? Makinikia yapo? maana yalikamatwa mbele ya TV ila habari ikaishia pale. Hao Barrick wamelipa chochote? Una ufafanuzi wowote kuhusu hao Acacia wakati tuliambiwa hawajasajiliwa hapa nchini?. Hapa jazba haitakiwi bali furaha na majibu Mazur kwani ndio raha ya demokrasia.
 
Stop being nyumbu all the time.. Ww ulishaona wapi Flight Engineer ktk ndege za kisasa zote za miaka hii.. Flight engineers ni zamani sana siku hz ndege ni digital na hakuna flight engineers.. So once kuna defects or snags Synchronised systems computers will tell the Pilots everything and wht to do on air.. Na kama ni No-Go item ndege ikifika Base station inarekebishwa na kuruka.. So acha kuwaza in primitive era..!! An airplane siku hizi is like Flying computers + GPS coupled..!! Inakwambia kila kitu na urekebishe wapi ikiwa kuna malfunction yoyote..!!
Sawa kabisa,lakini mkuu,Huyo pilot ndo anarekebisha,au mafundi wetu wanaweza kurekebisha hiyo dreamliner?
 
Kuna mambo huwa nakubaliana na TL BT kuna mambo pia huwa sikubalian nae,
1.Anajifanya ana akili saaaana kuliko MTU yeyote probably hapa duniani(anaiita report ya makinikia kuwa 'professorial rubbish'). Kama mwana taaluma hii si saws.
2. Anakosoa tu bila kuonesha solution,kwa nn asiseme kama mwanasheria mahili ni nini altimate solution ya anachokosoa??
3. Awe mzalendo kama Zitto,unaweza kuwa unaichukia sana serikali iliyopo madarakani BT huwezi kuichukia NCHI yako. Kushangilia nchi yetu kuendelea kuibiwa au kupata hasara eti kisa tu huipendi serikali nadhani so saws.
4. Ajaribu ku-calm down kidogo,urais mtu hapewi na wapiga kura bali hupewa na 'SYSTEM'. Anaweza kupendwa saaaana na wapiga kura BT kama hajaishawishi system kwa uwezo wa kuwa a leader hawezi kupewa urais.
4. Issue ya kupigwa risasi asiifanye iaminike 100% kuwa ilifanywa na Magu as a person,kisiasa itamsaidia BT kwa system itamharibia zaidi. Hii issue ni complex sana na kuifanyia conclusion kirahisi nadhani si sawa,it might be an inside job too,only God and the assassin know this.
5. Chadema mmeshakuwa,watu wanawaamini na taasisi nyeti zimeanza kuwaamini....jiepusheni na gossips kama mlivyofanya kwa Eddo halafu baadae mkamsafisha. Siasa ni sayansi
 
Bora umempa za kichwa,maana upande wa pili wanameza kila kitu bila kuchuja kwanza kila wanachoambiwa,ndio maana wanamwamini sana yule hide my ID pls
mbona sasa na wewe unadhihirisha ujinga wako wa kukubali kila kitu unachoambiwa au kukisoma?una tofauti gani na hao unaowaponda?wewe binafsi umefanya research ya alichokiandika huyo unayemuunga mkono na ukaridhika kuwa ni ya kweli au aina yake ya uandishi wa kuweka terminologies imekupagawisha ukajikuta usshafanya research na kuconclude juu kwa juu?
nilitegemea umwambie utatafuta muda ili upitie aliyoyasema na u-draw conclusion yako mwenyewe, ndivyo GREAT THINKERS wanavyotofautishwa na NOVICE THINKERS.
 
Tume ilikabidhi Taarifa yake na, naambiwa, imethibitisha kuwa tuliuziwa ndege kuukuu. Taarifa hiyo imekaliwa mahali.

Hakika hii taarifa na kati ya mafaili Magufuli aliyosema huwa anaficha chini ya kitanda anacholala yeye yan hta anayelala naye hawezi yaona.
Haki ya Mungu huu ni msiba kwa taifa ila nimejikuta nacheka tu ,eti mafaili kayalalia na anayelala naye hata hajui
 
Umejibu vizuri tatizo Lisu ni parrot yaani domokaya chochote akisikia kiwe hearsay yeye lazima abweke kujionyesha yuko well informed nk Ni domokaya hasa huyo aliyempa taarifa hiyo ni Yule mwongo mwingine Zitto Kabwe .Lisu kazivalia kidedea Bila Ku confirm.Highest placed source kwake ni Zitto Kabwe
Wapi pesa makinikia?'Porojo noooo!
 
Hii ni sawa na nyani kucheka kundu la mwenzake halafu yeye hakumbuki kuwa ana kundu!!!
 
Back
Top Bottom