Securelens
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 316
- 541
Umesema vyema, Lissu amefanya upuuzi mtupu leo. Bora na nyie wanachadema mmeona, Amepoteza wafuasi wengi sana kwa kitendo chake cha upuuzi wa leo. Poleni, mjaribu tena 2025Upuuzi mtupu kuwasifu polisi kwa kumzuia kwa woga mtu aliyekuwa anakwenda kwenye shughuli zake.
Anazidi kutufundisha kuwa tusiwe waoga pindi tunapopokonywa haki zetuUmesema vyema, Lissu amefanya upuuzi mtupu leo. Bora na nyie wanachadema mmeona, Amepoteza wafuasi wengi sana kwa kitendo chake cha upuuzi wa leo. Poleni, mjaribu tena 2025
Hakuna haki aliyoipata ndugu yangu.. Wanasheria wanasema the delayed right is the denied right. Kuachiwa usiku mkubwa huu amepata haki gani na kesho anzauiliwa hadi adhabu yake iisheMi nimemkubali amedai haki yake kwa vitendo na ameipata.
Tundu Lissu sio zezeta. CCM mlitufanya Watanzania Mazezeta kwa muda mrefu, Sasa baaaaaaaaassss.
Mtanyooka tu mwaka huu
CCM Chama Cha Mazezeta.π π π Kumbe wewe zezeta.. umekuwaje zezeta!!! Sasa hospitali ndo.. wakakupea dawa ya kutibu chama au?π π π
Halafu tupe maana ya zezeta..
CCM Chama Cha Mazezeta.
Mijitu ambayo kazi yake ni kusema ndiyo kwa Kila kitu, mijitu isiyotumia akili zao kwenye kufanya maamuzi.
Mijitu hii ndio imekaa kule bungeni kupitisha Sheria za kijinga kabisa, rejea Sheria ya madini, Sheria ya mafuta na gesi, na Sheria nyingine nyingi za ajabuajabu
Sheria ya madini ina ubaya gani ndugu yangu. Be honestCCM Chama Cha Mazezeta.
Mijitu ambayo kazi yake ni kusema ndiyo kwa Kila kitu, mijitu isiyotumia akili zao kwenye kufanya maamuzi.
Mijitu hii ndio imekaa kule bungeni kupitisha Sheria za kijinga kabisa, rejea Sheria ya madini, Sheria ya mafuta na gesi, na Sheria nyingine nyingi za ajabuajabu
Mrabaha wa 3% baada ya Kodi na Bado tuseme ni Jambo jema?Sheria ya madini ina ubaya gani ndugu yangu. Be honest
Sasa kama hapo ulipokuwepo mlikaa wewe, Polepole, Bashiru, Katambi na Kafulila ulitegemea mmoja wenu aseme kuwa anafaa!!!?Moja ya sifa ya kiongozi wa nchi ni kuwa na busara katika maamuzi yake. Lissu kwa mara nyingine leo amewathibitishia watanzania kuwa ni mtu asiyekuwa na busara na anayetaka ligi bila sababu ya msi....
Uko Magufuli alishatoka zamani, nakushauri usome hiyo sheria mpya ndugu yangu . Yakuambiwa changanya na ya kwakoMrabaha wa 3% baada ya Kodi na Bado tuseme ni Jambo jema?