Lissu kupata msamaha wa Rais?

laaazima muwashwe vikata nnya!!!
 
9 December inaweza kufanya jambo je itakua vp swala la mgombea kiti cha uraisi asiwe amewahi kupatikana na hatia na kufungwa jela.
Lissu kakata rufaa, Ina maana hataki msamaha.
 
Lakini si huwa kuna vigezo vya huo msamaha? Sujavisima, lakini nilimsikia wakili mmoja akisema miongoni mwa vigezo ni tabia njema na angalau mfungwa awe ameshatumikia kifungo chake kwa robo tabu (75%). Nikipata sheria au kanuni zake nitakuwa kwenye nafasi nzuri ya kulieleza hili.
 
Nadhani kama kuna mtu atamshauri hiki kitu "he/she better watch his/her toungue" atakuwa amejipalia makaa
 
hatutaki msamaha tunataka haki!
 
Muda wa kuwasikiliza nyie wajinga haupo tena!! Nyie mnachezea malaya zenu huko mwenzenu anataabika gerezani mmebaki kukata viuno humu!! Lissu akitoka akafanye mambo yake aachane na nyie mataahira aka keyboard warriors 🚮
Mbona bwanako "mwamba" wakati ana kesi ya ugaidi hukuwahi kuandika hivi!!?

Lissu anawatesa sana mamisukule ya "mwamba" tangu achukue jahazi la kuongoza CDM.
 
Mwamba GT kulikoni umebadilika hivi? Nakumbukaga uzi wako wa Magufuli ukimuita Sizonje. Umalaya wa kisiasa siyo mzuri.

Bure kabisa!
Huyo ni sukule la Mbowe.
Tangu Mbowe amepigwa chini kwenye uchaguzi wa CDM, amekuwa anamuona Lissu kama mtu aliyeweka mchanga kitumbua chake.

Wapo wengi wafuasi wa Mbowe ambao hawapo sawa tangu Mbowe apigwe chini.
 
Muda wa kuwasikiliza nyie wajinga haupo tena!! Nyie mnachezea malaya zenu huko mwenzenu anataabika gerezani mmebaki kukata viuno humu!! Lissu akitoka akafanye mambo yake aachane na nyie mataahira aka keyboard warriors 🚮
Ila Mbowe alikuwa na takataka nyingi sana.
 
Atapata msamaha kama atakuwa tayari kuomba msamaha. Kama HAWEZI, basi naomba na kisukari chake AFIE huko huko jela!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…