Lissu kumjibu Nape kesho

Lissu kumjibu Nape kesho

Anatumia ipad2 kuwasiliana na wapiga kura wake wote ambao keshawagawia iPad1 zenye programs za Kinyiramba, Kirangi na Kinyaturu. Mwezi huu anamalizia kusimika super computer kwa ajili ya shule zake zote za msingi na sekondari na ameingia mkataba na MOWLEM Construction Company kujenga vyoo na visima katikakilashulejimboni kwake. Hivyo Lissu hana tatizo la kuzubaazubaa jimboni, ana NATIONAL ISSUES!

Heshima kwako mkuu....
 
sipendi Chadema inavyofupishwa "cdm", inapoteza ladha
Ni kweli..huko nyuma Dr. Slaa aliwahi kutoa angalizo kuwa hilo jina litamkwe kama kifupi kilivyo CHADEMA.
Naona watu wameamua kufupisha jina ambalo tayari ni kifupi
 
Tunasubiri hiyo hotuba, msisahau kutuwekea na picha tafadhali, sisi huku Dar bado tunatafakari PhD ya JK ilivyokuwa imejaa ukoko.
 
Back
Top Bottom