viva cdm
Kama Nape. Ila yeye anamuono wa mbali, halafu hatumiwi na wanaume wenzake.tatizo bwana lissu anapenda sifa za kijinga sana
Kazi ya ubunge sio kama karani wewe, au sio kushinda vijiweni kama Mtemvu na Iddi Azani... Hivi wewe mbunge wako asipokuwepo jimboni unalala na njaa?Hivi huyu jamaa muda gani anawatembelea wapiga kura wake. Sifa zitamuumbua 2015.
tatizo bwana lissu anapenda sifa za kijinga sana
Hivi huyu jamaa muda gani anawatembelea wapiga kura wake. Sifa zitamuumbua 2015.
Vipi kesi ya Kiwia inaendelea vipi maana najua chini Ya Tundu Lissu hakuna kesi inayoshindikana
Hivi huyu jamaa muda gani anawatembelea wapiga kura wake. Sifa zitamuumbua 2015.
ah haaa haaaa haaaaaaaaaaaa...................you made my day mkuu.Kazi ya ubunge sio kama karani wewe, au sio kushinda vijiweni kama Mtemvu na Iddi Azani... Hivi wewe mbunge wako asipokuwepo jimboni unalala na njaa?
tatizo bwana lissu anapenda sifa za kijinga sana