Lissu kugalagazwa vibaya sana uchaguzi ujao, Mkumbo kubeba jimbo kiulaini

Yani niliposikia kikwete amesema ni bora slaa aende ikulu na sio lisu kuwa mbunge nilijua lisu basi.
Haya ni marudio.Hata hivi hategemei huo ubunge.


Tume huru idaiwe mapema ccm itoke vinginevyo watanzania mtapata tabu sana
 
Hivi wewe unaongea huu utumbo ukiwa unahara au unaota mchana kweupe?
 
Mwambie Jpm akajaribu kugombea hili jimbo la Lissu uone kama hajadhalilishwa
 
Kumtoa lissu ikungi sawasawa na ccm kufukuza machizi yote ndani ya chama
 
Akili zako zenu kama kifurushi cha jaza ujazwe mnaweza uchaguzi tuu kila siku?
 
Mkumbo anatoka Ndago,Iramba kwa Mwigulu,Ikungi kwa Lissu akatafute laana?
 
Umenena vizuri. Ngoma anayopiga JPM kuhusiana na uchimbaji madini hata hao vijana wajimboni kwake wanaifurahia, hivyo wataachana na Lissu aliyekomalia kuwatetea wachimba madini wazungu wanaotuibia na kunyanyasa wachimbaji wadogo wadogo wetu wazawa.
 
Mkumbo anatoka Ndago,Iramba kwa Mwigulu,Ikungi kwa Lissu akatafute laana?
Asichokijua mleta mada ni kuwa hata iweje Mnyaturu hawezi wakilishwa na Mnyiramba,kwa anae elewa asili ya huu mkoa atanielewa vema.
 
Wewe ndiyo taahira kabisa huyo Mkumbo mtu wa Iramba Sasa na ikungi wapi na wapi? Au unalazimisha umaarufu?
 
Maeneo mengi upinzani utapoteza - Jimbo la Buyungu wilaya ya Kakonko mkoani kigoma nako CDM itapoteza - Msakila KABENDE (CCM) ni tishio!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…