Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,468
- 11,249
Hahaa kwamba ipo siku mkeka utatikiMzee wa kubet
You are a Man of the Month. Nakufurahia sana Ndugu we hujui tu.Kama kawaida nazidi kuwaletea habari za ndani kabisa.
Kesho Mweshimiwa Tundu Lissu, ataachiwa huru.
Siongezi neno.
Mto wa Mbu
Illinois -USA
InawezekanaHahaa kwamba ipo siku mkeka utatiki
Let wait and seeLilikuwa ni suala la muda tu...
Samia amechafuka aswaaaNchi ya ajabu sana hii, unamuweka ndani mtu ili kumukomoa kumbe ndo unajikomoa kukomoa zaidi Taifa, mpaka sasa Taifa limepata nini kama sio kupoteza kabisa