Lissu kuachiwa Agosti 21?

Lissu kuachiwa Agosti 21?

Kwa tunacho weza kuita jeuri , wanaweza kumkuta na hatia ili isionekane walikosea, kisha mkuta na hatia namna ya kumaliza labda isha andaliwa ili mradi tu asikose jinai, nawanavyo sema jinai haifi.

Ila kama kuna mtu wa kumchukulia mfano wa mapambano yoyote ni lisu! Ni mpambanaji haswa.
Wale majaji usifikiri ni mahakimu wa wilaya! Wale majaji wanatoa maamuzi kwa kufata sheria iliyoandikwa na precedent sio kwa mihemuko!
 
Lissu anajitia janja janja ila akinusurika hapa goma linaanza upya, tunadaka brenda rupia ambaye kakaangwa na Lissu mwenyewe kuwa ndiye aliyealika kikao cha kupanga uhaini na shahidi pw17 alimshuhudia katika mandalizi ya kikao hicho cha kupanga uhaini.
Upande wa mashtaka ukimbana brenda rupia tuambie ni nani alikuwa ndo mwenye kikao, automatically atamtaja tundu lissu na hapo sasa ngoma ndo inarindima vizuri dadadeki!!
Usifikiri mahakama huwa inafata hisia kwenye kuendesha kesi, inafata sheria
 
LISSU KUACHIWA AGOSTI 21? MAJAJI KUAMUWA KAMA ANA KESI YA KUJIBU AU LA SIKU YA IJUMAA

Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu ameieleza Mahakama Kuu, Masjala Ndogo Dar es Salaam leo Agosti 17, 2026 kuwa hana kesi ya kujibu katika shauri la uhaini linalomkabili huku akiiomba mahakama kutamka kuwa hana hatia na itamke kuwa anatakiwa kulipwa fidia.

Kesi imeahirishwa hadi Agosti 21, 2026 siku ya Ijumaa ambapo Majaji watatu wataamuwa kama Tundu Lissu ana kesi ya kujibu au la.
View attachment 3651931

Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu imeahirishwa hadi Ijumaa ya Agosti 21 ambapo mahakama itaamua kama Mwenyekiti huyo wa upinzani nchini ana kesi ya kujibu au la!

Kesi hiyo Na.19605/2025 ilianza kwa upande wa Jamhuri kufunga mashahidi wake 17 kati ya 30 ambao walitoa ushahidi wao.

Baada ya kufunga mashahidi hao, upande wa mashtakiwa Tundu Lissu alitoa Submission (Majumuisho) ya ushahidi wote uliotolewa Mbele ya Mahakama huku akisema baada ya kusikiliza mashahidi wote 17 wa upande wa mashtaka,upande huo umeshindwa kabisa kuthibitisha kwamba (Prima-facaie case/Evidence )ni "ushahidi uliotolewa na upande wa mashitaka usipojibiwa na upande wa mteteze, Mahakama inaweza kumhukumu mtumhumiwa.

Mshitakiwa amesema kuwa prima facie evidence kimsingi ni ushahidi wa upande wa mashtaka peke yake na kama haujafikia kiwango au kujibiwa hakuna kesi.

Amesema kifungu Cha 312(1) kinasema kuwa, kama haujafikia ushahidi uliotolewa,Mahakama utasema hakuna hatia.

Akiendelea kutoa utetezi wake, Lissu amesema hicho kifungu Cha 312(1) kimefanyaiwa maamzi mengi ya nchi yetu kwa kutengeneza misingi mikubwa ya Kisheria juu ya kitu gani Mahakama inatakiwa kujibu kuhusu hakuna kesi ya kujibu(No case to answer).

Amesema msingi mkuu Wa Kisheria juu ya kwamba hakuna hoja ya kujibu iliwekewa tangu miaka 70 iliyopita na mahakama ya Rufani Afrika Mashariki.

Amesema kesi hii si ya kwanza kufanyika nchini Tanzania,bali ni kesi ya tatu,iwewemo ya Khatibu Gandi na wenzake dhidi ya Jamhuri.

Amesema katika kesi ya kwanza kati ya Gray Nkunku Matata na wenzake iliweka vigezo vitatu kuthibitisha kama kesi ni ya uhaini,akitaja vipo ukurasa wa 406.

Utiifu wa Jamhuri,Je, ulikuwa na nia ya kutenda kosa la uhaini?,hiyo nia lazima uthibitishwe kwa maandishi au kwa matendo ya wazi. 39(2d) kwa mujibu wa kifungu Cha makosa ya adhabu.

Aidha Lissu ameendelea kuisisitiza Mahakama kuturuhusu kujitetea kwasababu hana kesi ya kujibu

Hata hivyo mshitakiwa amesema bado Mahakama inaweza kutoa fidia kwa hizo siku zote 496 kutokana na kifungu Cha 367.
huenda akaachiwa huru dk tano tu, na dk ya sita akatiwa nguvuni tena, kwasababu ana kesi ya kujibu 🐒
 
Lissu anajitia janja janja ila akinusurika hapa goma linaanza upya, tunadaka brenda rupia ambaye kakaangwa na Lissu mwenyewe kuwa ndiye aliyealika kikao cha kupanga uhaini na shahidi pw17 alimshuhudia katika mandalizi ya kikao hicho cha kupanga uhaini.
Upande wa mashtaka ukimbana brenda rupia tuambie ni nani alikuwa ndo mwenye kikao, automatically atamtaja tundu lissu na hapo sasa ngoma ndo inarindima vizuri dadadeki!!
Wewe una akili hiyo ya kwenda kulindima nae, mawakili wa serikali mimavi imewatoka bila wao kujua hawatamani kusikia jina Lisu! Unadhani kwa kusalala salala viushaidi vile ndio nini? Jaribuni muone nawewe ukawe shahidi ukakaangwe.
 
LISSU KUACHIWA AGOSTI 21? MAJAJI KUAMUWA KAMA ANA KESI YA KUJIBU AU LA SIKU YA IJUMAA

Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu ameieleza Mahakama Kuu, Masjala Ndogo Dar es Salaam leo Agosti 17, 2026 kuwa hana kesi ya kujibu katika shauri la uhaini linalomkabili huku akiiomba mahakama kutamka kuwa hana hatia na itamke kuwa anatakiwa kulipwa fidia.

Kesi imeahirishwa hadi Agosti 21, 2026 siku ya Ijumaa ambapo Majaji watatu wataamuwa kama Tundu Lissu ana kesi ya kujibu au la.
View attachment 3651931

Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu imeahirishwa hadi Ijumaa ya Agosti 21 ambapo mahakama itaamua kama Mwenyekiti huyo wa upinzani nchini ana kesi ya kujibu au la!

Kesi hiyo Na.19605/2025 ilianza kwa upande wa Jamhuri kufunga mashahidi wake 17 kati ya 30 ambao walitoa ushahidi wao.

Baada ya kufunga mashahidi hao, upande wa mashtakiwa Tundu Lissu alitoa Submission (Majumuisho) ya ushahidi wote uliotolewa Mbele ya Mahakama huku akisema baada ya kusikiliza mashahidi wote 17 wa upande wa mashtaka,upande huo umeshindwa kabisa kuthibitisha kwamba (Prima-facaie case/Evidence )ni "ushahidi uliotolewa na upande wa mashitaka usipojibiwa na upande wa mteteze, Mahakama inaweza kumhukumu mtumhumiwa.

Mshitakiwa amesema kuwa prima facie evidence kimsingi ni ushahidi wa upande wa mashtaka peke yake na kama haujafikia kiwango au kujibiwa hakuna kesi.

Amesema kifungu Cha 312(1) kinasema kuwa, kama haujafikia ushahidi uliotolewa,Mahakama utasema hakuna hatia.

Akiendelea kutoa utetezi wake, Lissu amesema hicho kifungu Cha 312(1) kimefanyaiwa maamzi mengi ya nchi yetu kwa kutengeneza misingi mikubwa ya Kisheria juu ya kitu gani Mahakama inatakiwa kujibu kuhusu hakuna kesi ya kujibu(No case to answer).

Amesema msingi mkuu Wa Kisheria juu ya kwamba hakuna hoja ya kujibu iliwekewa tangu miaka 70 iliyopita na mahakama ya Rufani Afrika Mashariki.

Amesema kesi hii si ya kwanza kufanyika nchini Tanzania,bali ni kesi ya tatu,iwewemo ya Khatibu Gandi na wenzake dhidi ya Jamhuri.

Amesema katika kesi ya kwanza kati ya Gray Nkunku Matata na wenzake iliweka vigezo vitatu kuthibitisha kama kesi ni ya uhaini,akitaja vipo ukurasa wa 406.

Utiifu wa Jamhuri,Je, ulikuwa na nia ya kutenda kosa la uhaini?,hiyo nia lazima uthibitishwe kwa maandishi au kwa matendo ya wazi. 39(2d) kwa mujibu wa kifungu Cha makosa ya adhabu.

Aidha Lissu ameendelea kuisisitiza Mahakama kuturuhusu kujitetea kwasababu hana kesi ya kujibu

Hata hivyo mshitakiwa amesema bado Mahakama inaweza kutoa fidia kwa hizo siku zote 496 kutokana na kifungu Cha 367.
Lissu anatembea na library wakati maCCM yanatembea na makende na mapumbu ndani ya suruali zao. Sijawahi kuona serikali ya kichoko kama hii serikali haramu ya Samuya.
 
anavyosema akili ni nywele kama huna manake huna akili analinaga jeshi au kitu gani
 
Na kama hana hatia hana kosa? Unashauri kifanyike nini Mwanasheria?
 
Sio rahisi kumuachia
Watamuachia tu, wanaona aibu 😎. Halafu wanawaza akitoka ataanza kupeleka tena moto. Ukumbukea zama zile wanaume wote tuliponywea kama nyumba ndogo. Huyu ndio mwanaume pekee aliitamka neno "Dikteta uchwara"😎

Jamaa ana wito wa kipekee huyu
 
Hawawezi kumuachia
 
Back
Top Bottom