Lissu: Kibaraka ni yule anayeficha Fedha China

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,600
Yalikuwa mahojiano bora Kabisa tangu nianze kuifuatilia Kipindi cha Dakika 45 enzi za Buholela.

Mtangazaji Middle alijiandaa vilivyo kwa maswali na Tundu Antipas Lissu alikuwa na majibu kabla hata ya swali.

Hapakuwa na mizaha wala kupotezeana muda, Kazi kazi tu.

Haya ndio majadiliano siyo yale ya Tundu Lissu na akina Kija fit Sasali kule Mawingu.

Kongole kwenu TAL na Middle, pia ITV.
 
Yalikuwa mahojiano bora Kabisa tangu nianze kuifuatilia Kipindi cha Dakika 45 enzi za Buholela...

FoVixEVWAAAou0r.jpeg
 
Kibaraka ni aliyeficha pesa China! Sio kweli, kiongozi mwenye maono anaweka pesa mahali ambapo ni salama zaidi, mbali na mafisadi, unafikiria pesa yote ya maendeleo ya taifa alitoa wapi?

Kibaraka ni yule anaeficha pesa kwa manufaa yake binafsi. Au yule aneanda nje kwenda kulisema taifa vibaya kumbe sivyo.
 
Kibaraka ni aliyeficha pesa China! Sio kweli, kiongozi mwenye maono anaweka pesa mahali ambapo ni salama zaidi, mbali na mafisadi, unafikiria pesa yote ya maendeleo ya taifa alitoa wapi? Kibaraka ni yule anaeficha pesa kwa manufaa yake binafsi. Au yule aneanda nje kwenda kulisema taifa vibaya kumbe sivyo.
Ngoja waje Bavicha!
 
Mtangazaji farhia middle maswali yake aliyapangilia kisomi kwa kuangalia mukhtadha na wajihi wa mhojiwa japo maswali huwa hayaishi.

Swali la mwisho mhojiwa aliulizwa kama atagombea urais katika uchaguzi mkuu wa 2025 alikwepa ki mtindo kulijibu akishadidia zaidi katiba mpya iwepo, mtangazaji aligundua swali lake halikujibiwa kiufasaha.

Kipindi kingine mwenyekiti wake naye aalikwe kwenye kipindi hicho, au kiongozi wa act wazalendo tuone naye anasemaje kuhusu katiba mpya
 
Yalikuwa mahojiano bora Kabisa tangu nianze kuifuatilia Kipindi cha Dakika 45 enzi za Buholela.

Mtangazaji Middle alijiandaa vilivyo kwa maswali na Tundu Antipas Lissu alikuwa na majibu kabla hata ya swali.

Hapakuwa na mizaha wala kupotezeana muda, Kazi kazi tu.

Haya ndio majadiliano siyo yale ya Tundu Lissu na akina Kija fit Sasali kule Mawingu.

Kongole kwenu TAL na Middle, pia ITV.
Hatimaye unafiki umekuisha!
 
Mtangazaji farhia middle maswali yake aliyapangilia kisomi kwa kuangalia mukhtadha na wajihi wa mhojiwa japo maswali huwa hayaishi.

Swali la mwisho mhojiwa aliulizwa kama atagombea urais katika uchaguzi mkuu wa 2025 alikwepa ki mtindo kulijibu akishadidia zaidi katiba mpya iwepo, mtangazaji aligundua swali lake halikujibiwa kiufasaha.

Kipindi kingine mwenyekiti wake naye aalikwe kwenye kipindi hicho, au kiongozi wa act wazalendo tuone naye anasemaje kuhusu katiba mpya
Kwa nn usiseme asialikwe wa CCM ambao kimsingi wana hoja nyingi za kujibu kwa wananchi!?
 
Kibaraka ni aliyeficha pesa China! Sio kweli, kiongozi mwenye maono anaweka pesa mahali ambapo ni salama zaidi, mbali na mafisadi, unafikiria pesa yote ya maendeleo ya taifa alitoa wapi?

Kibaraka ni yule anaeficha pesa kwa manufaa yake binafsi. Au yule aneanda nje kwenda kulisema taifa vibaya kumbe sivyo.
Wewe ni mwizi mkuu
 
Kumsema yule hayawani vibaya sio kuisema nchi vibaya, hata Samia akiwa nje alisema alipata wakati mgumu kufanya nae kazi

Nyie misukule aka wanyonge ndio mtaumia hadi mkome
 
Hawa wapinzani wasichokielewa mpaka leo ni kwamba wakimsema vibaya Magu wanazidi kulipoteza kundi kubwa la wafuasi wake. Kwani kuna ulazima gani wa kumshambulia kama haina political gain, hata kama alikuwa mbaya kweli?
 
Kwa nn usiseme asialikwe wa CCM ambao kimsingi wana hoja nyingi za kujibu kwa wananchi!?
hii mbona iko wazi? Soon wa ccm naye ataitwa kujibu hoja, itapendeza zaidi makamu mwenyikiti wa ccm bara mzee kinana aalikwe kujibu hoja ya katiba mpya. Jamaa kaulizwa kuhusu ushirikiano na vyama vingine amejibu kama alivyoulizwa, ni wakati wa vyama hivyo nao kujibu ni kwa nini hawana ushirikiano juu ya msimamo wa katiba mpya.
 
Hawa wapinzani wasichokielewa mpaka leo ni kwamba wakimsema vibaya Magu wanazidi kulipoteza kundi kubwa la wafuasi wake. Kwani kuna ulazima gani wa kumshambulia kama haina political gain, hata kama alikuwa mbaya kweli?
Bora kupoteza kundi kubwa la wafuasi wake kuliko kuufinyanga ukweli, Nchi hii haijawahi kupata raisi asiye na upeo na asiyejitambua, mnafiki, mwongo kama mwendazake. Mungu aliona akimruhusu kwa muda wa nyongeza tutaangamia akamvuna na sasa unaona Mama anavyoipaisha nchi juu.
Mama Samia Oyeeeeee, sijui alichelewea wapi. Nchi inakimbia si mchezo. sekta zote, mikoa yote NCHI NZIMA. Siyo chato na mwanza tu
 
Mtangazaji farhia middle maswali yake aliyapangilia kisomi kwa kuangalia mukhtadha na wajihi wa mhojiwa japo maswali huwa hayaishi.

Swali la mwisho mhojiwa aliulizwa kama atagombea urais katika uchaguzi mkuu wa 2025 alikwepa ki mtindo kulijibu akishadidia zaidi katiba mpya iwepo, mtangazaji aligundua swali lake halikujibiwa kiufasaha.

Kipindi kingine mwenyekiti wake naye aalikwe kwenye kipindi hicho, au kiongozi wa act wazalendo tuone naye anasemaje kuhusu katiba mpya
Yalikuwa mahojiano bora kabisa
 
Back
Top Bottom