Lissu: Kibaraka ni yule anayeficha Fedha China

Hawa wapinzani wasichokielewa mpaka leo ni kwamba wakimsema vibaya Magu wanazidi kulipoteza kundi kubwa la wafuasi wake. Kwani kuna ulazima gani wa kumshambulia kama haina political gain, hata kama alikuwa mbaya kweli?
Lissu kawaambia kama ulitenda mema utasemwa kwa mema, kama ulitenda mabaya utasemwa kwa mabaya kama akina Iddi Amini, jiandae tuu kisaikolojia..
 
Kibaraka ni aliyeficha pesa China! Sio kweli, kiongozi mwenye maono anaweka pesa mahali ambapo ni salama zaidi, mbali na mafisadi, unafikiria pesa yote ya maendeleo ya taifa alitoa wapi?

Kibaraka ni yule anaeficha pesa kwa manufaa yake binafsi. Au yule aneanda nje kwenda kulisema taifa vibaya kumbe sivyo.
duuh, vibaraka!!!!!
 
Bora kupoteza kundi kubwa la wafuasi wake kuliko kuufinyanga ukweli, Nchi hii haijawahi kupata raisi asiye na upeo na asiyejitambua, mnafiki, mwongo kama mwendazake. Mungu aliona akimruhusu kwa muda wa nyongeza tutaangamia akamvuna na sasa unaona Mama anavyoipaisha nchi juu.
Mama Samia Oyeeeeee, sijui alichelewea wapi. Nchi inakimbia si mchezo. sekta zote, mikoa yote NCHI NZIMA. Siyo chato na mwanza tu
wamenifurahisha sanasana kwenye block farming
 
Yalikuwa mahojiano bora Kabisa tangu nianze kuifuatilia Kipindi cha Dakika 45 enzi za Buholela.

Mtangazaji Middle alijiandaa vilivyo kwa maswali na Tundu Antipas Lissu alikuwa na majibu kabla hata ya swali.

Hapakuwa na mizaha wala kupotezeana muda, Kazi kazi tu.

Haya ndio majadiliano siyo yale ya Tundu Lissu na akina Kija fit Sasali kule Mawingu.

Kongole kwenu TAL na Middle, pia ITV.
wewe kama hujatimuliwa ccm safari hii sijui !
 
Kitu kinachonifanya niwaone ccm ni watu wa hovyo hata kwenye maovu wao hukaza shingo na kutetea....mimi nataka niulize swali moja tu nyie mnaomtetea magufuri mpo tayari mkachomwe nae moto huko jahanamu?
 
Bora kupoteza kundi kubwa la wafuasi wake kuliko kuufinyanga ukweli, Nchi hii haijawahi kupata raisi asiye na upeo na asiyejitambua, mnafiki, mwongo kama mwendazake. Mungu aliona akimruhusu kwa muda wa nyongeza tutaangamia akamvuna na sasa unaona Mama anavyoipaisha nchi juu.
Mama Samia Oyeeeeee, sijui alichelewea wapi. Nchi inakimbia si mchezo. sekta zote, mikoa yote NCHI NZIMA. Siyo chato na mwanza tu

Usimsemee Mungu kwenye ucengerema wako kichwani,atakufilimba maana hapendi shobo.

Wewe kama unasifia harakati za asali weww sifia uuongezwe zaidi wachana na magu atakupobza upaliwe ufe kalio limeelekezwa juu.
 
Yalikuwa mahojiano bora Kabisa tangu nianze kuifuatilia Kipindi cha Dakika 45 enzi za Buholela.

Mtangazaji Middle alijiandaa vilivyo kwa maswali na Tundu Antipas Lissu alikuwa na majibu kabla hata ya swali.

Hapakuwa na mizaha wala kupotezeana muda, Kazi kazi tu.

Haya ndio majadiliano siyo yale ya Tundu Lissu na akina Kija fit Sasali kule Mawingu.

Kongole kwenu TAL na Middle, pia ITV.
Hivi yawezekana mwendazake alificha hela China? Kama ni kweli why?
 
Yalikuwa mahojiano bora Kabisa tangu nianze kuifuatilia Kipindi cha Dakika 45 enzi za Buholela.

Mtangazaji Middle alijiandaa vilivyo kwa maswali na Tundu Antipas Lissu alikuwa na majibu kabla hata ya swali.

Hapakuwa na mizaha wala kupotezeana muda, Kazi kazi tu.

Haya ndio majadiliano siyo yale ya Tundu Lissu na akina Kija fit Sasali kule Mawingu.

Kongole kwenu TAL na Middle, pia ITV.
Anaambiwa ni kibaraka anajaribu kugeuza kibao kwa jpm eti yeye ndio kibaraka. Mama kasema 'hapa juzijuzi' inawezeka ni mwaka jana tu ila lisu kwa akili yake ya kumchukia maguguli anataka kusema jpm anahusika. Wala mama hakufafanua kuhusu suala hiyo. Inawezekana wahuni wake anaowateua ndio wanahusika na account ya china.
 
Back
Top Bottom