Lissu kama Lema?

Status
Not open for further replies.
Moto wa mafuta hauzimwi na maji. CCM wanasambaza moto na kuongeza chuki kwa wananchi

na pia kutupandishia gharama za maisha. chaguzi ndogo zitatumia mabilioni bila sababu.
 
Rejao anasikika kikazi zaidi. Inawezekana leo amepewa shift ya usiku. Kazi zingine!!

Wana jamvi, Hivi kazi kama ya Rejao qualifications zake ni zipi na malipo yake ni kiasi gani??
 
Liwalo na liwe,
Tena ndo vizuri akaibomoe ccm
kama wanavyofanya lema na dr. huko majimboni.
 
ni kweli wewe hufahamiki kabisa, mimi niliyesoma ilboru na tabora ndio nafahamika
hahaha.. TIMING,
Kumbe vipaji maalum hapa JF tupo wengi...Am happy for that mkuu!! Tupo pamoja!
 
Last edited by a moderator:
I didn't know ..when did Lissu become the MP of Arusha or do you mean the court is shifting and the ruling will be read from Arusha??

Usijifanye unajua kingereza mwenzio kaandika kiswahili unamkosoa kwa kingereza una maana gani unataka uonekane unajua au ndo kupenda lugha za wenyewe
 
its just a temporary thing na ndio itakayochochea chuki ya watanzania kwa CCM na wapinga haki wote

Waache wapoteze muda wao mwingi kuhangaika na wabunge wa CDM mahakamani kutahamaki 2015 hiyo na hawajafanya kitu. Wananchi tutatoa hukumu ya kumuua nyani.
 
Janjaweed,
Duh! hebu nipe mfano ni wapi CCM imefanya hivyo.
 
Last edited by a moderator:
hana msaada wowote kwa taifa hili, anadharau muungano ni matusi kwa waasisi wa ta4fa

Ni nani ndani ya uongozi wa ccm anaweza kujivunia anafuata misingi ya mwalimu? Acha upofu, funguka!
 
Kumbe CDM wote walishinda ubunge kwa magumashi. Poleni sana

Umenifurahisha sana mkuu!! nadhani weye ni JK au Mkama unaye tumia ID hii...............
Siku zote mnajifunua kwa uwezo wenu wa kufikiri!!
 
Mwigulu katoka Singida asb jana kaingia Dar mchana akitamba kuwa kazi kwisha(wamemaliza)anafuata Mnyika halafu wanakula poz ila Mdee nae ilikuwa inakula kwake
 
Usijifanye unajua kingereza mwenzio kaandika kiswahili unamkosoa kwa kingereza una maana gani unataka uonekane unajua au ndo kupenda lugha za wenyewe

Kuna watu wanafikiri Kiingereza ni deal kukisema au kukiandika. Mimi nashangaa JF member wengi ni wasomi hawawezi kushindwa kuandika kiingereza fasaha. Mtu huyo huyo ukimpeleka jukwaa la IF unakuta hana lolote anachangia kiswahili hata kama post ni ya kiingereza.
 
haya yote watendayo yana gharama kubwa sana kwa serikali na ccm
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…