Mwambie atengeneze namna nzuri ya kuwasilisha maoni yake si kwa kuifokea na kui-command serikali...Yeye hamiliki chochote kati ya hayo lakin yeye ni zaid ya hayo uliyoyataja.
Asante mkuu,Mkuu, mimi si mmojawapo. Mara nyingi tu huchangia, kwa maana ya kuchambua, au huanzisha mada za kisheria. Please acknowledge!😀
Mifano:
1.Jicho la kisheria: Kumsweka rumande mwananchi kwa amri ya Mkuu wa Mkoa/Wilaya - JamiiForums
2. Mita 200: Jicho la kisheria (Tafsiri yangu binafsi) - JamiiForums
3. Uteuzi wa Wabunge 10: Jicho la kisheria - JamiiForums
Prof alituahidi NOAH zetu ziko wapi? Akasema walipiga risasi marais wa USA hawajulikani hadi leo.Naanza kwa kukubali title yangu ndiyo, kabudi ni level nyingine kwa kina Lissu na mdee,
Najua nitapigiwa kelele baada ya uzi huu wengine watasema umetumwa, wengine watasema heshima yako inashuka no sina heshima hapa, nipo kuwasilisha mawazo yangu,
Kwa uwezo wa kabudi wa uwasilishaji wa mazungumzo na mijadala huwezi kumlinganisha Lissu hata siku moja,
Lissu uonekana anajua sheria kwa wasioelewa,
Kwa kifupi lissu hupiga kelele kwa kutaja vifungu n.a. watu wanashangilia bila kujua,
Kwa ufupi nimefuatilia hata baadhi ya hoja za kibatala nikaona Lissu uanasheria wake anacheza na jukwaa tu,
Hajafika hata level za kina Marando, au Advocate Mukono, ila kwakuwa hawana platform ya kuonekana watu hawagundui
Angalia presentation style ya kabudi na relevance ya anachokisema kutokana na sheria, mwangalie LIssu presentation na relevance ya anachoongea, kwa kifupi Lissu sheria yake haijafika level hizo mnapomuweka,
Akiacha kuongea kwa kupiga kelele akiwa ametulia atakuwa mwanasheria mzuri , bado Ana nafasi afanye mazoezi
umeona mkuu maana noah zetu ziko bandalini na mkataba ni 50/50 kama alivyo shauriUkiangalia wale wanao mshabikia Lissu wengi ni Vilza tu
Hakuna wajualo zaidi ya ushabiki na Kufuata mkumbo
Kabudi ni level nyingine kabisa
SureTukiacha ushabiki wa kisiasa Lissu ni mweupe mno huwezi kumlinganisha na Prof. Kabudi. Lissu makelele ndiyo yanayombeba.
SureUkweli ni kwamba Lissu is not that good! Mleta uzi uko sahihi. Lissu huwa anapala rangi kwa kutaja vifungu na wasiojua sheria wanaona jamaa ni kichwa ila tafsiri za hizo sheria wa kawaida sana. Kwenye presentation ya legal contents Kabudi kamuacha Lissu mbali sana.
Lissu anabebwa na uanaharakati.
Au kumtoa roho pia!!!!!!!!!!!!!!Kabudi aliisoma kwa kuangalia ..mwenzake lissu aliisoma kwa kuona .
Umri wa Lissu na uwezo wake wa Sheria..HUWEZI kaa nakufikiria uulinganishe na KABUDI .
Lissu nikitu kingine ndomaana mnapenda hata aaimie uko.
una maana hata huko mahakamani anajoshinda kesi kila uchwao nao hawajui sheria (vilaza wenzetu).Ukweli ni kwamba Lissu is not that good! Mleta uzi uko sahihi. Lissu huwa anapala rangi kwa kutaja vifungu na wasiojua sheria wanaona jamaa ni kichwa ila tafsiri za hizo sheria wa kawaida sana. Kwenye presentation ya legal contents Kabudi kamuacha Lissu mbali sana.
Lissu anabebwa na uanaharakati.
kumbe unakubali lissu anajua kuliko kabudi ila shida yake ni kuwapq ukweli kwa lugha halisi na haipaki mafuta iwavutie watawalaKule huwa na heshima,anaheshimu mahakama....
Ila anavyo ishauri serikali hutumia command hatakama anajenga hoja,ila uwasilishaji wake sasa.
Nyerere aliwahi kusema hatakama baba ana njaa unapompelekea ugali utengeneze vizuri ili umvutie ukipeleka ugali una sura ya hovyo hovyo hata hamu ya kula itaisha.
Nimrod mkono...aya sasa nenda googleNdiyo nani?
Hivi kule kwa ma-diaspora alisemaje vile😀😀Naanza kwa kukubali title yangu ndiyo, kabudi ni level nyingine kwa kina Lissu na mdee,
Najua nitapigiwa kelele baada ya uzi huu wengine watasema umetumwa, wengine watasema heshima yako inashuka no sina heshima hapa, nipo kuwasilisha mawazo yangu,
Kwa uwezo wa kabudi wa uwasilishaji wa mazungumzo na mijadala huwezi kumlinganisha Lissu hata siku moja,
Lissu uonekana anajua sheria kwa wasioelewa,
Kwa kifupi lissu hupiga kelele kwa kutaja vifungu n.a. watu wanashangilia bila kujua,
Kwa ufupi nimefuatilia hata baadhi ya hoja za kibatala nikaona Lissu uanasheria wake anacheza na jukwaa tu,
Hajafika hata level za kina Marando, au Advocate Mukono, ila kwakuwa hawana platform ya kuonekana watu hawagundui
Angalia presentation style ya kabudi na relevance ya anachokisema kutokana na sheria, mwangalie LIssu presentation na relevance ya anachoongea, kwa kifupi Lissu sheria yake haijafika level hizo mnapomuweka,
Akiacha kuongea kwa kupiga kelele akiwa ametulia atakuwa mwanasheria mzuri , bado Ana nafasi afanye mazoezi
Sio anajua kuliko kabudi,nadhani kipimo cha kupima hivo ni mitihani au works that they have done pamoja na hoja bila kusahau uwasilishaji(communication skills) ndio maana unaweza faulu written kwa asilimia mia moja lakini uakafeli oral na kazi ndio basi utaendelea kusikilizia bombani tu.kumbe unakubali lissu anajua kuliko kabudi ila shida yake ni kuwapq ukweli kwa lugha halisi na haipaki mafuta iwavutie watawala
Unataka ukumbushwe alichokisema Professor Marekani?Naanza kwa kukubali title yangu ndiyo, kabudi ni level nyingine kwa kina Lissu na mdee,
Najua nitapigiwa kelele baada ya uzi huu wengine watasema umetumwa, wengine watasema heshima yako inashuka no sina heshima hapa, nipo kuwasilisha mawazo yangu,
Kwa uwezo wa kabudi wa uwasilishaji wa mazungumzo na mijadala huwezi kumlinganisha Lissu hata siku moja,
Lissu uonekana anajua sheria kwa wasioelewa,
Kwa kifupi lissu hupiga kelele kwa kutaja vifungu n.a. watu wanashangilia bila kujua,
Kwa ufupi nimefuatilia hata baadhi ya hoja za kibatala nikaona Lissu uanasheria wake anacheza na jukwaa tu,
Hajafika hata level za kina Marando, au Advocate Mukono, ila kwakuwa hawana platform ya kuonekana watu hawagundui
Angalia presentation style ya kabudi na relevance ya anachokisema kutokana na sheria, mwangalie LIssu presentation na relevance ya anachoongea, kwa kifupi Lissu sheria yake haijafika level hizo mnapomuweka,
Akiacha kuongea kwa kupiga kelele akiwa ametulia atakuwa mwanasheria mzuri , bado Ana nafasi afanye mazoezi
Nimecheka kifala... Eti "Mpunguzieni kabudi mshahara kidogo alafu tuone shule atakayoitoa"Kabudi ni mwalimu, ilitegemewa amwage shule.
Lisu ni nationalist fanatic, someone with fire in his stomach to persue his cause even after so many bullets.
Mpunguzieni kabudi mshahara kidogo alafu tuone shule atakayoitoa.