Lissu, Heche, Nape, Zitto bado Bwawa la Umeme ni ‘white elephant’ kama mlivyodai?

Etwege

JF-Expert Member
Jul 4, 2018
5,755
15,234
Matapeli yasiyo na maono yoyote yaliyojificha kwenye koti la uongozi yameumbuliwa mchana kweupe na Hayati Magufuli akiwa kaburini

Kila Kona ya nchi Sasa ni mtetemo na mtikisiko ikienda sambamba na tabasamu la kumalizika Kwa miradi iliyoanzishwa wakati wa utawala wa Hayati Magufuli. Ni juzi tumeambiwa mtambo namba 8 wa kuzalisha umeme katika bwawa la JNHPP umewashwa na kuwashwa huko tatizo la umeme litapungua Kwa 85% ,hii ni habari njema na ya matumaini makubwa. Hamu inaendelea kuwa kubwa endapo mitambo yote 9 ikiwashwa na kuanza kuzalisha umeme, Je matokeo yake yatakuwaje?

Hilo likiwa halijakauka ,habari njema zaidi ni kuanza Kwa majaribio ya SGR kutoka Dar mpaka Moro, majaribio ambayo yamefanyika Kwa mafanikio. Kuanza kufanya kazi Kwa SGR uchumi wa Tanzania utafunguka Kwa kiwango kikubwa.

Miradi hii, wa kufua umeme na SGR ni pigo litakaloikumba upinzani na Kwa sababu hawaoni wataendelea kuona watanzania wanataka maandamano. Watanzania wanataka maendeleo na maendeleo yanayoletwa na Serikali ya CCM ni ya vizazi Kwa vizazi.

Miradi mikubwa yote ambayo hapo kabla ili " white elephant projects" na wapinzani Sasa imekuwa miradi yenye matokeo mazuri kwenye uchumi. Miradi hiyo itautesa upinzani Kwa miaka mingi sana na kama upinzani wataendelea kuzurura bila ajenda ,sioni mwisho kwao.

Mwenyezi Mungu mpe pumziko jema mja wako , matokeo ya kazi ngumu Kwa nchi hii tumeanza kuyaona Sasa.[/QUOTE]
 
Mwenyezi Mungu mpe pumziko jema mja wako , matokeo ya kazi ngumu Kwa nchi hii tumeanza kuyaona Sasa.
[/QUOTE]Maendeleo ya vizazi na vizazi, tuna miaka 60 sasa ya Uhuru, mpaka leo umeme ni tatizo? Shule hazina vifaa vya kufundishia, na walimu wa kusuasua!

Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
 
Maendeleo ya vizazi na vizazi, tuna miaka 60 sasa ya Uhuru, mpaka leo umeme ni tatizo? Shule hazina vifaa vya kufundishia, na walimu wa kusuasua!

Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app[/QUOTE]

Kwa hiyo unashauri nini?
 
Matapeli yasiyo na maono yoyote yaliyojificha kwenye koti la uongozi yameumbuliwa mchana kweupe na Hayati Magufuli akiwa kaburini

Kila Kona ya nchi Sasa ni mtetemo na mtikisiko ikienda sambamba na tabasamu la kumalizika Kwa miradi iliyoanzishwa wakati wa utawala wa Hayati Magufuli. Ni juzi tumeambiwa mtambo namba 8 wa kuzalisha umeme katika bwawa la JNHPP umewashwa na kuwashwa huko tatizo la umeme litapungua Kwa 85% ,hii ni habari njema na ya matumaini makubwa. Hamu inaendelea kuwa kubwa endapo mitambo yote 9 ikiwashwa na kuanza kuzalisha umeme, Je matokeo yake yatakuwaje?

Hilo likiwa halijakauka ,habari njema zaidi ni kuanza Kwa majaribio ya SGR kutoka Dar mpaka Moro, majaribio ambayo yamefanyika Kwa mafanikio. Kuanza kufanya kazi Kwa SGR uchumi wa Tanzania utafunguka Kwa kiwango kikubwa.

Miradi hii, wa kufua umeme na SGR ni pigo litakaloikumba upinzani na Kwa sababu hawaoni wataendelea kuona watanzania wanataka maandamano. Watanzania wanataka maendeleo na maendeleo yanayoletwa na Serikali ya CCM ni ya vizazi Kwa vizazi.

Miradi mikubwa yote ambayo hapo kabla ili " white elephant projects" na wapinzani Sasa imekuwa miradi yenye matokeo mazuri kwenye uchumi. Miradi hiyo itautesa upinzani Kwa miaka mingi sana na kama upinzani wataendelea kuzurura bila ajenda ,sioni mwisho kwao.

Mwenyezi Mungu mpe pumziko jema mja wako , matokeo ya kazi ngumu Kwa nchi hii tumeanza kuyaona Sasa.
Mambo makubwa usiyoyaelewa yaache yapite, wenzako hawazungumzii kuwasha taa na sabuwufa, wanazungumzia matumizi makubwa ya viwanda vikubwa kama vya chuma na vingineo.
 
Matapeli yasiyo na maono yoyote yaliyojificha kwenye koti la uongozi yameumbuliwa mchana kweupe na Hayati Magufuli akiwa kaburini

Kila Kona ya nchi Sasa ni mtetemo na mtikisiko ikienda sambamba na tabasamu la kumalizika Kwa miradi iliyoanzishwa wakati wa utawala wa Hayati Magufuli. Ni juzi tumeambiwa mtambo namba 8 wa kuzalisha umeme katika bwawa la JNHPP umewashwa na kuwashwa huko tatizo la umeme litapungua Kwa 85% ,hii ni habari njema na ya matumaini makubwa. Hamu inaendelea kuwa kubwa endapo mitambo yote 9 ikiwashwa na kuanza kuzalisha umeme, Je matokeo yake yatakuwaje?

Hilo likiwa halijakauka ,habari njema zaidi ni kuanza Kwa majaribio ya SGR kutoka Dar mpaka Moro, majaribio ambayo yamefanyika Kwa mafanikio. Kuanza kufanya kazi Kwa SGR uchumi wa Tanzania utafunguka Kwa kiwango kikubwa.

Miradi hii, wa kufua umeme na SGR ni pigo litakaloikumba upinzani na Kwa sababu hawaoni wataendelea kuona watanzania wanataka maandamano. Watanzania wanataka maendeleo na maendeleo yanayoletwa na Serikali ya CCM ni ya vizazi Kwa vizazi.

Miradi mikubwa yote ambayo hapo kabla ili " white elephant projects" na wapinzani Sasa imekuwa miradi yenye matokeo mazuri kwenye uchumi. Miradi hiyo itautesa upinzani Kwa miaka mingi sana na kama upinzani wataendelea kuzurura bila ajenda ,sioni mwisho kwao.

Mwenyezi Mungu mpe pumziko jema mja wako , matokeo ya kazi ngumu Kwa nchi hii tumeanza kuyaona Sasa.
[/QUOTE]
Hata kama litatoa umeme kwa sasa bado hatukuwa na sababu ya kukata miti zaidi 6 Miillion kwa ajili ya kupata 2100 Megawatt za umeme.

Hizo Megawatt 2100 zingeweza kupatikana kwa kupitia gesi ya Mtwara tu pale Kinyerezi.
 
Hata kama litatoa umeme kwa sasa bado hatukuwa na sababu ya kukata miti zaidi 6 Miillion kwa ajili ya kupata 2100 Megawatt za umeme.

Hizo Megawatt 2100 zingeweza kupatikana kwa kupitia gesi ya Mtwara tu pale Kinyerezi.[/QUOTE]

Mbona hazipatikani sasa kutoka kwenye hiyo gesi?

Watanzania kila mmoja akiamua kupanda mti mmoja tutapata miti millioni ngapi? Kilaza mkubwa wewe
 
Hakuna kitu jamaa usanii mtupu kwangu ulikuepo mchana Saa 1800 wamekata mpka Saa tatu hii NIL
 
Matapeli yasiyo na maono yoyote yaliyojificha kwenye koti la uongozi yameumbuliwa mchana kweupe na Hayati Magufuli akiwa kaburini

Kila Kona ya nchi Sasa ni mtetemo na mtikisiko ikienda sambamba na tabasamu la kumalizika Kwa miradi iliyoanzishwa wakati wa utawala wa Hayati Magufuli. Ni juzi tumeambiwa mtambo namba 8 wa kuzalisha umeme katika bwawa la JNHPP umewashwa na kuwashwa huko tatizo la umeme litapungua Kwa 85% ,hii ni habari njema na ya matumaini makubwa. Hamu inaendelea kuwa kubwa endapo mitambo yote 9 ikiwashwa na kuanza kuzalisha umeme, Je matokeo yake yatakuwaje?

Hilo likiwa halijakauka ,habari njema zaidi ni kuanza Kwa majaribio ya SGR kutoka Dar mpaka Moro, majaribio ambayo yamefanyika Kwa mafanikio. Kuanza kufanya kazi Kwa SGR uchumi wa Tanzania utafunguka Kwa kiwango kikubwa.

Miradi hii, wa kufua umeme na SGR ni pigo litakaloikumba upinzani na Kwa sababu hawaoni wataendelea kuona watanzania wanataka maandamano. Watanzania wanataka maendeleo na maendeleo yanayoletwa na Serikali ya CCM ni ya vizazi Kwa vizazi.

Miradi mikubwa yote ambayo hapo kabla ili " white elephant projects" na wapinzani Sasa imekuwa miradi yenye matokeo mazuri kwenye uchumi. Miradi hiyo itautesa upinzani Kwa miaka mingi sana na kama upinzani wataendelea kuzurura bila ajenda ,sioni mwisho kwao.

Mwenyezi Mungu mpe pumziko jema mja wako , matokeo ya kazi ngumu Kwa nchi hii tumeanza kuyaona Sasa.
[/QUOTE]

IMG_8869.jpg
 
Back
Top Bottom