Lissu: Hata Mbowe achunguzwe!

Another dog!
 
Hapa kuna tatizo siyo kwamba ameshajua ni nani wanahusika na majina anayo? uchunguzi wa nini sasa? mwelekeo wa hili unasikitisha... ama anataka uchunguzi wa kujua nani anahusika au anataka uchunguzi utakaoonesha anaowashuku ndio wamehusika...
 
Huo ni bonge la mtego. Mbowe nina hakika yuko tayari hata leo. Hao wengine wawili sasa ndio raha ilipo.
Jambo usilolijua ni kama usiku wa giza kamanda..we tulia kama unanyolewa..hapo ndio utajua kama Mbowe yupo tayari ama la
 
Achana na Bavicha. Hawa ni vigeugeu mzee. Ukiwambia ukweli ni mabingwa kugeuza maneno. Walisema lowassa fisadi baadae wahasema msafi. Wakasema tunatafa raisi mkali alipokuja JPM wakasema dictator. Yako mengi. Hawa wanatabia ya mashetani
 
Ni kweli hata aliyemwambia Mke wake ahamishe kokoto tani saba usiku Wa manane naye yatamfichuka Mengi.
Pia hata aliyeiba jina la mtu ataumbuka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili jamaa jinga kweli! Ulimsikiliza ukamuelewa lengo lake?
Ndibyo alivyoelewa lile ni swali kila mtu atajibu anvyoelewa.....ila nahakika kwa kulinda watuhumiwa mbowe hatachunguzwa wala dreva wala lisu
 
Achana na Bavicha. Hawa ni vigeugeu mzee. Ukiwambia ukweli ni mabingwa kugeuza maneno. Walisema lowassa fisadi baadae wahasema msafi. Wakasema tunatafa raisi mkali alipokuja JPM wakasema dictator. Yako mengi. Hawa wanatabia ya mashetani
Haha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Achana na Bavicha. Hawa ni vigeugeu mzee. Ukiwambia ukweli ni mabingwa kugeuza maneno. Walisema lowassa fisadi baadae wahasema msafi. Wakasema tunatafa raisi mkali alipokuja JPM wakasema dictator. Yako mengi. Hawa wanatabia ya mashetani

Hahahaha
Niko nao huku usiku nacheza nao bongo flavor
BAVICHA oyeeee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeamini pasi na shaka kuwa wewe ni proffesional kilaza! Lisu ana akili kubwa na alijibu kiprffessional.
 
Jambo usilolijua ni kama usiku wa giza kamanda..we tulia kama unanyolewa..hapo ndio utajua kama Mbowe yupo tayari ama la

Narudia tena Mbowe yuko tayari hata sasa hivi. Mziki ni hapo kwa jiwe na Bashite.
 
hapa wanaowategwa ni hao wakolomije 2.
ngoja waingie kichwa kichwa...
 
Lissu yuko very smart
Aliulizwa swali.la mtego kama aliloulizwa Yesu kuwa Yafaa Kumpa Kaizari Kodi au tusimpe?. yote ikiwa ni kujaribu kumuingiza mtegoni!

Lissu naye alipoulizwa kuwa hata Mwenyekiti wako inasemekana kuwa huenda alihusika je unasema naye achunguzwe?

Kama Lissu angesema asichunguzwe, jibu lingekuwa kuwa kumbe hauko serious wewe, bali unataka wachunguzwe unaowataka wewe!

Na kwa kuwa Lissu yuko smart akajibu, eeeh naye kama mnamdhania basi achunguzwe tu hiyo si ndo kazi ya polisi kuchunguza kila anayetuhimiwa?

Kakwepa huo mtego
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…