Lissu hajui hata bei ya chapati mtaani kwake

Wakati akiongea na Clouds 360,kuhusu uchakavu wa mtaa wake kule Tegeta!

Amekaririwa akisema kwamba.

"Wananchi mtaani wanashindwa kununua hata chapati ya shilingi 200/=@!"

Huu ni ushahidi kwamba Lissu haelewi hali halisi ya Maisha ya mtanzania kwa sasa!

Anachoongea ni kile anachokaririshwa na wapambe wake waliomzunguka na kumjaza uongo!
Maajabu ya siku hizi ni baadhi ya watu kuonyesha ujinga wao na kudhani ni jambo la fahari!
Nakumbuka mkuu Invisible alikuwa na slogan yake ya "Ficha upumbavu wako onyesha hekima yako".
Haya matoto ya sasa humu hayalijui hilo. Tuwasaidie kukiponya kizazi hiki.
 
Hata huku nimeona chapati za 200 tatizo ni za mihogo huu uchafu haujawahi kuuzwa ila kutokana na ugumu wa maisha tutakula hadi mikate ya mtama
Mimi nimeona familia inanunua pumba inachanganya na mahindi kidogo inasagwa ili kupata unga

Hakika kuna raia wanakiona cha mtema kuni sikuwahi kufikiri kama pumba inaweza kua chakula cha binadamu.
 
Wakati akiongea na Clouds 360,kuhusu uchakavu wa mtaa wake kule Tegeta!

Amekaririwa akisema kwamba.

"Wananchi mtaani wanashindwa kununua hata chapati ya shilingi 200/=@!"

Huu ni ushahidi kwamba Lissu haelewi hali halisi ya Maisha ya mtanzania kwa sasa!

Anachoongea ni kile anachokaririshwa na wapambe wake waliomzunguka na kumjaza uongo!
Kweli umekosa mada ya kuleta hadi ututake tujadili Lissu kutokuju bei ya chapati, licha ya kujua kuwa hajakuwepo nchini kwa muda sasa?
 
Maajabu ya siku hizi ni baadhi ya watu kuonyesha ujinga wao na kudhani ni jambo la fahari!
Nakumbuka mkuu Invisible alikuwa na slogan yake ya "Ficha upumbavu wako onyesha hekima yako".
Haya matoto ya sasa humu hayalijui hilo. Tuwasaidie kukiponya kizazi hiki.
Mengi ya haya yanayochsngia utunbo humu!
Yamezaliwa na kukulia kizazi hiki cha Short-Cit to success!

Wanaamini wizi ni jambo jema!
 
Kweli umekosa mada ya kuleta hadi ututake tujadili Lissu kutokuju bei ya chapati, licha ya kujua kuwa hajakuwepo nchini kwa muda sasa?
Kama analijua hilo,kwa nini akurupuke kusema ovyo,vitu ambavyo havijui!

Kila kitu anasema nimeambiwa!

Kiongozi. Makini hujipa muda wa kujifunza mazingira mapya na kuuelewa uhalisia,badala ya kutafuta sifa kwenye mambo usiyo na uelewa nayo!
Tuanzie hapo.....
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Back
Top Bottom