GE2025 Lissu chini ya ulinzi mkali afikishwa Mahakamani

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Uliwahi kumsikia nyerere kuwa anataka vijana jeuri ? Ulielewa nini?... jpm alikuwa dictator dhidi ya mafisadi ya ccm na wawekezaj9 wabeberu wanyonyaji .....nakuakikishia nyerere angemuslewa Magufuli kwa asilimia 100%
Mwalimu hata siku moja hakutetea utawala unaokandamiza watu kwa kuwa na mawazo tofauti.
Magufuli alikuwa ni mdhaifu sana upande huo; hata katika maeneo asiyojuwa chochote; kama alivyo onyesha wakati wa ukimwi.
Kwa hiyo usitake kumweka Nyerere kwenye mambo ambayo hahusiki nayo.
 
JPM AKYKANDAMIZA ISIPOKUWA MAFISADI NA VYETI FEKI ..TUMIA AKILI WEWE MPUUZI UWEZI KUIKOMBOA TZ KWENYE MIKONO YA MAFISADI BILA YA DAMU
 
Nyerere aliua mabeberu yanayo onea waafrica kote africa ...unajua kwa nini
Mkuu 'Lwiva', hebu tulia basi!
Naona sasa ni kama unajiingiza kwenye ubishi usiokuwa na maana kabisa, na wala usio husika kabisa na mjadala unaoendelea.
Watu hawamlaumu Magufuli bila ya sababu. yale mazuri wote tunayakubali; lakini ubaya wake uliumiza watu pia bila ya sababu.
 
..Nyerere alisimama kwenye hoja, na moral authority, na sio ukatili na unyama dhidi ya watu wake.

..Nyerere hakuuwa bali aliunga mkono mapambano ya silaha dhidi ya wakoloni. Na alifanya hivyo baada ya jitihada za amani kushindikana.

..Nyerere na Magufuli wangetofautiana kwenye suala la Morocco vs Sahara Magharibi.

..Kwa kifupi Magufuli alihongwa na Morocco akakubali kuwaunga mkono. Suala hilo lilimchukiza sana Mzee Mugabe na inasemekana aliwasemea mbovu viongozi wa Kusini mwa Afrika / Sadc waliounga mkono Morocco.

Cc Nguruvi3
 
JPM AKYKANDAMIZA ISIPOKUWA MAFISADI NA VYETI FEKI ..TUMIA AKILI WEWE MPUUZI UWEZI KUIKOMBOA TZ KWENYE MIKONO YA MAFISADI BILA YA DAMU
Hivi kwa nini unadhani ni wewe pekee ndiye unayetumia akili?
Kutokubali mabaya ya Magufuli ndio iwe kutotumia akili?

Ndiyo,"kukandamiza mafisadi" sote tungependa; lakini hiyo pekee isingekuwa sababu ya kukubali na maovu yaliyo ambatana na huko kukandamiza hata wasiokuwa na hatia.
 
Mkuu 'Lwiva', hebu tulia basi!
Naona sasa ni kama unajiingiza kwenye ubishi usiokuwa na maana kabisa, na wala usio husika kabisa na mjadala unaoendelea.
Watu hawamlaumu Magufuli bila ya sababu. yale mazuri wote tunayakubali; lakini ubaya wake uliumiza watu pia bila ya sababu.
Kuna watu tanzania awataki kuona rais mzalendo wala kuona rais mwema wanafanya juu chini kumuua ni vita ..awataki uchumi wa nchi uwe kwa manufaa ya taifa na wapo tayari kumuua yoyote anaye simama upande wa HAKI ....tumia akili ni lazima damu imwagike kukomboa taifa la sivyo damu itamwagika kuliangamiza taifa machaguo ni mawili tu
1)DAMU KUMWAGIKA ILI TAIFA LIANGAMIE AU
2)DAMU KUMWAGIKA KULIKOMBOA TAIFA .
Hakuna njia ya 3 asikudanganye yoyote, hata Lissu awezi kulikomboa taifa bila ya kumwaga Damu
 
Hivi kwa nini unadhani ni wewe pekee ndiye unayetumia akili?
Kutokubali mabaya ya Magufuli ndio iwe kutotumia akili?

Ndiyo,"kukandamiza mafisadi" sote tungependa; lakini hiyo pekee isingekuwa sababu ya kukubali na maovu yaliyo ambatana na huko kukandamiza hata wasiokuwa na hatia.
Hauna haki siyo utumii akili tatizo ni akili hauna ....MKWAMO WA TAIFA LETU UPO MIKONONI MWA WAUAJI HIVYO LAZIMA KUMWAGA DAMU AU KUPAMBANA KUFA NA KUPONA KUKOMBOA TAIFA ...JPM ALIONEKANA MUOVU KWA WATU WENYE AKILI FINYU KAMA WEWE MAANA UJUI WANAO LIANGAMIZA TAIFA NI WAOVU KIASI GANI ....USIPO WAUA WAO WANAKUUA WEWE KWA SABABU AWATAKI TANZANIA IFANIKIWE
 
Kuna watu tanzania awataki kuona rais mzalendo wala kuona rais mwema wanafanya juu chini kumuua ni vita ..awataki uchumi wa nchi uwe kwa manufaa ya taifa na wapo tayari kumuua yoyote anaye simama upande wa HAKI ....tumia akili ni lazima damu imwagike kukomboa taifa la sivyo damu itamwagika kuliangamiza taifa machaguo ni mawili tu
1)DAMU KUMWAGIKA ILI TAIFA LIANGAMIE AU
2)DAMU KUMWAGIKA KULIKOMBOA TAIFA .
Hakuna njia ya 3 asikudanganye yoyote, hata Lissu awezi kulikomboa taifa bila ya kumwaga Damu
Mkuu 'Lwiva', hivi tatizo ni nini. Mboana tunakubaliana juu ya "manufaa ya taifa" na waTanzania wote.

Mbona sote tunakubaliana kabisa kuwa kuna Genge la watu wasiolitakia mema taifa letu; na sote tunahimiza juhudi za kulidhibiti kundi hili kwa njia zozote zitakazowezekana.

Labda kutilia mkazo hiyo "damu kumwagika" ndipo tunapoweza kutofautiana kidogo. Damu tayari inamwagika ndani ya nchi hii; na polisi wapo tayari kuimwaga ya waTanzania wanaotafuta HAKI.

Sasa wewe hii damu, ni damu ya nani unayotaka kuimwaga?
Unataka waTanzania wakaangukie mitutu ya akina Jumanne Mulilo kwa pupa tu, iwe ndiyo "kutumia akili" unakokusema wewe?
Mimi naona wazi kabisa, asiye tumia akili ni wewe. Unaendeshwa tu na hisia za moyo kuandika vitu ambavyo vinahitaji "kutumia akili".

Sioni chochote hapo, kwenye maneno yako hiyo njia ya "kumwaga damu" itatokea wapi; lakini hapo hapo unajiapiza kuwa ni lazima "damu imwagike"!

Hii mihemko ya aina hii haiwezi kamwe kutusaidia kuondokana na manyanyaso tunayo fanyiwa na Samia na Genge lake.

Sasa nikwambie: unarusha tu maneno bila ya maana yoyote. Kwa nini uhitimishe kuwa "Kuna watu tanzania awataki kuona rais mzalendo wala kuona rais mwema..."? Rais mwema ni huyo unayemwona wewe pekee katika sura ya Magufuli?

Nimalizane na wewe: kutokana na uandishi wako, nadhani inatosha kujuwa vyema wewe ni mtu wa namna gani; kwa vigezo mbalimbali vinavyoweza kutumika kumjuwa mtu.

Uzalendo kwa taifa lako hauhusiani kabisa na kumpenda kiongozi kwa sababu zozote unazompendea. Fanya tofauti hiyo.
 
Hauna haki siyo utumii akili tatizo ni akili hauna ....MKWAMO WA TAIFA LETU UPO MIKONONI MWA WAUAJI HIVYO LAZIMA KUMWAGA DAMU AU KUPAMBANA KUFA NA KUPONA KUKOMBOA TAIFA ...JPM ALIONEKANA MUOVU KWA WATU WENYE AKILI FINYU KAMA WEWE MAANA UJUI WANAO LIANGAMIZA TAIFA NI WAOVU KIASI GANI ....USIPO WAUA WAO WANAKUUA WEWE KWA SABABU AWATAKI TANZANIA IFANIKIWE
Sina la ziada, mkuu wangu 'Lwiva'.
Labda kukufahamisha tu kuwa, kama kuna damu itakayo mwagika ni ya hao waovu, na siyo ya waTanzania. Na ili itokee hivyo, hizo pupa ulizo nazo wewe; kamwe haziwezi kuleta mabadiliko chanya ndani ya nchi yetu. Unazo papara nyingi, kwa kutotumia akili na kuelewa kinachoelezewa.
 
Mkuu 'Lwiva', hivi tatizo ni nini. Mboana tunakubaliana juu ya "manufaa ya taifa" na waTanzania wote.

Mbona sote tunakubaliana kabisa kuwa kuna Genge la watu wasiolitakia mema taifa letu; na sote tunahimiza juhudi za kulidhibiti kundi hili kwa njia zozote zitakazowezekana.

Labda kutilia mkazo hiyo "damu kumwagika" ndipo tunapoweza kutofautiana kidogo. Damu tayari inamwagika ndani ya nchi hii; na polisi wapo tayari kuimwaga ya waTanzania wanaotafuta HAKI.

Sasa wewe hii damu, ni damu ya nani unayotaka kuimwaga?
Unataka waTanzania wakaangukie mitutu ya akina Jumanne Mulilo kwa pupa tu, iwe ndiyo "kutumia akili" unakokusema wewe?
Mimi naona wazi kabisa, asiye tumia akili ni wewe. Unaendeshwa tu na hisia za moyo kuandika vitu ambavyo vinahitaji "kutumia akili".

Sioni chochote hapo, kwenye maneno yako hiyo njia ya "kumwaga damu" itatokea wapi; lakini hapo hapo unajiapiza kuwa ni lazima "damu imwagike"!

Hii mihemko ya aina hii haiwezi kamwe kutusaidia kuondokana na manyanyaso tunayo fanyiwa na Samia na Genge lake.

Sasa nikwambie: unarusha tu maneno bila ya maana yoyote. Kwa nini uhitimishe kuwa "Kuna watu tanzania awataki kuona rais mzalendo wala kuona rais mwema..."? Rais mwema ni huyo unayemwona wewe pekee katika sura ya Magufuli?

Nimalizane na wewe: kutokana na uandishi wako, nadhani inatosha kujuwa vyema wewe ni mtu wa namna gani; kwa vigezo mbalimbali vinavyoweza kutumika kumjuwa mtu.

Uzalendo kwa taifa lako hauhusiani kabisa na kumpenda kiongozi kwa sababu zozote unazompendea. Fanya tofauti hiyo.
Sasa hivi damu inayo mwagika inamwagwa na maadui wa taifa tofauti na kipindi cha jpm ...uo9nzani ulikubali kutumiwa na maadui wa taifa kipindi cha jpm ...hapo ndipo kina lisu na chadema walitumika vibaya
 
Ulitaka Lissu amuunge mkono JPM,.ina maana angeenda CCM? Sasa nani angekua anafanya kazi ya upinzani kuleta sera mbadala na kuonyesha madhaifu yanayohitaji kufanyiwa kazi?

Mbona kina Kabudi walikua upande wa JPM leo hii wanamkana na kusema Samia kamzidi hadi Nyerere
Eti bwana
 
Sasa hivi damu inayo mwagika inamwagwa na maadui wa taifa tofauti na kipindi cha jpm ...uo9nzani ulikubali kutumiwa na maadui wa taifa kipindi cha jpm ...hapo ndipo kina lisu na chadema walitumika vibaya
Yaani hata akili ndogo ya kukuongoza inakuwa tatizo?

Kwa nini uone watu wengine woote wakubali kutumiwa na maadaui isipokuwa wewe na huyo unayemwona kuwa ni tofauti na binaadam wengine wote?

Ni nyinyi peke yenu mnaipenda Tanzania?
Mnawafanyia maovu waTanzania wenzenu, bado mnajivika heshima ya uzalendo, eti msisemwe?

Haya yote uliyo andika humu ni kama hutumii akili yako kufikiri sawasawa.

Uzalendo haupo hivyo. Huhitaji kujitangazia uzalendo. Watu wanaoona matendo yako na utetezi wako kwa taifa ndio watakaoona uzalendo huo; siyo wa kuwalazimisha wengine wakutambue kuwa ni mzalendo; wakati maandishi yako yenyewe yakikushtaki.
Tabia ileile mbaya aliyo kuwa nayo Magufuli.
 
Kwa hiyo kwa akili zako uzalendo ni nini ....baba yako aliuza ng'ombe wake kukusomesha kumbe kauza ngombe kusomesha ng'ombe....hatutaki serikali za kuoetiana tunatake serikali zenye kuua haswa wahuni wote.
 
..Nyerere alisimama kwenye hoja, na moral authority, na sio ukatili na unyama dhidi ya watu wake.

..Nyerere hakuuwa bali aliunga mkono mapambano ya silaha dhidi ya wakoloni. Na alifanya hivyo baada ya jitihada za amani kushindikana.

..Nyerere na Magufuli wangetofautiana kwenye suala la Morocco vs Sahara Magharibi.

..Kwa kifupi Magufuli alihongwa na Morocco akakubali kuwaunga mkono. Suala hilo lilimchukiza sana Mzee Mugabe na inasemekana aliwasemea mbovu viongozi wa Kusini mwa Afrika / Sadc waliounga mkono Morocco.

Nyerere alikuwa mtu wa ''principles''. Mwl alikuwa Mkatoliki lakini hakusita kusimama na Wapalestina, tena akiwatambua kwa kuwa na Ubalozi. Magufuli alisema hakuna adui wa kudumu bila kueleza chochote!

Mwl alisimama na Watu wa Sahara Magharibi (Polisario) bila haya wala soni. Leo tunawapigia magoti Morocco
Kukubali kujengewa uwanja ilikuwa dhalili sana kwa Taifa letu, ni umangungo wa kisasa (modern mangungo)

Nyerere hakuwahi kusema Makaburu waondoke au Wareno waondoke au Smith afukuzwe! alisema lazima kuwe na utawala wa haki usiozingatia ubaguzi.
 
Kwani mkuu Lissu mgombea urais ambaye akiwa kwenye Sanduku la kura hata bila kampeni binti kiziwi hawezi kutoboa anaweza kuwa na mpango wa kutoroka?

Je Lissu anaweza hata kukimbia?

Ninadhani ungejitendea haki zaidi kama title ingekuwa:

"Afikishwa mahakamani na ulinzi usiokuwa na sababu."

Zingatia, Lissu hata akitokea nyumbani kwake angekuja hapo mahakamani kwa usongo kuwanyoosha hawa ndugu:

View attachment 3469471
Hiyo ni kweli. Nakushauri usone histori ya Hitler na kilichotokea baadaye. Muhimu ni strong institutions siyo strong person.
 
Kwa hiyo kwa akili zako uzalendo ni nini ....baba yako aliuza ng'ombe wake kukusomesha kumbe kauza ngombe kusomesha ng'ombe....hatutaki serikali za kuoetiana tunatake serikali zenye kuua haswa wahuni wote.
Sasa kwa mtu mwenye akili kama hii unataka mjadala na mimi wa nini; utakusaidia kitu gani?
Nimekwisha kufahamisha hapo juu, inatosha.
 
Back
Top Bottom