GE2025 Lissu chini ya ulinzi mkali afikishwa Mahakamani

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hilo swali ...jibu tayari Lissu analo na anajutia upumbavu wake wa kuwaletea wanamtandao hadi kupigwa risasi ...lisu ana uchungu sana na walio mtumia hadi akapigwa risasi na hao hao leo ndiyo wamemtua jela .. samia alitoka mbio kumtizama kibaraka wao kule Nairobi baada ya kuchapwa shaba leo Samia ndiyo kamtupa jela tofauti hata na JPM maana wakati wa JPM LISSU ALIFANYA KAMPENI NCHI NZIMA BILA YA BUGUDHA
Maneno yako ya kusadikika unaposema walimtumia unamaanisha nini?
 
Lissu na watanzania watalipa gharama kubwa sana kwa upumbavu wa kudharau viongozi wazalendo kipindi cha JPM ....tukitumia akili mtajua kuwa Lissu ana uwezo mdogo sana wa kuona mbele, tujiulize je Nyerere angekuwa hai angempinga JPM ? ...Tumtizame mtu kama Mtikila alivyo kuwa anaichukia CCM ila alimuunga mkono JPM kabla hata ajawa Rais ...hii inamaana kuwa Mtikila alikuwa na AKILI NZURI YA KUTAMBUA KIONGOZI NA UZALENDO
Ulitaka Lissu amuunge mkono JPM,.ina maana angeenda CCM? Sasa nani angekua anafanya kazi ya upinzani kuleta sera mbadala na kuonyesha madhaifu yanayohitaji kufanyiwa kazi?

Mbona kina Kabudi walikua upande wa JPM leo hii wanamkana na kusema Samia kamzidi hadi Nyerere
 
Kawatetea lini na wapi? Mbona unaongea upumbavu. Lissu hajawahi kutumika, yeye alimpinga JPM sababu ya udikteta wake wala sio kingine.

Hata kipindi mbowe anaanza maridhiano alipinga, sasa mtu wa mtandao anaweza kataa maridhiano na Samia?
Ni jibu wewe ukiwa rais mzalendo unawezaje kupambana na wanamtandao bila ya kutumia nguvu kubwa zitakazo kufanya uitwe dictator? Siku ukipata Akili utajua kuwa hata wimbo wa JPM NO DICTATOR ULIANZISWA NA WANAMTANDAO NA LISSU NA CHADEMA ALITUMIKA KUSAKATA LUMBA..ndiyo maana Lissu alikili mwenyewe na kutakwa kwenda kwenye kaburi la JPM....Kama unielewi mtafute lissu atakuambia huu ukweli ...Lissu mwenyewe kwa sasa anajutia mnjia zake kipindi cha jpm
 
Maneno yako ya kusadikika unaposema walimtumia unamaanisha nini?
Muulize lissu atakujibu ...mbona hata yeye mwenyewe kaanza kukili huu ukweli ....NGOMA YA JPM DICTATOR ILIPIGWA NA WANA MTANDAO WA CCM WANAOPINGA UZALENDO NA LISSU NA CHADEMA WAKATUMIKA KUSAKATA LUMBA...LEO HII WALIOPIGA NGOMA YA JPM DICTATOR NDIYO WAMESHIKA NCHI
 
Siku ya nne mfululizo, Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam inaendelea kusikiliza mapingamizi ya kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu, mapingamizi yaliyowekwa na mshtakiwa mwenyewe

Leo, Alhamisi Septemba 11.2025 Mahakama inaendelea kusikiliza hoja za mshtakiwa kwenye mapingamizi hayo, leo akitarajiwa kujibu hoja zilizoibuliwa na upande wa Jamhuri unaopinga mapingamizi hayo

Kutoka Mahakamani hapo, tunakusogezea kuona namna Tundu Lissu alivyofikishwa mapema leo akiwa chini ya ulinzi mkali.

View attachment 3469427
Chanzo: Jambo Tv​

Kwani mkuu Lissu mgombea urais ambaye akiwa kwenye Sanduku la kura hata bila kampeni binti kiziwi hawezi kutoboa anaweza kuwa na mpango wa kutoroka?

Je Lissu anaweza hata kukimbia?

Ninadhani ungejitendea haki zaidi kama title ingekuwa:

"Afikishwa mahakamani na ulinzi usiokuwa na sababu."

Zingatia, Lissu hata akitokea nyumbani kwake angekuja hapo mahakamani kwa usongo kuwanyoosha hawa ndugu:

G0WDcn6W8AAqd_f.jpeg
 
Lissu na watanzania watalipa gharama kubwa sana kwa upumbavu wa kudharau viongozi wazalendo kipindi cha JPM ....tukitumia akili mtajua kuwa Lissu ana uwezo mdogo sana wa kuona mbele, tujiulize je Nyerere angekuwa hai angempinga JPM ? ...Tumtizame mtu kama Mtikila alivyo kuwa anaichukia CCM ila alimuunga mkono JPM kabla hata ajawa Rais ...hii inamaana kuwa Mtikila alikuwa na AKILI NZURI YA KUTAMBUA KIONGOZI NA UZALENDO
Huwa unanichekesha sana unapoongeaga huo ujinga wako. Hapo ukute unaamini Jiwe alikuwa na akili kuliko wewe 😂😂😂😂😂
 
Lissu na watanzania watalipa gharama kubwa sana kwa upumbavu wa kudharau viongozi wazalendo kipindi cha JPM ....tukitumia akili mtajua kuwa Lissu ana uwezo mdogo sana wa kuona mbele, tujiulize je Nyerere angekuwa hai angempinga JPM ? ...Tumtizame mtu kama Mtikila alivyo kuwa anaichukia CCM ila alimuunga mkono JPM kabla hata ajawa Rais ...hii inamaana kuwa Mtikila alikuwa na AKILI NZURI YA KUTAMBUA KIONGOZI NA UZALENDO
Nyerere aliwapinga akina Mwinyi na Nkapa.
 
Rais wangu bora kabisa huyu kuwahi kutokea nchini.
Haraka ya nini mkuu 'Tate'?
Niaminivyo mimi, atakuwa Rais mzuri sana kwa nchi yetu katika nyakati hizi; dalili zinaonyesha hivyo.

Pengine atakuwa ni mmoja wa viongozi wawili muhimu sana tutakaokuwa nchi yetu imebarikiwa kuwapata. Na wote watakuwa wamesimamia vyema ukombozi wa taifa hili.

Bila shaka utakuwa umenielewa, na pengine hata kuungana nami katika mtizamo huo.
 
Siku ya nne mfululizo, Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam inaendelea kusikiliza mapingamizi ya kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu, mapingamizi yaliyowekwa na mshtakiwa mwenyewe

Leo, Alhamisi Septemba 11.2025 Mahakama inaendelea kusikiliza hoja za mshtakiwa kwenye mapingamizi hayo, leo akitarajiwa kujibu hoja zilizoibuliwa na upande wa Jamhuri unaopinga mapingamizi hayo

Kutoka Mahakamani hapo, tunakusogezea kuona namna Tundu Lissu alivyofikishwa mapema leo akiwa chini ya ulinzi mkali.

View attachment 3469427
Chanzo: Jambo Tv​
Hii nchi nachezea sana hela za umma.
 
Lissu na watanzania watalipa gharama kubwa sana kwa upumbavu wa kudharau viongozi wazalendo kipindi cha JPM
Unasema "viongozi wazalendo", ndio akina nani hao: akina Kabuti Kalamaganda; Samia Hassan Suluhu; akina Kitilya kikumbo, na wengi chungu nzima ambao sasa hivi ni hao hao wanaoliumiza taifa!

Huu uzalendo wa magufuli hasa ni nini? Kutokuwa na maono ya kujuwa mzalendo kama yeye ni akina nani, na badala yake kaingiza mafisi kuja kuliteketeza taifa?

Kuna mambo mazuri alijaribu kuyafanya Magufuli; lakini kwa njia mbovu kabisa?
Kama kweli alikuwa na msukumo wa uzalendo (na siyo kujionyesha kuwa mzalendo kwa maigizo, na kujitafutia sifa); kamwe asingekuwa anafanya makosa makubwa ya kuwateua watu kwenye nafasi ambazo aliwateua, kama huyo Samia mwenyewe; na asinge fanya kosa la kutaka kumuua Tundu Lissu, kama alivyo jaribu kufanya.

Unapo mkingia kifua Magufuli kwa hayo aliyoonekana kuyafanya kwa manufaa ya taifa, usisahau pia uharibifu uliotokana na tabia zake mbaya kama binaadam. Alikuwa ni mtu mwenye tabia mbaya; hata kama ni kweli aliipenda nchi hii.
 
.tukitumia akili mtajua kuwa Lissu ana uwezo mdogo sana wa kuona mbele, tujiulize je Nyerere angekuwa hai angempinga JPM ?
Sina shaka Mwalimu asingekubaliana na tabia mbaya alizokuwa nazo Magufuli.
"...uwezo wa kuona mbele..."; kama kuteua viongozi wasiokuwa na msimamo thabiti, wasiokubaliana na anayo yafanya mkuu wao asiyeweza kuchuja na kujuwa hao watu anao wateua ni wa aina gani. Huo ndio uwezo wa kuona mbele?

Magufuli aliona mbele kiasi gani na viongozi hawa aliotuachia?

Sasa nakuomba unielewe vizuri; pamoja na yote hayo mabaya, na udhaifu wake wa kibinaadam (?) Awe alikuwa akiigiza, au kutafuta sifa kwake; kuitanguliza mbele maslahi ya nchi yetu; hiyo ni sifa ya kipekee sana kwa kiongozi yeyote wa nchi.
 
Uliwahi kumsikia nyerere kuwa anataka vijana jeuri ? Ulielewa nini?... jpm alikuwa dictator dhidi ya mafisadi ya ccm na wawekezaj9 wabeberu wanyonyaji .....nakuakikishia nyerere angemuslewa Magufuli kwa asilimia 100%
 
Huo ulinzi ni vitisho kwa wananchi na chadema au wanalinda nini hapo?

Lisu aliisha kuwa mlemavu kukimbia hawezi, watu hawaruhusiwi hata kusogelea eneo la mahakama zaidi ya walio ruhusiwa ndani.

Sasa analindwa au wanamtisha au ni utaratibu kisheria kwa watuhumiwa wa uhaini kulindwa hivyo?

..hao walioficha sura naamini sio askari halali wa jeshi la Magereza.
 
Uliwahi kumsikia nyerere kuwa anataka vijana jeuri ? Ulielewa nini?... jpm alikuwa dictator dhidi ya mafisadi ya ccm na wawekezaj9 wabeberu wanyonyaji .....nakuakikishia nyerere angemuslewa Magufuli kwa asilimia 100%

..unadai Nyerere angekubali ujinga na ukatili wa Magufuli?!

..wewe utakuwa mtoto wa juzijuzi ambaye hukuishi wakati wa Nyerere, na hajajisumbua kumsoma.
 
Nyerere aliua mabeberu yanayo onea waafrica kote africa ...unajua kwa nini
 
Back
Top Bottom