Lissu atia fora bungeni

Lisu! Lisu! Lisu! Lisu!!!!!!!!!! Peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeez
 
Hata wewe HAMY-D umeanza kuwa
jasiri......maana kumpaisha Lissu ni ''kashfa'' kwa Buku Saba Dirty
Inc

huyu jamaa hata mimi simuelewi jana kwenye thread moja upande mmoja na mwigulu yupo na tundu dah hawa ndo wale akina ludovick
 
Msifieni tu lakini sie wananchi wake tumemchoka sana na hatumtaki tena sijuwi awe mbunge wa humu JF
 
Wana SINGIDA MLIFANYA JAMBO LA BUSARA KUWA NA MBUNGE LISU...
Hongereni sana
 
Ametuhamasisha tufukie visima na tusichangie maendeleo yetu km vile kujenga shule, maabara etc Leo Ikungi ni ya mwisho kwa kila kitu
 
huyu jamaa hata mimi simuelewi jana kwenye thread moja upande mmoja na mwigulu yupo na tundu dah hawa ndo wale akina ludovick

Mkuu, ni kweli unaweza usinielewe, ila ningependa ujue tu, siasa ni kitu kipana mno.

Pia, kwenye siasa hakuna adui wala rafiki wa kudumu.
 
Hivi wewe hujui hela za ofisi ya waziri mkuu kila mwaka zinarudishwa hazina kwa kushindwa kutumika? Sasa wewe unadhani unachangia nini wakati hela za bajeti zinarudishwa..
Ametuhamasisha tufukie visima na tusichangie maendeleo yetu km vile kujenga shule, maabara etc Leo Ikungi ni ya mwisho kwa kila kitu
 
Msifieni tu lakini sie wananchi wake tumemchoka sana na hatumtaki tena sijuwi awe mbunge wa humu JF
Tangu lini ulianza kupiga kura chadema,wewe pure gamba,kati ya kura zote alizopata Lissu huna mchango hata moja
 
Leo pale ndani kulikuwa na wageni(wazungu) sikusikia vizuri ni kama wanatokea house of commons hicho nd'o kimemtisha b kiroboto asifanye manyang'unyang'u tuliyoyazoea pale,duh kweli unafiki wa bi kiriboto leo umenifurahisha sana,kumbe siku zote huwa anafanya makusudi tu,pambafu zake.
 
Viongozi wako wanasema Lissu yuko juu , sasa wewe mjumbe wa nyumba kumi ( mnunua shahada za kura ) , utatueleza nini ? Wewe subiri uchaguzi ili ujipatie kilo mbili za Sukari , kofia na fulana moja ya kiwango cha chini kabisa !
 
Msifieni tu lakini sie wananchi wake tumemchoka sana na hatumtaki tena sijuwi awe mbunge wa humu JF

Wewe si Madelu Madevu? Sasa Lissu toka lini akawa mbunge wako? Nenda kalale wewe!
 
Viongozi wako wanasema Lissu yuko juu , sasa wewe mjumbe wa nyumba kumi ( mnunua shahada za kura ) , utatueleza nini ? Wewe subiri uchaguzi ili ujipatie kilo mbili za Sukari , kofia na fulana moja ya kiwango cha chini kabisa !

Fulana ya kiwango cha chini kama hii?
?
 
Angalia ulivyo shupaza shingo na kutetea ujinga ccm ilishakufa zamani sana ww sijui unafanya nn
 
Kati ya watu vihiyo ndani ya hii nchi ni huyu b kiroboto,anafanya mambo ya kitoto sana pale mjengoni.lakini ipo siku atatambua kuwa "baya lisilodhuru ni jema lisilo na faida" lissu is a hero always.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…