Vichwa kama Lissu ndo vitaifanya Rasimu ya Katiba ipingwe vikari na CCM, hebu niambie kwa mtu kama Lisu kuwepo Bungeni alafu Bunge liwe na Spika HURU!!!!!!!!.
Hahhaaahahaaa jmani hatimaye NURU imeshinda giza,usijali bhana hata nape akikutoa kwenye payroll kwa muda umetoa ya moyoni..hata kikwete anamjua Lissu!!
Kesi iliisha kwa ccm kuangukia pua. baada ya hapo waliofungua kesi waliweka wazi kuwa walitumiwa ili kumvuruga Lissu na hatimaye mahakama imvue ubunge. Muda baade mmoja wa waliofungua kesi akahamia CDM na hadi sasa taarifa zinasema kesi imefunguliwa na kuwa waliofungua rufaa ya kesi hii ni wale wale huku wao wakisema hawajui kama kuna kesi hio maana hawajashirikishwa na mzee wa tembo.
tundu lissu amejidhalilisha kwa kuacha kuchangia muswada unaojadiliwa na kuanza kuongea vitu ambavyo vinamhusu yeye binafsi...aibu kuu kwa mtu anayejiita mwanasheria
Siku nzuri huanza asubuhi. niliposoma heading ya post yako, nilitaka kuona kama content yake inafanana na heading. I'm suprised kwamba inafanana. Leo umependeza mwanangu, nahisi magamba yanaendelea kukudondoka.
DR kigwangalla amesharudi toka safari ya nje ya nchi nadhani tundu lissu ataenda kupata tiba kama kawaida..hii ya kuacha kuchangia hoja inayojadiliwa na kuanza kujitetea kwa kesi inayomkabili ni dalili ya kupanda kwa homa yake
Hata sugu si walifanya hivyo ,hawakujua mike ni zana yake..na mara kibao majukwaani mic huenda off ila huendelea na show .Bungeni aliendelea chana kwa ku adjust hadi mic za kwenye camera zikawa zinadaka. CDM huwa waajua issue tamu hawapotezi muda kwani hata kama zimeandikwa ila raia wananafasi nzuri ktk kusikiliza kuliko kuja soma.
MNAMBOWA; Mifano ni lazima itolewe ndiyo maana amenukuu barua iliyoandikwa na Yusuph Makamba akiwataka makada kupinga matokeo mahakamani dhidi ya upinzani, wabunge 17 wa CHADEMA na 3 wa NCCR walifunguliwa kesi za kupinga matokeo baada ya uchaguzi mkuu wa 2010 bila sababu ya msingi!
lissu ni kidume! ananifanya nipate amani sana kumsikiliza na kujua kuwa kumbe hata ikipasa kumwaga damu, tuna watu ambao hawana uoga, na watasimamia haki na ukweli!! laana khum kwa ccm na makada wake!