Lissu: Ushauri Kuwa CHADEMA ianzishe Jeshi ni wa kijinga

Kwa kuwa ccm imetufikisha huku tulipo Basi mtambue kuna watu fulani wamesikia ushauri wa kigogo!!WATAANZISHA JESHI LA MSITUNI KWA MSAADA WA MATAJIRI FULANI WA NJE AU NDANI!!!HADI CCM ISHTUKE KUWA WAO NDIYO WAASISI WA UGAIDI,MACHAFUKO WATAKUWA WAMESHA CHELEWA SANA NA DAMAGE ITAKUWA DONE!!!!!
Kuna mitz haijui mlio wa risasi live inapeendaaaa kusikia, Ngoja nifunge maombi itokee hvo hata miaka mitano tuwe kama Afganstan tuenjoy movie za mabom😂😂
 
Kwa kuwa ccm imetufikisha huku tulipo Basi mtambue kuna watu fulani wamesikia ushauri wa kigogo!!WATAANZISHA JESHI LA MSITUNI KWA MSAADA WA MATAJIRI FULANI WA NJE AU NDANI!!!HADI CCM ISHTUKE KUWA WAO NDIYO WAASISI WA UGAIDI,MACHAFUKO WATAKUWA WAMESHA CHELEWA SANA NA DAMAGE ITAKUWA DONE!!!!!

Hamia somalia. Watanzania hatuna shida yoyote. Acha uvivu fanya kazi. Siasa zenu mnaweza hata kwenda kutawala South Sudan.
 
Lissu ameongea hoja za msingi.
Namuunga mkono.
CHADEMA hawako tayari kumwaga damu za watanzania kwa sababu ya madaraka tu.

Watashindana kwa hoja katika majukwaa ya kisiasa na siyo kwa mabomu na marisasi msituni.

Bullets and bombs are political tools to power mongers, stupid and uncivilized politicians.
 
Ule useme wa "umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu"siku watakapo uelewa wapinzani,wakaanzisha Chama kimoja au viwili vyenye nguvu,badala ya kuwa na utitiri vya vyama,itakuwa ni ndoto kuiondoa CCM madarakani.Njia sahihi ni kwa sanduku la kura badala ya njia zingine zinatajwatajwa.Viongozi wa upinzani waache ubinafsi ,waungane badala ya kutengana na kuanza kugombania wateja,miluzi mingi humpoteza .......
 
Back
Top Bottom