Tetesi: Lissu anaumwa

Kwani yeye ni Jiwe asiumwe? Huwa nawashangaa Chadomo viongozi Wakiwa wagonjwa wanashangiliwa na kuona kwamba ni jambo la ajabu Kiongozi kuumwa.
 
Tafuta mume uwe unalala uache kuwaza upuuzi
 
Amina amina

Sijawahi kuwa chawa ila sipendi upapasi pia

Haiwezekani your point of view tu ndiyo iwe sio uchawa

Mnaboa sana na similar drama everyday
Muwe Mnatumiwa Akili kuandika.

LISSU aliwahi sema, anafatiliwa Kwa lengo la kuuwawa, Mkasema upuuzi upuuzi, Kisha akapigwa Risasi kweli


Kwann suala la Sumu lisiaminiwe ??.
 
Mmeshafanya yenu Ili muisingizie serikali.
kama watu wanaweza kufanya yao na serikali ipo na mtu aliye fanyiwa yuko chini ya serikali

sasa iyo serikali ama upumbavu

kwa akili yako unaona unaitetea serikali kumbe una idhalilisha tu na kuivua nguo kuwa haina nguvu wala uwezo wa kulinda watu walio chini yake
 
Kumbe ulaya walisema ukweli!
 
Mbogamboga hii nchi hamtaweza kuitawala Tena ,mmeua vyakutosha ila still wapigania HAKI wanazaliwa Kila siku, wengine tulikuwa huko kwenye chama chenu lakini Sasa hivi tumeamka tunataka mabadiliko ✌️
 
Isije ikawa tayari wamemnyesha sumu kama alivyotuambia marekani.Uzuri wamewaambia serikali ya Tanzania kuwa akipata baya wajue watakiona Cha moto.CCM mnasubiliwa Kwa hamu na ICC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…