Lissu amshukuru Rais Magufuli kwa wema aliomtendea

Na huu ndo ukweli halisi. MTU hawezi kukutenda vile ukamtumia salaam za kumpongeza. Ni mazwazwa tu yatakayoamini TL amemshukru kwa maana wanayofikiria. TL ni Intelligent sana wakati mwingine kumwelewa huwezi.
Watanzania wengi kinachoturudisha nyuma kuanzia kwenye familia zetu ni maisha yaha :

1. Kuhisi ukiwa una maisha ya Kuhisi unaweza kumuacha mkeo au mmeo maana unahisi kichwani kwako jambo bila kuwa na uhakika.

2. Mambo ya kusikia hatuna desturi ya kufanya uchunguzi wa jambo.
 
Samoa kaja kumuona lissu akadai katumwa na raisi. Iwe ni kweli au ni uongo simtarajii lissu awe mwitikio hasi kwa ujio ule! Mimi nafikiri lissu anaweza kuwa na imani na Samia lakini si na huyo aliyemtuma!
Jpm hanaga imani na watu wanaomkwamisha kutekeleza ahadi alizotoa kwenye kampeni pia hana imani na wanaomkwamisha kutatua kero za wananchi
 
Tundu lissu ana akili sana,amemshukuru mh rais,jiongeze weka ..........manake amemshukuru mh rais kwa aliyomtendea
Hata ingekuwa mimi nisingepokea hizi shukrani kama wanasema serikali inahusika kumfanya alivyo bhasi kamshukuru kwa aliyomtendea
 
Hivi unafahamu kwamba sasa Lissu anatibiwa na serikali baada ya kuachana na.mbwembwe za chadema?
Mnashangaza sana,mbona hamkuzuia mwenye serikali asimuone lissu kwa kuogopa atammalizia kufa?
Kafee mbele wewe uliambiwa hela ya serikali ni ya ccm,na kama sio ya ccm ni ya wananchi umshukuru raisi kwa lipi na ukujua yule ni mbunge acha upuuzi.
 
Kafee mbele wewe uliambiwa hela ya serikali ni ya ccm,na kama sio ya ccm ni ya wananchi umshukuru raisi kwa lipi na ukujua yule ni mbunge acha upuuzi.
Punguza povu sister
Kama mlijua pesa ni ya wananchi kwa nini mlikataa isimtibie Lissu mkachangishana mia mia zilizoliwa na mbowe huku mgonjwa anaoza mnapiga selfie tu
 
yani watu ni waajabu ,hivi inakuaje kuuelezea moyo wa mtu,eti lisu sijui nini.. huko.amu acheni unabii uchwara,kama ingekua mnavyofikiri hivyo Lissu angeweza kusema Asante sana ,ila kwa kuwa sisi ni watu wakugeuza kila jambo ndio maana kila mtu anajaribu kutoa unabii wake hapa
 
Back
Top Bottom