Lissu amshukia Lowassa

Haki ya Mungu siamini aisee. Khaa, ni Lisu huyu huyu?
 
Hapa niwe neutral, wakati cdm inamponda lowasa kuwa fisadi ccm walikuwa wanamtetea kuwa si fisadi, leo cdm wanamtetea lowasa kuwa sio fisadi, ccm inaponda kuwa ni fisadi, sasa ukiangalia haka kamchezo ni kama kuangalia muvi halafu ukadhania sterling atakufa kwakuwa ametekwa na maadui halafu unajikuta anawaua wote na muvi linaisha sterling akiwa hai, namaanisha wapo watazamaji wanaamini kabisa kuwa pamoja na kutekwa kwa sterling still ataokoka either kwa kujiokoa au kwa kuokolewa, na km ataokolewa either ma co-sterling watamuokoa au within maadui kuna ambaye/ambao watajitolea kumuokoa, yote hiyo ni ili tu muvi iishe sterling akiwa hai, wenye upeo nadhani mtakuwa mmenielewa point yangu ilipo



Alamsiki
 
Sikumbuki wapi walimtetea.......
Maana hakuwa anabebeka.
Ndiyo maana walifanya juu chini akatwe.....
Hapa Chadema mmmmm
 
Sikumbuki wapi walimtetea.......
Maana hakuwa anabebeka.
Ndiyo maana walifanya juu chini akatwe.....
Hapa Chadema mmmmm


Kuna tofauti kubwa kati ya waliomkata na waliomtetea, alikatwa kwa maslahi ya chama kutokana na ukweli uliopo kipindi hicho ambapo wapinzani waliamini kuwa lowasa ni fisadi,na kwakuwa hakukuwa na njia nyingine ya kuwaaminisha kuwa si fisadi(kumbuka ccm walikuwa wanamtetea kipindi hicho) so alikatwa kama kutolewa sadaka but hakukatwa kwakuwa ni kweli alikuwa fisadi ila ni kuondoa sintofahamu iliyopo
 
Mkuu tuliwabeza tukiwaamini viongozi wetu kumbe ulikuwa unatuchora tu ....ndio maana sitaki tena mambo ya vyama ....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…