Lissu amlima barua Shibuda

Thank u Gsana for this useful post!
 
hahahaha ndio tabu ya kufikiri kwa kutumia matak.o, haya soma response za wengine uone kama lengo lako litatimia
 
the baba is talking too much
na mashaka na uwepo wake hapo ni kwaajili ya cdm ama
kwavile hakupata kura za kutosha huko
maaswa akaamua kuswap ili tu mkono uende kinywani
 
Shibuda hahitaji elimu yoyote kuhusu siasa. ana miaka kama alobaini hivi katika chama cha magamba kwahiyo ana exprience ya unafiki. Get rid off him. he is a crap to great thinkers especially CDM Members. The only position he can 100 perc. fit is ccm where they do accept nerotics.
 
dah hii kitu wasiifanye ki papara namna hiyo wakae kwanza kwenye vikao vyao wasuluhishe au wamuonye kwanza wasianze kufukuzana itaharibu credibility ya chama.

Hakuna suluhu na msaliti ATIMULIWE TENA MAPEMA SANA
 
makada hao wanafurahia kitendo na kudai kuwa tayari maamuzi yameisha fanyika ya kumvua uanachama mh. Shibuda.
Wamepita kila mahali wakihadaa wananchi na kuwaambia kuwa dr. Slaa anajiandaa kumrithi Shibuda na kuwaambia Chadema haiwezi kuwachagulia kiongozi wa kuwa wakilisha bungeni.
Wonderful enough leo kupitia taarifa ya habari tbc-1 ya saa 8:00 amejitokeza mnadhimu wa kambi ya upinzani bungeni, kusema kuwa wamemwandikia barua ya kujieleza kwanini alienda kinyume na msimamo wao kambi ya upinzani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…