Spika amemkatalia muda huu kumkompesha Tundu Lisu muda uliobaki wa kamati ya sheria amemkatalia ila jana wamekopeshana kweli kuwabana wapinzani ivo ndo kuwamaliza au kujimaliza CCM?
Ameanza lissu na tume ya katiba kuna ela inaliwa kwa kuongeza wajumbe wanne bila sheria kueleza inatakujua sh.bil1.3 inayoombwa n tume kwa mwezi mmoja tu kama posho