Uchaguzi 2020 Lissu akishinda uchaguzi sijui itakuwaje!

Lissu hawezi kishinda uchaguzi!..Kura zake hazitazidi hata 10% ya wapiga kura! .Tuache kuota ndoto na kujipa matumaini hewa.Yaan hata wapinzani waungane wote hawawezi battle na JPM halipingiki Hilo, yule ni kisiki cha mpingo hawamuwezi!. Hii ni kwa sababu alioyoyafanya yanaonekana kwa macho, mpaka sasa sijaona hoja yoyoye ya maana aliotoa lissu zaidi ya kua attack mtu tu !.

Mwalimu wetu wa Madrassa alipenda sana kutuasa kuacha kabisa tabia ya KUJIAPIZA kwani kwa Mungu lolote linawezekana....
 
Na kwa ubaguzi na ushalimu wenu huo ndo maana mwaka huu historia inaenda kuandikwa kwa nyie CCM kuwa wapinzani rasmi kuanzia October 2020!
Haitatokea sio leo wala kesho nakwambia jaribio jingine la kuiangusha CCM ni mwaka 2045.
Na mpaka mpasuko utokee ndani ya chama.

Yaani ni kama mwaka huu CCM ingemkata Magufuli asigombee, halafu Magu atoke aende hata NLD. Nakwambia NLD ingeshinda kwa nguvu aliyonayo Magufuli.

Kwa sasa endeleeni kuwa alarm tu ya kuwaamsha watawala wasilale jumla

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani waliofurahia tweeter sio watanzania???? Kuna shida kwenu sio kwa wapinzani, kwani wapinzani ndo waliwaambia muwapige risasi na kuwabambikia makesi????
Ni vizuri muda huu CCM mkautumia kuwaza mnaendaje kuwa Chama cha upinzani makini kuanzia 2020 - 2025??
Yaani CCM kiwaze kuwa chama cha upinzani?? Kwa sera zipi?? Kwa mikakati ipi mliyonayo ninyi wapinzani?.Mnafikili kushika dola ni kama kuokota embe dodo!
 
Nawaza kwa mfano Lissu akishinda 2020 sijui watu wengine wataweka wapi sura zao.

Hawa wasanii wetu ambao kila kukicha wana nyimbo za kumsifu na kusherekea uongozi wake sijui na wao wataweka wapi sura.

Na wananchi wenye mawazo negative kuwa CCM haiwezi toka madarakani sijui na wao watasemaje.
Vyama vya upinzani kama wangemsimamisha mgombea mmoja kidogo ingesaidia kinyume na hapo wameula wa chuya.
 
Amini nakuaminia, Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania 2020 - 2025 ni Tundu Antipas Lissu.
Na kwa kukuhakikishia, Magufuli anaenda kukanwa na wenye CCM yao mwaka huu.
Labda kama Lisu aje na tume yake ila kwa tume hiihii ni ndoto
 
Lissu hawezi kishinda uchaguzi!..Kura zake hazitazidi hata 10% ya wapiga kura! .Tuache kuota ndoto na kujipa matumaini hewa.Yaan hata wapinzani waungane wote hawawezi battle na JPM halipingiki Hilo, yule ni kisiki cha mpingo hawamuwezi!. Hii ni kwa sababu alioyoyafanya yanaonekana kwa macho, mpaka sasa sijaona hoja yoyoye ya maana aliotoa lissu zaidi ya kua attack mtu tu !.
lini amewahi shinda chochote,
hayo mnayojidaia yamemsaidia nini mtz.
Hta mpewe miaka 60 hakuna mrradi utakaokamilika mmefika mwisho wa kukopa mtapokea wapi ili kukamilisha hio miradi na pesa za ndani zinatosha kulipia mishahara tu
 
Sasa huo umma uko wapi ambao unaweza kumkataa Magufuli leo ?
Wakati mwingine tuache ushabiki maandazi. Yaani kweli ndani kabisa ya nafsi yako unaona uwezekano wa CCM kutoka kwenye hatamu ?


Sent using Jamii Forums mobile app
kwani ndugu zake ccm mfano KANU nk walishindwa vipi kuendeleea,anga limeshaikataa ccm.
kama ameumiza na kusomesha wengi namba kwann asiisome nae october.
kuna mtz yeyeto mwenye akili timamu atachagua kuteswaa tena 5 yrs
 
Mbona waliokuwa hawataki Magufuli awe rais wapo mpaka leo, mwingine ndo huyo kaenda ACT !!
Lakini ndoto ya Lissu kuwa rais hiyo ni ndoto mbaya sana.
Hatakuwa na hawezi kuwa hata waziri mkuu kwenye hii nchi mpaka kufa kwake.
Amini nakwambia kuna watu wameumbwa kwa ajili ya kupiga kelele tu na ndo huyu bwana.

Sent using Jamii Forums mobile app
isingepangwa kuwa asingeponza kwenye zile bullet 16 ni hadi kusudio la MUNGU litimie
 
Back
Top Bottom